West ni wazuri sana kwa propaganda na hasa kwa sababu wengi hupenda kuamini habari zao bila kufikiri.Kipanya anatutandika mpaka kwa memes
Ili tukio la incursion kwa kikosi kidogo cha Ukraine ni la kawaida na lenye impact ndogo sana kwenye matokeo ya SMO.Propaganda iliyotengenezwa utaaminishwa Ukraine kateka mji mzima kumbe ameambush tu kutia hofu wananchi wasio na hatia.Hii ni kama Sept 11 alivyoshtukizwa USA na wale wahuni wachache.
kuna walioenda mbali kutoa tathmini ya ubovu wa jeshi ra URUSI,lakini nawakumbusha USA na washirika wake 30 walipambana kwa wiki tatu kukikomboa kitongoji cha Fallujah pale Iraq,je ni kwamba USA alikuwa mchovu? Vita ni sayansi kamili na kuna macalculation makali yanapigwa.Wengi wenu hamjui ya kuwa asilimia kubwa sana ya waukraine wana asili ya Urusi na bado wana mafungamano ya dhati na Russia .NATO wanamprovoke RUSSIA awaNetanyahu wa UKRAINE ili kubomoa hii connection.Putin na cabinet yake wanajua huu mtego na ndio maana wanadestroy miundo mbinu ya kijeshi ili kumvunja nguvu Zelensky aende kwenye majadiliano.
Lakini ikifika wakati ambao RUSSIA wataona inatosha(Mungu aepushe) Kiev itakuwa sawa na Jangwa linalotengenezwa GAZA.Weka hii kumbukumbu.