Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
Nakubali wenyewe wanajitia umajinuni Ila wanaelea vyema.Mziki wanaujua.
Na bahati mbaya kwao Urusi sio nchi ya manenomano,Urusi ni nchi ya matendo.
Urusi akikuonya jambo kua atapiga,ukileta ujinga anapiga kweli.
Na uzuri west wanalijua hilo.
Urusi haogopi chochote kwenye masuala ya usalama wa nchi yake.
Mtu amegoma.... Wanalazimishwa kwenda kufa kwasababu ya ujinga wa viongozi.....
Ingekuwa Urusi ndio anafanya hivyo vitendo Mashirika ya Habari ya Magharibi yangetangaza kila kona na kulaani vikali. Inasikitisha sana kwa kweli. Hivi hii vita ni kwa faida ya nani?Mtu amegoma.... Wanalazimishwa kwenda kufa kwasababu ya ujinga wa viongozi.....
Kauli yake hii ni dhahabu aghali, adhimu, adimu na azizi inayopaswa kuhifadhiwa katika ^makabati^ yote ya nchi za dunia (all the capitals of world's nations).Vipi ana hoja asikilizwe ama?
View attachment 3007749
🇭🇺 Viktor Orban:- They want to buy Hungary in vain, it is not for sale. It is so valuable precisely because it is not for sale. It is not for sale to Brussels, Washington, or Soros. Ladies and gentlemen, we have never gathered in such a huge crowd before a European election. If only we could strike our enemies.
They would fly to Brussels. But we will not do this, because there are enough pro-war politicians in Brussels. My friends, today Europe is preparing for war, daily announcing the passage of the next section of the road to hell. Every time we talk about 100 billion euros for Ukraine, the deployment of nuclear weapons in the center of Europe, the conscription of our sons into a foreign army, the NATO mission in Ukraine, European military units in Ukraine.
My friends, it seems that the war train has no brakes, and the engineer has gone crazy. In the European elections we will do nothing less than stop this train. We must put on the emergency brake so that at least those who want to can get off and not get involved in a war.
Wewe huaminiki hata kidogoWe already have images recorded by the Russians of the Russian S-300/400 air defense battery being targeted by HIMARS in the Belgorod region. “ show the results of the defeat of the S-300/400 air defense system in the Belgorod region. The attack is carried out using HIMARS MLRS.
June 1st to 2nd, 2024