LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kyiv Post:

Ukrainian soldiers working with Rapid Support Force terrorists fighting against the Sudanese government.
 

Attachments

  • 22853eda-a5d1-4d14-991d-612e8a631385.jpg
    78.2 KB · Views: 3
Mzee wa busara aliwahi kusema "Ogopa sana mjinga anayejiamini"....... Mwisho wa kunukuu.... Chuki za jamaa zinamfanya kuwa mjinga wakati ana akili nzuri tu.
 
Hii vita Putin kashaishindwa kuimaliza - cha msingi wakae mezani wayamalize.
 
Ndugu yanguuu...Kuna watu wanakula kuliko Trump ..na wapo BUSIKIMBI huko Buchosa ndanindani huko maisome ..makalioni mwa nchi.... Aseee....
 
Hii vita Putin kashaishindwa kuimaliza - cha msingi wakae mezani wayamalize.
Mbaya zaidi warusi wanazidi kulambishwa mchanga kila iitwapo Leo..,hii ni Jana tu,ni zaidi ya elf Moja walichinjwa 🥱🥱🥱🥱
 
Hivi vifaa vilitangazwa sana kabla havijaletwa uwanja wa vita,lkn Sasa vimekua chakula ya moto wa Urusi.
Watu walitumaini zitabadili mwenendo wa vita.
Tunasubiri tuone ndege F-16 zitabadilisha Nini.

Uzuri wa vita hii inatupa majibu ya ubishani wa miaka mingi juu ya uwezo wa kijeshi baina ya Urusi na west.
Maana majibu tunayaona Sasa sio Kila mtu kuandika TU ana yofikiri.
Vita ni kama mpira TU, mpira ni mchezo wa wazi na vita ni tukio la wazi.
Matokeo ya vita Kila mtu anayaona mbabe anajulikana na dhaifu anajulikana.
Nchi moja inapamabana na nchi zaidi ya 30.

Mifumo ya ulinzi ya Urusi ndio Mifumo pekee duniani Kwa Sasa ambayo imepambana na makombora Bora kabisa kutoka nchi Bora kabisa hapa duniani.
Mfano ATACMS ya USA na storm Shadow ya UK

_____________________

Russian forces have destroyed another German-made Ukrainian Leopard 2A4 tank, fresh footage that surfaced online on Tuesday shows.
______________________

The Russian Defense Ministry on Monday reported the destruction of another Ukraine-operated M1 Abrams tank, and shared drone footage of an artillery strike on the vehicle.

______________________


US-made М270А1 MLRS system was destroyed on Monday, the Russian Defense Ministry has reported, sharing footage of a ballistic missile strike on its position
The system, a heavier-tracked cousin of HIMARS capable of firing both ATACMS tactical ballistic missiles as well as smaller high-precision projectiles, was identified by a surveillance drone near the village of Novotroitskoye in Russia’s Kherson Region, which is currently occupied by the Ukrainian forces
 
Mkuu nakupa heshima zote kwa andiko hili.
Kwa kukuongezea TU juu ya nondo zako hizi ulizotoa ni kwamba Sasa hivi sio muda wa ubishi Tena.
Bali Sasa hivi ni kufuatilia TU kinachotokea uwanja wa vita huko Ukraine na kuona matokeo.
Kabla ya vita na mwanzo wa vita tulidanganywa sana juu ya ukuu wa nchi za west dhidi ya Urusi.
Lkn Sasa vita tunaishubidia wenyewe na matokeo tunayaona.
Wakati huu wa vita ndio tunaweza kuona bila mtu yoyote kutuhadithia juu ya nani ni Bora zaidi kuliko mwingine.
Kwani vita ni kama mchezo wa mpira vile,yaani mpira ni mchezo wa wazi na vita ni tukio la wazi kabisa,anaeshidiwa anaonekana na anaeshinda anaonekana.
Sio Siri Dunia nzima inajua wazi kua,NATO wote hawaishi vikao,misaada kwa Ukraine ya fedha silaha na vikwazo dhidi ya nchi moja.
Dunia nzima inajua kua Urusi inakamata ardhi Kila siku,hivyo blabla kua Urusi ni dhaifu labda wakaambiwe manyani kama wataelewa,lkn akienda chekechea akawaambia kua Urusi ni dhaifu watoto watamhoji maswali kibao ya kushangaa.
 
Russia Reportedly Downs Its Own Mi-8 Helicopter, According to Russian Media

Russian media channels are reporting the loss of an Mi-8 helicopter near Donetsk. According to them, Russian air defense could have downed it.

It is reported that the helicopter could have been carrying injured people.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…