Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Jamaa anamaanisha kilometa za eneo yani nikama wilaya moja ya dar es salaam au useme wanechukua 1/3 ya mkoa wa dar es salaam 😁Una zijua km540 wewe .vifaru plus izo convoy havina iyo Speed tena mna enda kwa tahadhari ndo kabsa huwezi fika km 540 mda mfupi ivyo ..mashoga amna senses