kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Anaitwa TumainiElNimekumbuka mchafuzi fulani hapa alituambia kwamba PUT IN anaumwa nanini sijui
SMO imeleta mengi kwakweli ujue tokea ianzeWalikua wanaona Putin anaumwa ,lakini wakaona Biden ni mzima wa afya.
Ndo msemo usemao ukimpenda mtu mwenye chongo utasema ana kengeza
Asee manato magaidi asee akaribie sana mwambaHuyu ni kama Orban,hapendi vita hivi na hapendi Urusi kuwekewa vikwazo,alitaka vita vikomeshwe, Ma ajenti wa NATO wakamla kichwa lkn Mungu hakuridhia.
Wao wanmuhisi ni Pro haki,au pro Russia.
NAMI nasema Mungu ampe maisha marefu yeye na Mwamba victor Orban.
Basi walikua wawili yupo na mchafuzi mwenzie😀Anaitwa TumainiEl
Yule mkulima wa matikiti?Basi walikua wawili yupo na mchafuzi mwenzie😀
Heheee unataka kunigombanisha na watu Kiongozi😀Yule mkulima wa matikiti?
Hivi haya mataifa ya Ulaya hayaoni haya pamoja na bwana wao USA yani Mataifa 32 yanasumbuliwa na Taifa 1,kwa kweli ni aibu.All 32 NATO members will be asked to develop civil defense plans in case of activation of the fifth article (nuclear) at the Alliance summit
Such actions are necessary to prepare for a possible future Russian attack, which is likely to include long-range missile strikes, disinformation, disruption of ports and attacks on the power system.
UbaguziORBAN WAS IGNORED BY THE EUROPEAN PARLIAMENT- Hungarian Prime Minister Viktor Orbán's attempts to address MEPs at the inaugural plenary session in newly elected Strasbourg were rejected by Parliament bosses who were unable to find a place to include him on the agenda, two sources familiar said. with the topic to Euronews. It was so reduced that he didn't even have the right to make his presentation as president or his activity book.