LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Vipi mzee SYRIA ni kilometa ngapi kutoka Russia.Kumbuka US na mamluki wake wakiwemo waimngereza walibakiza 20 Km tu kuingia Damascus kuingoa serikali ya Assad.Lakini mwamba PUTIN alipoamua kungia mazima kumlinda Assad nini kilitokea? Mchezo uligeuka na sehemu kubwa ya Syria ikakombolewa.Leo hii tayari haya manafiki yanakimbilia kufungua balozi na Syria.Jana tu Germany na France zimefungua uhusiano, wa kibalozi na Syria.
 
⚡North Korean long-range Bulsae-4 ATGM system spotted for the first time by Ukrainian forces in Kharkiv region.

It is classified as a non-line-of-sight (NLOS) missile system, which allows it to engage targets without the need for direct line-of-sight to the target.

The system consists of a launch package containing eight missile containers.
 

Attachments

  • e1829501-1bb7-4c3a-9992-89ff54c35143.jpg
    68.6 KB · Views: 5
  • 603d8bba-cb0a-4a55-8cf0-0cd9e1883058.jpg
    18.3 KB · Views: 6
Mahaba mabaya sana.Lengo la USA kuivamia Afghanistan ilikuwa ni kuisambaratisha Taleban na kuweka serkali kibaraka.Lengo hili limeshindwa kwa asilimia 100 kwani aliyeko madarakani ni Taleban.USA wameondoka baada ya kuona wanasuffer loss ya watu kufa vitani na gharama kubwa ya kundesha vita bila dalili yeyote ya kuweza kuitokomeza Taleban.Mwisho walinyoosha mikono juu na kuondoka wakiiacha tena nchi mikononi mwa Taleban.Wao walishinda battle lakini Taleban wameshinda vita.Wachambuzi wao wengi wa kijeshi waliwaonya kuhusu hii vita na wengi wakiwahakikishia hata baada ya miaka 20 bado watakaokuwa wamesimama pale ni Talenban.Ndio ulioona wameeondoka na mikia yao kati kati ya miguu.
 
Kinachokemewa hapa ni mwenye nguvu kukanyaga mdhaifu.
 
Kinachokemewa hapa ni mwenye nguvu kukanyaga mdhaifu.
Sio kweli
Anaekemewa hapa russia hawakemewi wenye nguvu kama unavyodai
Uk anakalia falk land kule argentina ila anatoa eti msaada kuzuia russia asiikalie ukraine
Us anaikalia cuba ila anatoa msaada mwenzake asiikalie ukraine wakati nae mwizi
Ufarans nae juzi tu hapa tumeona watu kule anapokalia ardhi za watu ila yeye anatoa msaada dhidi ya russia kwa ukraine
Kinachoendelea ni unafiq na ujanja ujanja
Ili tuunge mkono yanayofanywa na marekani na shoga zake kwanza watoke mataifa ya watu wanayoyakalia watapata uhalali wakutoa misaada
Wewe mwizi ila unaona mwenzako akiiba anafanya makosa huu kama sio usanii nini?
 
Yaani unashangaa kweli
Mtu anakwambia marekani kashinda afghanistan ukimuuliza kashinda nini hawezi kukupa majibu ukamuelewa
Ukweli nikwamba marekani aliivamia Afghanistan madaraki akiwepo taleban na kaondoka kawaacha hao hao
Sasa unashangaa mtu anakwambia marekani walishinda walishinda nini labda walishinda njaa
Sasa waone mpaka kuisha SMO pale ukraine waone kama yale majimbo manne atabakia nayo tena ukraine nahuu sasa ndio ushindi maana malengo lazima yafikiwe kisawa sawa
Marekani alichemka vietnam akachemka somalia akachemka akachemka Afghanistan akachemka siria nasasa wanaenda kuchemka ukraine maana walisema vikwazo na msaada nikwaajili ya ukraine kuregesha sehemu zake alizotangaza russia kua zakwake
 
Kuna muda unajiuliza hawaoni ama hawajui
Russia hii vita anapigana nayo kiakili na kibabe sanaa
Russia vita anapiganwa ukraine nzima ila eneo lengwa kalifanya liwe dogo ili kuhakikisha anatumia resources ndogo sana
Eneo la vita limekua don bass kherson zapo na hapo kharkiv ila russia anapiga mpaka liviv
Russia alijua kama wamagharibi wanataka aivamie kivu mazima mazima ila kumbe kawazidi akili kuliko walivyodhania
Russia angekimbilia moja kwa moja kivu alikua anaenda kushinda vita kwa nguvu kubwa zisizo lazima ila angepoteza watu wake wengi sana sana sanaa
DT juzi hapa kakiri kwamba Russia ni habari nyengine jf kuna watu wanajua kuliko DT
 
Una mahaba niue sana. Hivi unajua licha ya Marekani kuikalia Afghanistan Kwa miaka 21 hawakuwahi japo kuwa na full control ya Afghanistan?
Mpaka mwezi Juni 2021 karibu robotatu ya Afghanistan ilikuwa chini ya watoto wa mbwa wajiitao Taliban.
 
Kaka una uhakika foreign Legion and mercenaries hawazidi 5000, na wengi ni active and reserve kutoka U.S,Europe and Allies
Msaada wa silaha kutoka U.S, Europe and Allies with cutting edge technologies and trainings unasema ni mdogo kaka!?
Financial aid ambayo ni more times ya Russian budget,
Nilitegemea utalinganisha budget ya Urusi kijeshi na msaada wa fedha aliopewa Ukraine jibu utalipata.
Bila kusahau economic, technology sanctions and frozen assets
 

View: https://vm.tiktok.com/ZMrHQSAQx/

Uko sahihi kabisa Mkuu.
Huyo alietoa hizo namba za askari wa Marekani waliouliwa na wanajeshi wa Urusi ni 100,000.
Alietoa hesabu hiyo ni Col Douglas Mac Gregory ni mwanajeshi mstaafu wa USA.
 
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️100%
 
,,✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️100%
 
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️100%
 

Attachments

  • 590c92e9-fb2b-419f-920c-ef049e338b8f.jpg
    13.9 KB · Views: 4
  • 7018b951-f94d-40b3-b81c-5f6b4aa985ac.jpg
    23 KB · Views: 3
⚡Venezuela has announced a Suspension in Diplomatic Ties with Argentina, Chile, Costa Rica, Peru, Panama, the Dominican Republic, and Uruguay; following these Countries declaring that yesterday’s Election in Venezuela was Fraudulent and calling for Nicolás Maduro to Step-Down as President.
 
Imeisha hiii
Kumchomoa maduro wasahau labda kama russia na china waamue kua aondoke
Naona kelele za jana pale caracas zimepoa ghafla sana
📝 Many of the demonstrators recently flew in from the US, they receive $150 a day - Maduro

The President of Venezuela noted that the actions of the protesters are similar to the actions of participants in the “color revolutions” produced by the Americans.

📝 “Crises serve for growth. They want to create a political crisis, they could not and will not be able to. Acts of violence and fascism will not pass. We will win,” Maduro said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…