LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kwa tactics anayoitumi Ukraine, lazima Urusi apate shida na itachukua muda Ku adopt,.
Ameamua kutumia mbinu za Mujahideen, Attack, hide and seek na inaweza kupunguza offensive front hasa Niu York, Kharkiv na Donbass ambako Ukraine anafanya vibaya

Russia akifanikiwa Ku handle hii new tactics ambayo ndio last hope ya Ukraine na west, hii vita itakuwa imeisha
Hakuna kitu hapo ..mrusi atakacho kifanya nikuchukua ardhi yote ya ukrain iliyopo mipakani na nchi yake ni swala la muda tu ...Ukraine kavamia eneo lisilokuwa na vita wala askari wengi na kuzikwepa ngome za urussi kwenye uwanja wa vita ..mbinu hiyo mara nyingi huua raia zaidi ndiyo maana urusi hakutaka kuitumia.
 
Ni k
Hakuna kitu hapo ..mrusi atakacho kifanya nikuchukua ardhi yote ya ukrain iliyopo mipakani na nchi yake ni swala la muda tu ...Ukraine kavamia eneo lisilokuwa na vita wala askari wengi na kuzikwepa ngome za urussi kwenye uwanja wa vita ..mbinu hiyo mara nyingi huua raia zaidi ndiyo maana urusi hakutaka kuitim
Ni kwamba urusi kamvamia Ukraine,na Ukraine nae kageuza kibao kamvamia urusi..,hayo mengine blabla!
 
Ni k

Ni kwamba urusi kamvamia Ukraine,na Ukraine nae kageuza kibao kamvamia urusi..,hayo mengine blabla!
Uvamizi wa ukrain kwa urussi nikama mbinu za kigaidi tu ...unapiga kwa kuvizia kisha unasubiri kichapo chako....hii ni dalili za Ukraine kukata tamaa hivyo ni muda muafaka kwa urusi kusonga mbele kuchukua nchi yote ya ukrain
 
Kwa tactics anayoitumi Ukraine, lazima Urusi apate shida na itachukua muda Ku adopt,.
Ameamua kutumia mbinu za Mujahideen, Attack, hide and seek na inaweza kupunguza offensive front hasa Niu York, Kharkiv na Donbass ambako Ukraine anafanya vibaya

Russia akifanikiwa Ku handle hii new tactics ambayo ndio last hope ya Ukraine na west, hii vita itakuwa imeisha
Mbinu za mujahedeen huku wakichukua mateka namna hii? Nitakuwa wa mwisho kuamin
1723425828516.jpg
1723426995318.jpg
 
Warusi walikuwa Wana msemo wao kwamba kama Ukraine wanashinda vita wamtoe mvamizi kwenye ardhi Yao, kibao kimegeuka Sasa,kama kweli urusi mbabe amtoe Ukraine kwenye ardhi yake
Mkuu acha kuchekesha watu. Ulisema wamechukua zaidi ya km 540, bandiko lako la Jana sijui Leo linasema wapo km 30 kutoka mpaka mwao. Kwa nini km zinazidi kupungua?.
 
Uvamizi wa ukrain kwa urussi nikama mbinu za kigaidi tu ...unapiga kwa kuvizia kisha unasubiri kichapo chako....hii ni dalili za Ukraine kukata tamaa hivyo ni muda muafaka kwa urusi kusonga mbele kuchukua nchi yote ya ukrain
Walishajaribu hilo ila walishindwa.
 
Walishajaribu hilo ila walishindwa.
Awajashindwa urusi imetumia huu wasaha wa vita vya ukrain kuboresha zana zake kwa kutambua udhaifu ulipo na kuboresha ...kule Ukreni kuna mikoa mingi tu hakuna majeshi ya ukrain urusi ingeweza kuvamia huko kwanza unajua kwanini hakufanya hivyo bali anakabiri ngome kwa ngome ?
Picha nyingi ni feki ni propaganda ...usipoteze muda wako
 
Supapawa haamini na yeye Leo kavamiwa.

Urusi ametepeta kweli kweli na hii vita.... Urusi itahitaji miaka mingi Sana kurudisha uwezo wake kijeshi na ushawishi uliokuwepo kabla ya hii vita

lee Vladimir cleef T14 Armata

Huu ushabiki bwana ,unashangaa Ukraine yenye kila nyenzo kupenya na kuvamia mipaka ya Urusi yenye ukubwa wa maelfu ya km,ila haushangai hamas yenye silaha za mwaka 47 kupenya mipaka ya Israel yenye ukubwa sawa na wilaya tena iliyo zungushiwa na ukuta wa zege?

Kuhusu ushawishi mbona sasa hivi ushawishi wa Urusi ndo unazidi kuwa mkubwa ,ww huoni Urusi ilivyo tumia ushawishi wake kuifurusha Ufaransa Africa Magharibi ambapo amemekita mizizi yake kwa karne kadhaa?

Kwa mujibu wa SIPRI Urusi ndo muuzaji mkubwa wa silaha duniani baada ya Marekani, yaani huku uko vitani lakini bado una uwezo wa kutengeneza silaha kwa ajili ya jeshi lako vitani wakati huo huo bado unatengeneza za kuuza.

Kikubwa hii vita imekuja kuwafumbua watu macho jinsi ambavyo USA na washirika wake walivyo poteza udhibiti wa Uchumi wa dunia baada ya kushindwa kuidhibiti Urusi kiuchumi.
 
Ukraine wameshachukua zaidi ya km² 540 hapo najua kilichokuchanganya ni km²..,elimu..,elimu..,elimu

R.I.P lowasa
Kwahio km²540 , nisawa na km 30 urefu, kwa km 18 upana. Ukizidisha ndio inakuja hio km²540 lkn pia hawakuchukua eneo hilo. Na ndio maana hakuna mahala ulipooandika km²540 Bali km 540.

Tuambie mpaka sasa wameshikilia eneo kiasi gani.
 
Back
Top Bottom