Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
^My money still coming, right?^ lol
^My money still coming, right?^ lol
Basi acha aendelee kupambana tuone kama atalipia gharama ndogo ama atalipia gharama nyingi zaidi akiwa anapambanaKuna gharama kubwa sana za kulipa kwenye uamuzi huo.
Russia to know the figures???Kipanyaaaaa mzee mwenzangu wa takwimu msikie huyu.
⚡Zelensky in an interview with BBC:
"I know how many people we lose every day. I see these changes every day. And they are not decreasing. We cannot disclose the number right now because I do not want Russia to know the figures ."
Ila kwasasa SMO inatakiwa zaidi na kina PUT IN kuliko wakati mwengine wowoteBORIS bado anaweweseka, huyu mzee ana dhambi kubwa sana ameibeba kwenye nafsi yake. Damu za Waukraine atakwenda kuzilipa.
========================
Former British Prime Minister Boris Johnson proposes to abandon the demand for the return of the 1991 borders to Ukraine. He also proposes to provide rights to the Russian-speaking population as “compensation to Putin.”
▪️Johnson wrote about this in an article for the Daily Mail, commenting on negotiations with Trump.
▪️Trump understands that the defeat of Kyiv will be a huge defeat for the United States. And Putin, in turn, will become a threat to all countries of the former USSR.
▪️In parallel, there will be a threat to Taiwan from China and to Israel from Hezbollah. And the United States will have to choose: either give up world leadership or go to war.
▪️Johnson believes that Trump can end the war on terms acceptable to Ukraine and the West. By these conditions, he means Ukraine’s access to the borders on February 24, 2022 (that is, the refusal of the 1991 border requirement) and the possibility of Ukraine joining the EU and NATO.
▪️To do this, he proposes to increase military assistance to Ukraine, speed up supplies and lift existing restrictions on strikes on the territory of the Russian Federation with Western weapons.
▪️In the future, he said, a well-armed Ukrainian army could replace the US contingent in Europe, which would allow Trump to save money, bring American soldiers home and force Europe to do more for its own defense capabilities.
▪️As compensation to Putin, Johnson proposes introducing “special protection measures for Russian language speakers” in Ukraine and carrying out a global restoration of US relations with Russia with the possibility of returning to the times when the Russian Federation was a “respectable partner” of the G8 and NATO.
▪️In the spring of 2022, at the Istanbul negotiations, Putin was ready to withdraw troops to the line on February 24 (except for the LDPR - this issue should be discussed at a personal meeting between Zelensky and Putin), but, as the head of the negotiating group David Arakhamia later stated, Kyiv refused these conditions. Including because the position “we will continue to fight” was taken by British Prime Minister Boris Johnson.
▪️Now Putin’s conditions have become tougher. Thus, he demands that the entire territory of the LDPR, Zaporozhye and Kherson regions be given back to the Russian Federation.
View attachment 3047696
View: https://x.com/Gerashchenko_en/status/1814716077164666881/photo/1
Wavaa Kobazi wajifunze kitu
Watu wa Russia wanawaza kuishi USA, UK, Israel na sio Iran
Americant safari hii kazi wanayo kwakweliMwanamama ataipoteza dunia yote na kuipa mwisho wake
Ukweli huwa unachelewa tu kufika.Kipanyaaaaa mzee mwenzangu wa takwimu msikie huyu.
⚡Zelensky in an interview with BBC:
"I know how many people we lose every day. I see these changes every day. And they are not decreasing. We cannot disclose the number right now because I do not want Russia to know the figures ."
