kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Atang'olewa na haohao wafadhili wake.
Yap! Cha msingi warusi wanaendelea kupukutika huko Ukraine pamoja na vifaa vyao,Tena kwa wingi kadri iwezekanavyo 😇 😇 😇 😇 😇Unachekacheka tu..lakini watu wa Ukraine wanaumia, miundo mbinu imeharibiwa, wanaume, vijana wanakufa, miji inaharibiwa...Hata hao wa West wanachekacheka kama wewe hivi..na kuandika kujifurahisha..hawajali idadi ya makaburi yanoyoongezeka Ukraine..
Georgia wameshtukia mchezo hawataki kuingua huu mkenge kama wa Ukraine...
⚡⚡The total combat losses the Russian invasion army has suffered in Ukraine since the invasion have amounted to an estimated 512,420, including 1,290 over the past day alone.
That’s according to the General Staff of Ukraine’s Armed Forces, Ukrinform reports.
Ukraine’s Defense Forces also destroyed 7,794 Russian tanks (+15 in the past day), 15,020 (+18) armored fighting vehicles, 13,345 (+65) artillery systems, 1,092 (+2) anti-aircraft missiles, 827 (+3) air defense systems, 357 warplanes, 326 helicopters, 10,766 (+27) operational and tactical-level UAVs, 2,268 cruise missiles, 27 warships/cutters, a submarine, 18,228 (+69) vehicles and fuel tankers, and 2,211 (+12) units of specialized equipment.⚡⚡
