LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Data zako hazina credibility.unaonekana huna akili.
Huyo ki-🐭, akili zake zimeshamia kwenye kinyeo. Hivyo Kila uharo anaoupata anauleta huku bila reasoning. Tangu awe shabiki wa upinde amekuwa upinde kweli kweli, no objectivity and authenticity in his posts. Hawezi tofautisha pumba na Michele.
 
Missile attacks are reported in Taganrog, Akhov and Yeisk in the Rostov region of Russia. And at the same time Explosions are heard again in Belgorod amid a declared missile threat across the region.
 
The Ukrainian military has allegedly hit a Pantsir S-1 anti-aircraft missile system in the village of Dubovoe in Belgorod Oblast, Pepel, a media outlet based in the region, claimed on June 22.
 
The government of the Russian Federation will host 43,000 Palestinian refugees on its territory for a period of six months.
As a humanitarian gesture, the Russian Federation
1719077559012.png

1719077582629.png
 
Hii vita imeshakua ngumu sana Kwa Russia maana wajuba wameamua kupigana wote dhidi ya Russia . Putin asipofanya jambo mapema hataweza kufanya Kitu hapo baadae.

Kinachotakiwa Kwa Sasa ni power demonstration ashushe nuke kadogo tu . USA Kaingia hasara kubwa sana hawezi kurudi nyuma hivyo Russia afanye jambo angali Bado na nguvu.Ahueni kidogo kupata sapoti ya Kim ila mchina mnafiki tu.

Kabla ya UCHAGUZI mkuu wa US Kuna mambo makubwa sana yatatokea kutaka kumuangamiza Russia . Russiaatasurvive na kufanya tukio la kikatili sana . Dunia itakumbuka UN kumbe UN Ilishakufa Toka 2022 itabidi umoja mpya uanzishwe.

Ifikapo December cease fire itakubaliwa na game litahamia Africa Tz itahusika na Rwanda mkono utakua mkali . Tz hakutakua na elections . Magaidi watashamiri Africa Dunia itakua na silaha za kumwaga. Nunueni ngano inakwenda kuadimika

I love ODDESSA
 
China ni muoga sana wa maslahi yake.
Hayupo wazi.
Na kwa sasa asijiingize kwenye uvamizi wake
Maana kama wanaweza kuufanyia mti mbichi (russia ) hv yeye atakula hasara zaid ya assets zake, na biashara
 
Russia is withdrawing part of its troops from the Vovchansk area due to the loss of combat capability. This was stated by a spokesman for the operational strategic group of Khortytsia Nazar Voloshyn. The retreat was recorded near Lypky and Tykhy. The Russians did not engage in active hostilities in this area yesterday and this morning.
 
Hii vita imeshakua ngumu sana Kwa Russia maana wajuba wameamua kupigana wote dhidi ya Russia . Putin asipofanya jambo mapema hataweza kufanya Kitu hapo baadae.

Kinachotakiwa Kwa Sasa ni power demonstration ashushe nuke kadogo tu . USA Kaingia hasara kubwa sana hawezi kurudi nyuma hivyo Russia afanye jambo angali Bado na nguvu.Ahueni kidogo kupata sapoti ya Kim ila mchina mnafiki tu.

Kabla ya UCHAGUZI mkuu wa US Kuna mambo makubwa sana yatatokea kutaka kumuangamiza Russia . Russiaatasurvive na kufanya tukio la kikatili sana . Dunia itakumbuka UN kumbe UN Ilishakufa Toka 2022 itabidi umoja mpya uanzishwe.

Ifikapo December cease fire itakubaliwa na game litahamia Africa Tz itahusika na Rwanda mkono utakua mkali . Tz hakutakua na elections . Magaidi watashamiri Africa Dunia itakua na silaha za kumwaga. Nunueni ngano inakwenda kuadimika

I love ODDESSA
[/QUO
Hapana Mkuu,hii vita haijasa ngumu kwa Russia Bali imekua ngumu kwa hao wajuba.
Ukiona wameamua kuingia ujue ni Kwa sababu Kila walichofanya kimeahindikana.
Sasa.
Kosa lao ni kuamua kuingia wote,Urusi hatawapiga kama anavyompiga Ukraine,lakini kubwa kuliko yote wakiamua kuingia ujue wametoa uhalalibwa washirikanwa Urusi kuingia nao kwa pamoja.
China,Korea kaskazini,Iran na wengineo.hapo sio padogo Mkuu.
Mambo sio rahisi kiasi hicho kwa west.
 
China ni muoga sana wa maslahi yake.
Hayupo wazi.
Na kwa sasa asijiingize kwenye uvamizi wake
Maana kama wanaweza kuufanyia mti mbichi (russia ) hv yeye atakula hasara zaid ya assets zake, na biashara
Ndugu yangu,Kila nchi hua haipendi vita hapa duniani,lkn Kuna muda ukifika na maadui zako wakivuka mstari mwekundu utapigana TU,utaks usitake.

Mkuu Huk Luk katupa msamiati wake mmoja haumu hapa Jana TU,kua "ukishindwa kuvuka mto Leo ,uta utalazimika kuvuka bahari kesho."

Iko hivi,china asipomsaidia Urusi Leo ili awe huru maisha yake yote,basi kesho atakua mfungwa wa Marekani atake asitake.maana west wakimshinda Urusi,anaefuata atakua china,china akishindwa kuingia vitani basi akubali kupangiwa Kila kitu na west pamoja na kuamrishwa aachane na ishu ya Taiwan.
Je IPi ni rahisi kwa china?
 
Nyie warusi wa Bonyokwa mnapoambiwa kuwa Supapawa wenu wa mchongo anatembelea choki muwe mnaelewa basi

Ndugu yangu,Kila nchi hua haipendi vita hapa duniani,lkn Kuna muda ukifika na maadui zako wakivuka mstari mwekundu utapigana TU,utaks usitake.

Mkuu Huk Luk katupa msamiati wake mmoja haumu hapa Jana TU,kua "ukishindwa kuvuka mto Leo ,uta utalazimika kuvuka bahari kesho."

Iko hivi,china asipomsaidia Urusi Leo ili awe huru maisha yake yote,basi kesho atakua mfungwa wa Marekani atake asitake.maana west wakimshinda Urusi,anaefuata atakua china,china akishindwa kuingia vitani basi akubali kupangiwa Kila kitu na west pamoja na kuamrishwa aachane na ishu ya Taiwan.
Je IPi ni rahisi kwa china?
China alitakiwa a form military alliance na russia kama mr kim.
Kwa faida yake mwenyewe.
Ila kwa kigugumizi chake asijaribu kabisa kuivamia Taiwan .
 
Russia is pushing hard capturing strongholds of Ukraine army in chasov Yar demilitarizing and denazifying
🇷🇺🇺🇦⚡- Russian forces have captured Shumy and the forest belt to the south of the town – Toretsk direction. Ukrainian sources confirm the loss.

Russian troops have captured 3,500 sqm of area in just the past two days, in this sector. Mwendo mudundo
 
Back
Top Bottom