SawaBasi acha aendelee kupambana tuone kama atalipia gharama ndogo ama atalipia gharama nyingi zaidi akiwa anapambana
Ukraine wanayo sababu.Ila kwasasa SMO inatakiwa zaidi na kina PUT IN kuliko wakati mwengine wowote
Juzi kama sijakosea ni maria yule alisema kwamba RUSSIA inataka mazungumzo ya amani na UKRAINE ila akatanabahisha kwamba hawawezi fanya mazungumzo na Elensky sababu sio rais halali wa ukraine uhalali wake uliishaisha
Maria akaongezea kwamba ili waongee na UKRAINE inatakiwa kwanza wakubali kikatina kwamba LPR DPR ZAPO na KHERSON ni sehemu halali za RUSSIA
Sioni RUSSIA akiachana na mawazo yake na sioni masponsa wakiacha kumsapoti Elensky hata kama ataingia DT
Ila wacha tuone mambo yatakuaje muda utatupa tu majibu kama tutakua wazima na hai tutajionea kama tutakufa waliopo wataona yatojiri
Kwamaoni yangu SMO iendelee maana UKRAINE waliyataka wenyewe tokea awali kuongea na RUSSIA kwasasa ni uzembe wameua watu bila sababu wameharibu nchi yao bila sababu nk nk nk
Hakuna sehemu nimesema ukraine hana sababuUkraine wanayo sababu.
Hawataki Russia awapangie maisha.
Hakuna sehemu nimesema ukraine hana sababuUkraine wanayo sababu.
Hawataki Russia awapangie maisha.
Na aina ya maisha tunayoyaishi mzee duniani lazima wakubwa wakupangie namna ya kuishiUkraine wanayo sababu.
Hawataki Russia awapangie maisha.
Unasema hivi.Hakuna sehemu nimesema ukraine hana sababu
Ila uwe na uwezo unadhani ukraine anaweza kuepuka kupangiwa maisha na russia?
Hata cuba pia alikua hapendi kupangiwa maisha na amerika ila akaangalia out na in come akachagua njia sahihi
Ukraine atake asitake lazima lazima lazima atakuja kufata matakwa ya RUSSIA ingawaje akizidi kuchelewa maana mpaka hapa kaishachelewa taya
Huu sio Uzi wake hapa ni Ukraine na Urusi .🇯🇴🇮🇱⚡️- Arab sources report the IDF firing flares along the Israel-Jordan border
Ha ha haaBasi acha aendelee kupambana tuone kama atalipia gharama ndogo ama atalipia gharama nyingi zaidi akiwa anapambana
LoL!Eighteen ACTIVE DUTY British SBS Killed; 25 Wounded in Russian Strike Upon Odessa
![]()
A precise strike by the Russian armed forces against a target in Odessa resulted in the destruction of an entire unit of British Special Boat Service (SBS)* fighters - "underwater saboteurs, the elite of the British saboteur community."
As a result of a very precise hit by the Russians, 18 members of the British special forces were killed and 25 others were wounded.
The most interesting thing is that the investigators who came to the scene spoke exclusively English. This means that they (the British) no longer trust the Ukrainian SBU.
There is information that the Ukrainian soldiers have passed on all the data.
There is already sabotage going on by ACTIVE DUTY TROOPS OF NATO-MEMBER COUNTRIES, against Russian forces. These NATO troops are engaged in actual warfare in Ukraine. Yet NATO laughingly claims it "is not a party to the conflict."
Russia determined the place and time so that the entire British elite unit would be hit. Russia succeeded.
It is important to note, there are very few such specialists in the entire United Kingdom; perhaps 100-120 people for the whole country. As such, this Russian strike was a very serious blow; not for Ukraine but for Britain.
* - The article has been corrected to identify the dead as members of the Royal Navy's "Special Boat Service (SBS)" as opposed to Special Air Service (SAS)
Ndio sababu walikua na uwezo wakuyaongea kablaUnasema hivi.
"UKRAINE waliyataka wenyewe tokea awali kuongea na RUSSIA kwasasa ni uzembe wameua watu bila sababu wameharibu nchi yao bila sababu nk nk nk"
Omba uzima uone itakavyo isha.Ndio sababu walikua na uwezo wakuyaongea kabla
Unadhani vita hio haitaisha itadumu milele?
Naunadhani itamaliza kwa ukraine kupata ushindi?
Ukraine atafata masharti ya Russia kwakupenda ama kwakutokupenda nisuala la muda tuuu
Dah, jamaa ana shit sana huyu Trump.