Kweli Ukraine anatumiwa na NATO kumdhoofisha mrusi na sio kwamba wanamsaidia kutetea ardhi yake . Ukiangalia vitu anavyoshambulia Ukraine ni vitu muhimu Sana kwa urusi na havina ushiriki kwenye Vita ya Ukraine na hao NATO ndio wanampangia sehemu za kushambulia mfano moskva na meli nyingine za blacksea fleet,zile rada za ICBM na nuclear na Leo anataka kushambulia the only Russian air craft carrier (Admiral kuznetsov)while waiting for shtorm class aircraft carrier .kwa kweli hizi target naona Kama sio muhimu kwa Ukraine kuzishambulia with respect to the war going on .lakini ni NATO wanaompangia target ili kumdhoofisha mrusi kijeshi
Ni kweli kabisa lengo la west ni kumpofusha na kumdhiofisha Urusi ili huko mbeleni iwe rahisi wao kuingia,lakini hii imekua na gharama kubwa sana Kwa Ukraine.
Maana Kila Ukraine wakijaribu kushambulia hizo target zao,ama wakifanikiwa kupiga nao Urusi hua inalipa mapigo kwa nguvu mno kiasi huawaacha Ukraine na NATO yake wakiwa katika majonzi makubwa mno.Matokeo yake ndo yale Urusi anapiga commanding centre za Ukraine zinazozika kuanzia vifaa,wanajeshi wa Ukraine na wataalamu wa NATO vyote vinafukiwa kwenye vifusi.
Hata hivyo kama ulivyosema Ukraine wamepoteza uwezo wa kwenye uwanja wa vita,ndio Sasa utaona wameamua Bora kuitia hasara Urusi TU kwa kile Wana hoamini Bora tukose wote.
Na mara nyingi wamekua wakiyatekeleza haya Kwa njia za kigaidi, na west wote toka zamani walikua wakisema ugaidi ni njia za watu dhaifu na waoga.lkn Leo hii ugaidi umekua ndio njia pendwa ya watoto wapendwa wa west (Ukraine).
Hata hivyo imekwisha julikana kua,Ukraine peke yake Hana uwezo wa kitaalamu,ujuzi,vifaa na technology ya kupiga baadhi ya target muhimu kama hizo ulizozitaja,Bali wanaomuandalia taarifa,vifaa na technology ya kuzitambua target zilipo,umbali na aina ya silaha za kutumia ni NATO,na zaidi ni USA na UK.
Sasa Urusi yote hayo waliyajua na wameshayajua ndio maana Putin akaja na tamko la kua kama nyinyi mnasema hamko vitani na sisi lkn mnampa Ukraine uwezo na silaha za kupiga ndani kwetu,basi na sisi tutawapa maadui zenu silaha muhimu na Bora kabisa za kuweza kupiga kwenu..
Hii ndio gharama yenyewe.
Hebu fikiria wa Houth TU na silaha zao dhaifu wameweza kufunga bahari hapo ghuba,je vipi Urusi akiwapa silaha sahihi kabisa za kuangamiza meli Bora kabisa za USA ,UK,Fr na Aircraft carriers zao?
Vipi Urusi akiwapa silaha Bora kabisa akina Iran, North Korea,Syria,Iraq,china na wajanja wengine?
Hali sio nzuri kwa kweli.