Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
ItajeKwamba hakuna nchi nyengine?
Ukraine wanatakiwa wapondwe pondwe haswaaNimeona silaha zinazopelekwa huko Kursk naogopa sana Urusi wanaenda kuangamiza kabisa,na Dunia haitakua na Cha kuwalaumu.
Nyuklia wanatumia watu walio au wanaotaka kushindwa kama vile alivyofanya marekaniMaangamizi Urusi amekuwa akiyafanya Toka hivi vita vimeanza sijui unazungumzia maangamizi yepi kitu pekee Putin amebakiza ktk hii vita ni matumizi ya nyuklia tu maana silaha zote keshatumia.
Ukraine au Urusi?Ukraine wanatakiwa wapondwe pondwe haswaa
Hawajui wanataka nini
Yaani unafananisha aloenda kupigana ugenini na mtu ambae hapewi msaada wowote na huyu anaepigana na jirani yake ambae anapewa kila aina ya msaada😀Yani US alietoka nyumbani kwenda kupigana Iraq unalinganisha na Urusi anayepigana na kanchi alikopakana nako?
Wewe unajua ukraine anataka nini mpaka sasa?Ukraine au Urusi?
Maana urusi ndiye mvamizi na Ukraine anajilinda kutokana na uvamizi aliofanyiwa kwahiyo ukisema Ukraine hajui analolitaka itakuwa ni kichekesho.
Silaha za China, Iran na North Korea zinafanya nini Urusi?Yaani unafananisha aloenda kupigana ugenini na mtu ambae hapewi msaada wowote na huyu anaepigana na jirani yake ambae anapewa kila aina ya msaada😀
Supapawa haamini na yeye Leo kavamiwa.Duh naona mzee mzima Russia sasa anahaha kuwatoa watoto ndani kwake.
Tuliambiwa mpaka Jumatatu hawatakuwepo hata mmoja, wengine wakasema Ukraine askari 950 wameuliwa kati ya wale 1k.
Tushawaacha mkuu,fanyeni kazi sasa msituangushe tukajaoneka wasaliti!Nashangaa warusi wanapanik wakati wao wamefanya offensive karibu mwaka mzima huku Ukraine ikiwa inawachek tu., mwachen Ukraine atambe,ni zamu yake!