Jeshi la Ukraine Lina sifa zote na NazismDuh hii kamata kamata ya kuchukua vijana kupeleka kufia front lines inahuzunisha mno, Kweli vita ni vittta murra!
View attachment 3007213
Yet kuna jamaa anajiita "Rat 🐀" kila siku anasema wamekufa warusi kadhaa na kwamba watazidi "kuwachinja"... Ila unfortunately hasemi kama jeshi la Ukraine limefikia hatua hiyo ya kuokoteza watu mtaani tena kwa fujo namna hiyo wale wapiganaji halisi wapo wapi.
Kua na ubongo 🧠 kichwani ni given kwa kila mtu ila namna ya kuutumia ndio yapishana kwa mtu mmoja mmoja. Kuna upande kwenye huu mgogoro kuusikiliza na kuelewa wanachokifanya yakupasa uwe na upungufu flan hivi kichwani, hivi hivi sio rahisi. Maana unaweza headache isio na dawa 🤣.
Hao wasiue Bali wawapeleke mstari wa mbele wa vita
Wanawateka Masikini kama kina panya wanawapeleka mstari wa mbele wa vita wakifa wanavuna viungoHaya mambo ya Ukraine kuuza viungo vya askari alikuwa anasemaga sana mkuu Mathanzua
Watu walikuwa wanampinga, ila Sasa ukweli unaanza kufichuka.
View attachment 3009544
Uchumi wa RussiA imepanda vibaya Hadi kuipita Ujerumani.Vipi Uchumi wa Russia hauja collapse bado baada ya sanctions 16,000?
Ohooo mbombo ngafu sasa hapa kuna nchi zinaenda Julia shamba linaenda kuwekwa uzio wa chuma hawatavuna tena.Russia's Foreign Minister Sergey Lavrov arrived in the Republic of the Congo on an official visit.
At the airport, he was greeted by Foreign Minister of the Republic of the Congo Jean-Claude Gakosso, a brief conversation followed.
Huyu Rais ni mwamba kwelikweli😅
View attachment 3009749
🇷🇺🇺🇸🇫🇷🇬🇧🚨‼️ BREAKING: Russia will deliver the same type of weapons to conflict zones to strike western assets of those countries that deliver weapons to Ukraine!
Yemenis are rubbing their hands right now!
Nawaona Hamas hapa kwenye regardless of their international recognitionView attachment 3010146
Medvedev: Yesterday, the President of Russia for the first time allowed the sending of our weapons to regions that are at war with states that supply weapons b. Ukraine (or rather, these weapons are used throughout our country). In other words, those forces that are in conflict with America and NATO countries.
This is a very significant change in our foreign policy. After all, as the Yankees and their European slobbering dogs argue: we have the right to transfer any weapons to b. Ukraine (that is, the enemy of our country), and all other countries cannot help Russia. In other words, we will destroy you in every possible way, but no one dares to supply the Russians with weapons/equipment/other property to defend the country.
Let the United States and its allies now feel the direct use of Russian weapons by third parties. These individuals or regions are deliberately not named, but they could be anyone who considers Pindostan and its comrades their enemies. Regardless of their political beliefs and international recognition.
Their enemy is the United States, which means they are our friends.
And let the use of Russian weapons by yet-to-be-named “regions” be as destructive as possible for their and our adversaries. And let “sensitive objects of the states supplying weapons to Kyiv” burn in hellish flames. They burn together with those who control them.
And we will rejoice at their successful strikes with our weapons against our common enemies!
Sana TU.Nini kukimbia, angevurumusha ka nyuklia kamoja ili kutuliza ghasia. US sio mkakamavu kama Urusi.
Aaah sio watu hao,wakifika Frontline huweka silaha pembeni kuacha lindo au mission na kuingia mafichoni kishaHao wasiue Bali wawapeleke mstari wa mbele wa vita