LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kipanya anatutandika mpaka kwa memes
West ni wazuri sana kwa propaganda na hasa kwa sababu wengi hupenda kuamini habari zao bila kufikiri.
Ili tukio la incursion kwa kikosi kidogo cha Ukraine ni la kawaida na lenye impact ndogo sana kwenye matokeo ya SMO.Propaganda iliyotengenezwa utaaminishwa Ukraine kateka mji mzima kumbe ameambush tu kutia hofu wananchi wasio na hatia.Hii ni kama Sept 11 alivyoshtukizwa USA na wale wahuni wachache.

kuna walioenda mbali kutoa tathmini ya ubovu wa jeshi ra URUSI,lakini nawakumbusha USA na washirika wake 30 walipambana kwa wiki tatu kukikomboa kitongoji cha Fallujah pale Iraq,je ni kwamba USA alikuwa mchovu? Vita ni sayansi kamili na kuna macalculation makali yanapigwa.Wengi wenu hamjui ya kuwa asilimia kubwa sana ya waukraine wana asili ya Urusi na bado wana mafungamano ya dhati na Russia .NATO wanamprovoke RUSSIA awaNetanyahu wa UKRAINE ili kubomoa hii connection.Putin na cabinet yake wanajua huu mtego na ndio maana wanadestroy miundo mbinu ya kijeshi ili kumvunja nguvu Zelensky aende kwenye majadiliano.

Lakini ikifika wakati ambao RUSSIA wataona inatosha(Mungu aepushe) Kiev itakuwa sawa na Jangwa linalotengenezwa GAZA.Weka hii kumbukumbu.
 
Yani US alietoka nyumbani kwenda kupigana Iraq unalinganisha na Urusi anayepigana na kanchi alikopakana nako?
 
Russian missile destroys Ukrainian command post in Kursk – MOD (VIDEO)
An Iskander has eliminated 15 members of the staff of Kiev’s 22nd Separate Mechanized Brigade, the Defense Ministry has claimed
Source: Russia's Ministry of Defense
A missile strike has destroyed a Ukrainian command-and-control center in Russia’s Kursk Region, the Defense Ministry in Moscow has said, releasing video of the strike. Ukrainian forces launched a large-scale incursion into the border region earlier this week.

In a statement on Saturday, the ministry said that an Iskander-M short-range ballistic missile system had carried out a strike on a previously reconnoitered command post of Ukraine’s 22nd Separate Mechanized Brigade not far from the border between the two nations.

“As a result, the command staff of the… brigade, 15 people in total, was eliminated,” the statement said, adding that “there will be no mercy.”

Drone footage released by the ministry shows what appears to be a cluster of several buildings in the middle of a heavily wooded area, with at least one Ukrainian armored vehicle also present in the area. One of the buildings is then hit by a powerful explosion, sending a plume of smoke into the air.

Source: Russia's Ministry of Defense
Iskander missiles can carry a payload of up to 700kg of explosives up to 500km and travel at hypersonic speeds. Russia has been using this weapon in recent weeks to strike staging areas used by Ukrainian forces, command and control centers, airfields, defense industrial facilities, and other military targets
 
Russian tanks take up positions in Kursk Region (VIDEO)

Moscow has been deploying additional forces to the border area amid an incursion by Ukrainian troops
Source: Russia's Ministry of Defense
The Defense Ministry in Moscow has published footage of Russian tanks taking up positions in Kursk Region amid an incursion into the border area by Ukrainian forces.

On Tuesday, Kiev launched its largest attack on Russian territory since the outbreak of the conflict between the neighboring states. The Russian military said on Wednesday that the advance was halted, but Ukrainian troops remain in some areas of Kursk Region and continue their attempts to move forward.

The Russian tank crews will “carry out combat missions to inflict fire damage on the equipment and manpower of the Ukrainian military in the border area of Kursk Region,” the ministry said in a post on Telegram on Saturday.

They have been deployed to “tank-hazardous” locations to take on mobile groups of Kiev’s forces, the post read. The crews are “fully prepared for combat operations and for attacking the enemy both with direct fire and from closed firing positions,” it added.

Source: Russia's Ministry of Defense
The Defense Ministry also published footage of Russian drone operators destroying a US-made MaxxPro armored fighting vehicle operated by the Ukrainian military in Kursk Region.

Source: Russia's Ministry of Defense
Another video titled ‘The Night Hunt’ shows Russian Su-24 jets striking Ukrainian troops with glide bombs.

Source: Russia's Ministry of Defense
Ukraine has lost up to 1,120 servicemen and 140 armored vehicles since the start of the incursion, the Russian Defense Ministry said on Saturday.
 
:Russia's Ministry of Defense

Ukraine has lost up to 1,120 servicemen and 140 armored vehicles since the start of the incursion, the Russian Defense Ministry said on Saturday.
 
Hii ni mubashara "live":

Kuangalia kwa sasa

Started streaming 3 hours ago #HezbollahStrikes #IranWarning #RegionalConflict
Kambi za jeshi la Israel zimeshambuliwa vikali, huku Hezbollah ikidai kuhusika na mashambulizi dhidi ya kambi za wanajeshi, kituo cha ujasusi, na kituo kipya cha kijeshi. Mashambulizi hayo yanafuatia mauaji ya kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh mjini Tehran, ambayo Iran imeonya kuwa yatakuwa na "athari kubwa". Mlipuko mkubwa ulitikisa kambi ya Tzeelim karibu na Gaza, na kuwajeruhi wanajeshi ya mazayuni tisa, wawili wakiwa katika hali mbaya. IDF wanalia...


View: https://www.youtube.com/live/SUM0bnSDLFU?si=9hHwYkfrGjjL1Nl_
 
Habari zake nyingi za uongo, mpaka Leo hajawahi kukubali kama Bakhamut Iko chini ya Russia.
Kioanya anazo taarifa ambazo hata wa Ukraine wenyewe hawana hongera sana kwake,anatoa taarifa unazitafuta RT,DW,SKY NEWS, AL JAZEERA Huzipati na ikitokea BBC wameandika atatupostia humu Kila page ila hongera ana muda wa mzuri wa kutafuta taarifa
 
Russia has evacuated over 76,000 citizens from the Russian-Ukrainian border in Kursk Oblast as Ukraine continues its incursion in the region, Russian-state-controlled media Tass reported.
 
DO YOU WANT TO LAUGH AND SEE HOW MUCH HYPOCRISY RUSSIA HAS?
Zakharova: Russia calls on the international community to strongly condemn the criminal attacks by the “Kiev regime” on Russian territory. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Sio mahala pake we bibi kizee
 
Jamaa wameamua kusafisha kila kitu! Vipi hawakujua kiama kinakuja??

Russia 'uses vacuum bomb capable of vaporising humans' in response to Ukraine's Kursk attack​



Russia says it has used a thermobaric bomb against Ukrainian forces as it announced a "counter-terrorism" operation to retaliate against Ukraine's shock incursion into Kursk.


The Russian army has conducted airstrikes against Ukrainian forces, including using a thermobaric bomb, also known as a vacuum bomb.

The pressure from the bomb's extra hot blast is capable of vaporising human bodies.


 
Nakuunga mkono.

Nimekuwa nikilisema hili toka muda.

Hii vita kama ingekuwa ni mpakani kwa Marekani sasa hivi huyo jirani yake zingetapakaa maiti tu na vifusi.
Unaizungumzia Marekani hii ambayo ilikimbizwa na watalaban wa Afghanistan na kuacha silaha kibao ambazo sasa zikimilikiwa na jeshi la Taleban?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…