LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Jinga shetani Linataka Vita jitu jinga sana hili shoga..Hii vita Trump alishasema ataiacha haraka mana ni hatari kwa dunia.
 
Russia to know the figures???

Angesema tu kwamba hataki kuwapanikisha masponsa zake na makruta wapya waendao vitani.

Hata hivyo katika ulimwengu wa sasa wa teknolojia, hakuna siri tena.
 
Ila kwasasa SMO inatakiwa zaidi na kina PUT IN kuliko wakati mwengine wowote
Juzi kama sijakosea ni maria yule alisema kwamba RUSSIA inataka mazungumzo ya amani na UKRAINE ila akatanabahisha kwamba hawawezi fanya mazungumzo na Elensky sababu sio rais halali wa ukraine uhalali wake uliishaisha
Maria akaongezea kwamba ili waongee na UKRAINE inatakiwa kwanza wakubali kikatina kwamba LPR DPR ZAPO na KHERSON ni sehemu halali za RUSSIA
Sioni RUSSIA akiachana na mawazo yake na sioni masponsa wakiacha kumsapoti Elensky hata kama ataingia DT
Ila wacha tuone mambo yatakuaje muda utatupa tu majibu kama tutakua wazima na hai tutajionea kama tutakufa waliopo wataona yatojiri
Kwamaoni yangu SMO iendelee maana UKRAINE waliyataka wenyewe tokea awali kuongea na RUSSIA kwasasa ni uzembe wameua watu bila sababu wameharibu nchi yao bila sababu nk nk nk
 
Mwanamama ataipoteza dunia yote na kuipa mwisho wake
Americant safari hii kazi wanayo kwakweli
Sijui ndani wanasemaje ila majambo anayo yafanya trumpet yanahatarisha nguvu ya marekani ulimwenguni nadhani hata system haikubaliani nae
Nasidhanii kama licha ya kuwa wanataka haki sawa kwa wote sidhanii kama wanapenda kuongozwa na mwanamke
Ngojea tuone ila kimsingi mwanamke hafai kuongoza yaani sio nchi hata familia
 
Ukweli huwa unachelewa tu kufika.

Uongo huwa unawahi.

Yule kichaa huwa anatuma takwimu za kipumbavu na hata hajishitukii.

Kuna pumba anaziandika hata asie na akili hawez kuziandika.
 
Ukraine wanayo sababu.
Hawataki Russia awapangie maisha.
 
Ukraine wanayo sababu.
Hawataki Russia awapangie maisha.
Hakuna sehemu nimesema ukraine hana sababu
Ila uwe na uwezo unadhani ukraine anaweza kuepuka kupangiwa maisha na russia?
Hata cuba pia alikua hapendi kupangiwa maisha na amerika ila akaangalia out na in come akachagua njia sahihi
Ukraine atake asitake lazima lazima lazima atakuja kufata matakwa ya RUSSIA ingawaje akizidi kuchelewa maana mpaka hapa kaishachelewa tayari
 
Ukraine wanayo sababu.
Hawataki Russia awapangie maisha.
Hakuna sehemu nimesema ukraine hana sababu
Ila uwe na uwezo unadhani ukraine anaweza kuepuka kupangiwa maisha na russia?
Hata cuba pia alikua hapendi kupangiwa maisha na amerika ila akaangalia out na in come akachagua njia sahihi
Ukraine atake asitake lazima lazima lazima atakuja kufata matakwa ya RUSSIA ingawaje akizidi kuchelewa maana mpaka hapa kaishachelewa taya
 
Ukraine wanayo sababu.
Hawataki Russia awapangie maisha.
Na aina ya maisha tunayoyaishi mzee duniani lazima wakubwa wakupangie namna ya kuishi
Inajulikana wajumbe wa tano wa kudumu pale UN ndio wanaamua dunia iendeje
Unadhani jerman na japan hawakua wanapenda kua military power?
 
Unasema hivi.
"UKRAINE waliyataka wenyewe tokea awali kuongea na RUSSIA kwasasa ni uzembe wameua watu bila sababu wameharibu nchi yao bila sababu nk nk nk"
 
LoL!
Hasara hii,kwa Britain
 
Unasema hivi.
"UKRAINE waliyataka wenyewe tokea awali kuongea na RUSSIA kwasasa ni uzembe wameua watu bila sababu wameharibu nchi yao bila sababu nk nk nk"
Ndio sababu walikua na uwezo wakuyaongea kabla
Unadhani vita hio haitaisha itadumu milele?
Naunadhani itamaliza kwa ukraine kupata ushindi?
Ukraine atafata masharti ya Russia kwakupenda ama kwakutokupenda nisuala la muda tuuu
 
Ndio sababu walikua na uwezo wakuyaongea kabla
Unadhani vita hio haitaisha itadumu milele?
Naunadhani itamaliza kwa ukraine kupata ushindi?
Ukraine atafata masharti ya Russia kwakupenda ama kwakutokupenda nisuala la muda tuuu
Omba uzima uone itakavyo isha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…