Lolote linalo mdhoofisha Russia kijeshi, ni njema kwa ukraineMkuu Ninaweza nimekujibu hapo juu
Lolote linalo mdhoofisha Russia kijeshi, ni njema kwa ukraine
Ukraine siku atakapo vunja lile daraja atakomaNdio mfano zile rada za ICBM na nuclear hazina umuhimu kwa Ukraine hawezi mshambulia mrusi kwa ICBM au nuclear lakini hizo rada ni Target muhimu kwa NATO ili kuipofusha urusi. Pili ndio hizo Target zinamdhoofisha urusi kijeshi mfano zile meli zilizozamishwa Kama moskva na ile landing ship Novo.......... Tatu yawezekana Kuna target nyingi za kumshambulia adui lakini lazima uchague ambayo ni most advantagious. Kulingana na Vita mfano kwa Ukraine target muhimu ni Kama kerch bridge ili kuharibu logistics hio ndio target muhimu Sana kwao kuliko zile rada.
Ukraine imeamua kua uwanja wa kutestiwa silaha heheeRussia develops a new Izdelie 720 cruise missile to defeat American Patriot air defense systems.
On July 10, 2024, JSC GosMKB Raduga, a Russian design bureau specializing in cruise missiles, announced the forthcoming introduction of its latest cruise missile, the Izdelie 720. Known for its various missiles used by the Russian Army in Ukraine, such as the Kh-69, Kh-59, Kh-58, and Kh-50, Raduga's new missile is expected to share similarities with these earlier models and reduce interception rates by systems such as the Patriot missiles supplied to Ukraine.
Hiyo statement according to the General staff of Ukraine 's Armed Forces ingetosha kukutanabahisha kuwa hizi data ni za kupika. Lakini Kwa kuwa huna akili hiyo, tunakuacha uendelee kujifariji na huo upuuzi wa fake data.Yap ! Trained to die like ππππ
β‘β‘The total combat losses Russian troops have suffered in Ukraine since the full-scale invasion have amounted to an estimated 555,620, including 1,110 in the past 24 hours.
Thatβs according to the General Staff of Ukraineβs Armed Forces, Ukrinform reports.β‘β‘
watamfanya nini Mchina nchi moja tu inasaidia wanalialia wao nchi 81 wanapambana na nchi moja tu wanalialia niniNATO allies agree that Beijing is a "decisive enabler" of Russia's full-scale invasion of Ukraine, Secretary General Jens Stoltenberg said on July 10 at the alliance's summit in Washington.
Licha ya hayo hizo ndege za F-16 ni stock ya zamani ambayo imetumika hadi Libya hivyo wao waziondoa kwenye maghala yao na zingine kuziuza kwa nchi zinohitaji na zenye mikataba nao.Hak
Hakuna kitakachobadilika mfa maji haishi kutapatapa,misaada mingapi ilikuja Kwa mbwembwe.Marekani anajivua nguo mwenyewe Bora aibu ndogo kuliko kung'ang'ania ukaishia kupata aibu zaidi
Ila kwenye arms race tayari wako nyuma ya Russia.THE WORLD IS CHANGING, BUT THAT'S NOT HOW RUSSIA AND CHINA WANTED- France, Germany, Italy and Poland today signed an agreement to jointly develop long-range cruise missiles for Europe - Reuters
Ukrainians don't stop cleaning, house by house, street by street, and they leave the bodies...
Trump alitwambia CNN na wenzao ni waongo wapo tayari kupokea habari za mashaka na kuzitangaza Za chini chini kutoka viunga vya US Intel ni kuwa......assassinate the CEO of arms manufacturer Rheinmetall in Germany, which supplies weapons to Ukraine, CNN....
Nimecheka sana.Wanamuwaza Putin tu muda wote!
ππππ
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1811519871928152344