Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 1,916
- 2,756
Huyo ki-🐭, akili zake zimeshamia kwenye kinyeo. Hivyo Kila uharo anaoupata anauleta huku bila reasoning. Tangu awe shabiki wa upinde amekuwa upinde kweli kweli, no objectivity and authenticity in his posts. Hawezi tofautisha pumba na Michele.Data zako hazina credibility.unaonekana huna akili.
kwamba anataka aachwe tu. Iwacost x ngapi, aache mbwembwe apigane vita vyake, inawacost tangu alipowavamia.Kyiv's attempts to squeeze the Russian Armed Forces out from near Kharkov at any cost will cost it dearly, Putin said
Mbona unateseka sana wewe mkazi wa Kisevule kuliko hata raia wa Kiev na khokivkwamba anataka aachwe tu. Iwacost x ngapi, aache mbwembwe apigane vita vyake, inawacost tangu alipowavamia.
Tabula rasaMbona unateseka sana wewe mkazi wa Kisevule kuliko hata raia wa Kiev na khokiv
Nukes will have to be applied.Kauli nzito hii
‘if we are about to loose, we will ensure everyone loses’
China ni muoga sana wa maslahi yake.Hii vita imeshakua ngumu sana Kwa Russia maana wajuba wameamua kupigana wote dhidi ya Russia . Putin asipofanya jambo mapema hataweza kufanya Kitu hapo baadae.
Kinachotakiwa Kwa Sasa ni power demonstration ashushe nuke kadogo tu . USA Kaingia hasara kubwa sana hawezi kurudi nyuma hivyo Russia afanye jambo angali Bado na nguvu.Ahueni kidogo kupata sapoti ya Kim ila mchina mnafiki tu.
Kabla ya UCHAGUZI mkuu wa US Kuna mambo makubwa sana yatatokea kutaka kumuangamiza Russia . Russiaatasurvive na kufanya tukio la kikatili sana . Dunia itakumbuka UN kumbe UN Ilishakufa Toka 2022 itabidi umoja mpya uanzishwe.
Ifikapo December cease fire itakubaliwa na game litahamia Africa Tz itahusika na Rwanda mkono utakua mkali . Tz hakutakua na elections . Magaidi watashamiri Africa Dunia itakua na silaha za kumwaga. Nunueni ngano inakwenda kuadimika
I love ODDESSA
Hii vita imeshakua ngumu sana Kwa Russia maana wajuba wameamua kupigana wote dhidi ya Russia . Putin asipofanya jambo mapema hataweza kufanya Kitu hapo baadae.
Kinachotakiwa Kwa Sasa ni power demonstration ashushe nuke kadogo tu . USA Kaingia hasara kubwa sana hawezi kurudi nyuma hivyo Russia afanye jambo angali Bado na nguvu.Ahueni kidogo kupata sapoti ya Kim ila mchina mnafiki tu.
Kabla ya UCHAGUZI mkuu wa US Kuna mambo makubwa sana yatatokea kutaka kumuangamiza Russia . Russiaatasurvive na kufanya tukio la kikatili sana . Dunia itakumbuka UN kumbe UN Ilishakufa Toka 2022 itabidi umoja mpya uanzishwe.
Ifikapo December cease fire itakubaliwa na game litahamia Africa Tz itahusika na Rwanda mkono utakua mkali . Tz hakutakua na elections . Magaidi watashamiri Africa Dunia itakua na silaha za kumwaga. Nunueni ngano inakwenda kuadimika
I love ODDESSA
[/QUO
Hapana Mkuu,hii vita haijasa ngumu kwa Russia Bali imekua ngumu kwa hao wajuba.
Ukiona wameamua kuingia ujue ni Kwa sababu Kila walichofanya kimeahindikana.
Sasa.
Kosa lao ni kuamua kuingia wote,Urusi hatawapiga kama anavyompiga Ukraine,lakini kubwa kuliko yote wakiamua kuingia ujue wametoa uhalalibwa washirikanwa Urusi kuingia nao kwa pamoja.
China,Korea kaskazini,Iran na wengineo.hapo sio padogo Mkuu.
Mambo sio rahisi kiasi hicho kwa west.
Ndugu yangu,Kila nchi hua haipendi vita hapa duniani,lkn Kuna muda ukifika na maadui zako wakivuka mstari mwekundu utapigana TU,utaks usitake.China ni muoga sana wa maslahi yake.
Hayupo wazi.
Na kwa sasa asijiingize kwenye uvamizi wake
Maana kama wanaweza kuufanyia mti mbichi (russia ) hv yeye atakula hasara zaid ya assets zake, na biashara
China alitakiwa a form military alliance na russia kama mr kim.Ndugu yangu,Kila nchi hua haipendi vita hapa duniani,lkn Kuna muda ukifika na maadui zako wakivuka mstari mwekundu utapigana TU,utaks usitake.
Mkuu Huk Luk katupa msamiati wake mmoja haumu hapa Jana TU,kua "ukishindwa kuvuka mto Leo ,uta utalazimika kuvuka bahari kesho."
Iko hivi,china asipomsaidia Urusi Leo ili awe huru maisha yake yote,basi kesho atakua mfungwa wa Marekani atake asitake.maana west wakimshinda Urusi,anaefuata atakua china,china akishindwa kuingia vitani basi akubali kupangiwa Kila kitu na west pamoja na kuamrishwa aachane na ishu ya Taiwan.
Je IPi ni rahisi kwa china?
Russia is pushing hard capturing strongholds of Ukraine army in chasov Yar demilitarizing and denazifying⚡Shumy is under Russian control. The Ukrainians lost positions they had held since 2014. The Russians have also reached the road leading to Toretsk.
🇷🇺🇺🇦⚡- Russian forces have captured Shumy and the forest belt to the south of the town – Toretsk direction. Ukrainian sources confirm the loss.Russia is pushing hard capturing strongholds of Ukraine army in chasov Yar demilitarizing and denazifying