Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Warusi wa Moscow wanasumbuka sana ila waliobaki Yombo wamebaki kutishia kwa kuchart tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu hapo ..mrusi atakacho kifanya nikuchukua ardhi yote ya ukrain iliyopo mipakani na nchi yake ni swala la muda tu ...Ukraine kavamia eneo lisilokuwa na vita wala askari wengi na kuzikwepa ngome za urussi kwenye uwanja wa vita ..mbinu hiyo mara nyingi huua raia zaidi ndiyo maana urusi hakutaka kuitumia.Kwa tactics anayoitumi Ukraine, lazima Urusi apate shida na itachukua muda Ku adopt,.
Ameamua kutumia mbinu za Mujahideen, Attack, hide and seek na inaweza kupunguza offensive front hasa Niu York, Kharkiv na Donbass ambako Ukraine anafanya vibaya
Russia akifanikiwa Ku handle hii new tactics ambayo ndio last hope ya Ukraine na west, hii vita itakuwa imeisha
Ni kwamba urusi kamvamia Ukraine,na Ukraine nae kageuza kibao kamvamia urusi..,hayo mengine blabla!Hakuna kitu hapo ..mrusi atakacho kifanya nikuchukua ardhi yote ya ukrain iliyopo mipakani na nchi yake ni swala la muda tu ...Ukraine kavamia eneo lisilokuwa na vita wala askari wengi na kuzikwepa ngome za urussi kwenye uwanja wa vita ..mbinu hiyo mara nyingi huua raia zaidi ndiyo maana urusi hakutaka kuitim
Uvamizi wa ukrain kwa urussi nikama mbinu za kigaidi tu ...unapiga kwa kuvizia kisha unasubiri kichapo chako....hii ni dalili za Ukraine kukata tamaa hivyo ni muda muafaka kwa urusi kusonga mbele kuchukua nchi yote ya ukrainNi k
Ni kwamba urusi kamvamia Ukraine,na Ukraine nae kageuza kibao kamvamia urusi..,hayo mengine blabla!
Mbinu za mujahedeen huku wakichukua mateka namna hii? Nitakuwa wa mwisho kuaminKwa tactics anayoitumi Ukraine, lazima Urusi apate shida na itachukua muda Ku adopt,.
Ameamua kutumia mbinu za Mujahideen, Attack, hide and seek na inaweza kupunguza offensive front hasa Niu York, Kharkiv na Donbass ambako Ukraine anafanya vibaya
Russia akifanikiwa Ku handle hii new tactics ambayo ndio last hope ya Ukraine na west, hii vita itakuwa imeisha
Thank's Oficer,but tuhakikishieni usalama wetu kwanza.You are welcome to the Kursk region - the new Ukrainian region is free...
Mkuu acha kuchekesha watu. Ulisema wamechukua zaidi ya km 540, bandiko lako la Jana sijui Leo linasema wapo km 30 kutoka mpaka mwao. Kwa nini km zinazidi kupungua?.Warusi walikuwa Wana msemo wao kwamba kama Ukraine wanashinda vita wamtoe mvamizi kwenye ardhi Yao, kibao kimegeuka Sasa,kama kweli urusi mbabe amtoe Ukraine kwenye ardhi yake
Jamaa Huyo ni muongo sijawahi kuonaMkuu acha kuchekesha watu. Ulisema wamechukua zaidi ya km 540, bandiko lako la Jana sijui Leo linasema wapo km 30 kutoka mpaka mwao. Kwa nini km zinazidi kupungua?.
Walishajaribu hilo ila walishindwa.Uvamizi wa ukrain kwa urussi nikama mbinu za kigaidi tu ...unapiga kwa kuvizia kisha unasubiri kichapo chako....hii ni dalili za Ukraine kukata tamaa hivyo ni muda muafaka kwa urusi kusonga mbele kuchukua nchi yote ya ukrain
Ukraine wameshachukua zaidi ya km² 540 hapo najua kilichokuchanganya ni km²..,elimu..,elimu..,elimuMkuu acha kuchekesha watu. Ulisema wamechukua zaidi ya km 540, bandiko lako la Jana sijui Leo linasema wapo km 30 kutoka mpaka mwao. Kwa nini km zinazidi kupungua?.
Ukraine wameshachukua zaidi ya km² 540 hapo najua kilichokuchanganya ni km²..,elimu..,elimu..,elimuJamaa Huyo ni muongo sijawahi kuona
Unatupiga sana mkuuOpen the windows, the Russians are falling and the Empire is falling.View attachment 3067414
pia uongozwe na Google map😁🤣😅Unatupiga sana mkuuView attachment 3067743
Ukiwa unasafir uongozwe na Google mapUnatupiga sana mkuuView attachment 3067743
Awajashindwa urusi imetumia huu wasaha wa vita vya ukrain kuboresha zana zake kwa kutambua udhaifu ulipo na kuboresha ...kule Ukreni kuna mikoa mingi tu hakuna majeshi ya ukrain urusi ingeweza kuvamia huko kwanza unajua kwanini hakufanya hivyo bali anakabiri ngome kwa ngome ?Walishajaribu hilo ila walishindwa.
Picha nyingi ni feki ni propaganda ...usipoteze muda wakoUnatupiga sana mkuuView attachment 3067743
Ndo nini? We jamaa gomamli kweli.Ukiwa unasafir uongozwe na Google map
Supapawa haamini na yeye Leo kavamiwa.
Urusi ametepeta kweli kweli na hii vita.... Urusi itahitaji miaka mingi Sana kurudisha uwezo wake kijeshi na ushawishi uliokuwepo kabla ya hii vita
lee Vladimir cleef T14 Armata
Huu ushabiki bwana ,unashangaa Ukraine yenye kila nyenzo kupenya na kuvamia mipaka ya Urusi yenye ukubwa wa maelfu ya km,ila haushangai hamas yenye silaha za mwaka 47 kupenya mipaka ya Israel yenye ukubwa sawa na wilaya tena iliyo zungushiwa na ukuta wa zege?Supapawa haamini na yeye Leo kavamiwa.
Urusi ametepeta kweli kweli na hii vita.... Urusi itahitaji miaka mingi Sana kurudisha uwezo wake kijeshi na ushawishi uliokuwepo kabla ya hii vita
lee Vladimir cleef T14 Armata
Kwahio km²540 , nisawa na km 30 urefu, kwa km 18 upana. Ukizidisha ndio inakuja hio km²540 lkn pia hawakuchukua eneo hilo. Na ndio maana hakuna mahala ulipooandika km²540 Bali km 540.Ukraine wameshachukua zaidi ya km² 540 hapo najua kilichokuchanganya ni km²..,elimu..,elimu..,elimu
R.I.P lowasa