LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
THE WORLD IS CHANGING, BUT THAT'S NOT HOW RUSSIA AND CHINA WANTED- France, Germany, Italy and Poland today signed an agreement to jointly develop long-range cruise missiles for Europe - Reuters
 
Ndio mfano zile rada za ICBM na nuclear hazina umuhimu kwa Ukraine hawezi mshambulia mrusi kwa ICBM au nuclear lakini hizo rada ni Target muhimu kwa NATO ili kuipofusha urusi. Pili ndio hizo Target zinamdhoofisha urusi kijeshi mfano zile meli zilizozamishwa Kama moskva na ile landing ship Novo.......... Tatu yawezekana Kuna target nyingi za kumshambulia adui lakini lazima uchague ambayo ni most advantagious. Kulingana na Vita mfano kwa Ukraine target muhimu ni Kama kerch bridge ili kuharibu logistics hio ndio target muhimu Sana kwao kuliko zile rada.
Ukraine siku atakapo vunja lile daraja atakoma
Yaani atpigwa kama ngoma tena atabondwa haswaa naye analijua hili vyema
 
Wanataka Germany ilipe kisasi

⚡Scholz called the Pentagon's plans to deploy long-range weapon systems in Germany "a very good decision."
 

Attachments

  • a06a835b-4ed9-43ed-88d4-cde89436b038.jpg
    a06a835b-4ed9-43ed-88d4-cde89436b038.jpg
    12.5 KB · Views: 4
Kula vichwa

⚡The US and Germany foiled a Russian plot to assassinate the chief executive of the powerful German arms manufacturer Rheinmetall, which has been producing shells and equipment for Ukraine.
 

Attachments

  • d55975d6-4817-4eef-bd1f-7dbbe6cf8732.jpg
    d55975d6-4817-4eef-bd1f-7dbbe6cf8732.jpg
    54.6 KB · Views: 6
Russia develops a new Izdelie 720 cruise missile to defeat American Patriot air defense systems.

On July 10, 2024, JSC GosMKB Raduga, a Russian design bureau specializing in cruise missiles, announced the forthcoming introduction of its latest cruise missile, the Izdelie 720. Known for its various missiles used by the Russian Army in Ukraine, such as the Kh-69, Kh-59, Kh-58, and Kh-50, Raduga's new missile is expected to share similarities with these earlier models and reduce interception rates by systems such as the Patriot missiles supplied to Ukraine.
 

Attachments

  • 17207243584711511916560401760996.jpg
    17207243584711511916560401760996.jpg
    83.1 KB · Views: 5
Russia develops a new Izdelie 720 cruise missile to defeat American Patriot air defense systems.

On July 10, 2024, JSC GosMKB Raduga, a Russian design bureau specializing in cruise missiles, announced the forthcoming introduction of its latest cruise missile, the Izdelie 720. Known for its various missiles used by the Russian Army in Ukraine, such as the Kh-69, Kh-59, Kh-58, and Kh-50, Raduga's new missile is expected to share similarities with these earlier models and reduce interception rates by systems such as the Patriot missiles supplied to Ukraine.
Ukraine imeamua kua uwanja wa kutestiwa silaha hehee
 
Yap ! Trained to die like 👇👇👇👇

⚡⚡The total combat losses Russian troops have suffered in Ukraine since the full-scale invasion have amounted to an estimated 555,620, including 1,110 in the past 24 hours.
That’s according to the General Staff of Ukraine’s Armed Forces, Ukrinform reports.⚡⚡
Hiyo statement according to the General staff of Ukraine 's Armed Forces ingetosha kukutanabahisha kuwa hizi data ni za kupika. Lakini Kwa kuwa huna akili hiyo, tunakuacha uendelee kujifariji na huo upuuzi wa fake data.
 
NATO allies agree that Beijing is a "decisive enabler" of Russia's full-scale invasion of Ukraine, Secretary General Jens Stoltenberg said on July 10 at the alliance's summit in Washington.
watamfanya nini Mchina nchi moja tu inasaidia wanalialia wao nchi 81 wanapambana na nchi moja tu wanalialia nini
 
Hak

Hakuna kitakachobadilika mfa maji haishi kutapatapa,misaada mingapi ilikuja Kwa mbwembwe.Marekani anajivua nguo mwenyewe Bora aibu ndogo kuliko kung'ang'ania ukaishia kupata aibu zaidi
Licha ya hayo hizo ndege za F-16 ni stock ya zamani ambayo imetumika hadi Libya hivyo wao waziondoa kwenye maghala yao na zingine kuziuza kwa nchi zinohitaji na zenye mikataba nao.

Pia idadi ya ndege hizo ni ndogo kuweza kuleta mabadiliko yoyote kwenye uwanja wa vita kama alivyosema Zelensky mwenyewe na kusema ni kama msaada wa vifaa vya Abram ambavyo navyo havikusaida chochote.

Na sababu ingine ambayo pia Zelensky ameikiri ni kwamba Russia ana ndege nyingi angani yaani "combat aircrafts" zipatazo 300 ndani ya eneo la Ukraine hivyo zitakuwa kama zasiburia tu hizo F-16 ziingie kwenye anga la Ukraine.

Ili kuweza kuikabili uzuri Russia, Zelensky amesema Ukraine yahitaji hizo F-16 zipatazo 128 na kuendelea na sio 50 au 60.
 
...assassinate the CEO of arms manufacturer Rheinmetall in Germany, which supplies weapons to Ukraine, CNN....
Trump alitwambia CNN na wenzao ni waongo wapo tayari kupokea habari za mashaka na kuzitangaza Za chini chini kutoka viunga vya US Intel ni kuwa...
===
The US intelligence service warned about the "conspiracy" of the Germans, the author of the article writes, citing anonymous sources in the special services.

The article says that the Russian Federation has allegedly been conducting a sabotage campaign throughout Europe for more than six months, and plans to kill Papperger became known in early 2024.

The US National Security Council refused to comment to the media on the existence of a Russian conspiracy.

The Kremlin has repeatedly denied Russia's involvement in the diversions in Europe
. In particular, commenting on one of the Financial Times publications, Dmitry Peskov called such accusations "frivolous" and "unfounded."

Source: pravda
 
⚡French and Polish mercenaries eliminated in Vovchansk.
 

Attachments

  • 39dedef5-94ed-4c35-98f5-af2dbc51eff3.jpg
    39dedef5-94ed-4c35-98f5-af2dbc51eff3.jpg
    96.2 KB · Views: 4
  • df045091-254b-4e48-9463-c1a05b79a8a9.jpg
    df045091-254b-4e48-9463-c1a05b79a8a9.jpg
    39.6 KB · Views: 4
  • 5f5b24db-1058-4536-8aa0-35cb1d3c6cb0.jpg
    5f5b24db-1058-4536-8aa0-35cb1d3c6cb0.jpg
    96 KB · Views: 5
  • a838ac4e-d771-4fcb-afe7-0c2059519385.jpg
    a838ac4e-d771-4fcb-afe7-0c2059519385.jpg
    68.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom