Israel haijawahi kuwa superpower wala kujaribu kuwa, wala kati ya majeshi bora 6 duniani haijawahi kuwa. Ila sasa huwa inawabonda warugaruga wote wanaojichanganya kuivamia. Kwa sasa inapiga kuanzia misikitini, hospitalini, shuleni, kwenye maandaki, Tehran kwenye maximum security zones, milimani uko kwa kutumia ukungu, bandarini, angani na ni katika nchi za Yemen, Lebanon, Syria, Iran na Iraq.
Sasa cha ajabu iliyokuwa nchi ya pili kwa uwezo wa kijeshi duniani iliamua yenyewe bila kushurutishwa ikapanga na kuivamia nchi ambayo hata top 20 kijeshi haikuwepo, nchi ambayo bado inazidiwa na jeshi la Egypt mpaka sasa. Alafu miaka miwili sasa supapawa uchwara bado anapuyanga. Na sasa kavamiwa hata resistance ya maana mipakani hana, sasa huyu akivamiwa na China irudishe maeneo yake yaliyokwapuliwa karne ya 19 kuna usalama kweli hapo?