Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

1723258011086.jpg
1723258011086.jpg

Imagine ni warusi wangapi walichinjwa kwenye huu msafara 🥱🥱🥱
 

Attachments

  • 1723258000974.jpg
    1723258000974.jpg
    553.9 KB · Views: 15
Umeandika kwa wepesi sana, hadi sasa unakuta wanatumia silaha wanazo okota na zile walizokuwa nazo, muda kidogo tu utasikia wanahitaji misaada ya silaha, chakula na matibabu...

Wanasonga mbele ili wakamalizwe vizuri.

Tupo hapa..
Kuna wakati mnabishana na watu ambao hata ujuzi wa kimapigano ya mgambo hawana wakitoka kwenye uzi wa simba na yanga wanahamia humu kitendo alichokifanya Ukraine kwa elimu ya mgambo tu wamekosea sana
 
Kuna wakati mnabishana na watu ambao hata ujuzi wa kimapigano ya mgambo hawana wakitoka kwenye uzi wa simba na yanga wanahamia humu kitendo alichokifanya Ukraine kwa elimu ya mgambo tu wamekosea sana
Hata mi sijui ndio walichanganyikiwa na vita?
Hata mimi hapa ningekuwa kwenye kamati ya ulinzi Ukraine, ningepinga hili aisee...
 
More Russian prisoners of war from the Kursk region. The number for this night and morning is 102 among Kadyrov soldiers, officers and Chechens. Some channels say that there are soldiers from units of the 488th Guards Motorized Rifle Regiment and Akhmat. This is a huge mass catch all at once.
1723719767834.jpg
1723719774098.jpg
1723719778802.jpg
 
Wewe ndio umezeshwa propaganda mapinduzi na uasi vilifanyika chini ya uungaji mkono wa western wakampindua yanukovich (kama jina ntakua nimelikumbuka)
 
In the direction of Kursk, the ZSU of Ukraine continues to have the initiative and advances. As of this morning, according to European analysts from Osint, the depth of penetration of the Russian defense is 35 km, the width of the advance is 74 km.
🔹controlled territory: 803 km²;
🔹controlled territory + disputed territory: (803+350) 1153 km²;
🔹captured settlements: more than
1723722004661.jpg
80.
 
The armed forces surround the center of the Koreneve district, in the Kursk region, very heavy battles are taking place there with several hundred soldiers killed on both sides, - BILD
1723723569221.jpg
1723723581114.jpg
 
The number of Russian soldiers captured in the war already exceeds 2000. Only here, Ukraine has already won, because it will be able to bring thousands of Ukrainian soldiers home again in the next few weeks.
 
In the Kursk direction, east of Suzhi, the Ukrainian Armed Forces take control of Mykhailivka, Bondarivka and Kolmakov, and Cherkasy Konopelka also comes under the control of the Ukrainian Armed Forces.
1723724138704.jpg
 
Back
Top Bottom