kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Waliouliwa huko donbas na kwengine ni matokeo ya chokochoko za Putin, ziliposhindikana ndo akaja na SMO.Hamna anaeuliwa wala hamna anaetekwa
Wale raia wanatetewa na russia walikua wanauliwa sana kule don bass nk
DPR LPR KHERSON na ZAPORINHE ni mataifa huru nayalitumia haki yao yakisheria yakujitenga na UKRAINE kama walivyofanya Sudan Kusini baada ya kuona utawala wa Kivu ukiungwa mkono na western wanawaua kwa umati kwakosa tu lakua wanazungumza kirusi
Baada yakujitangazia uhuru wao wakatumia tena haki yao ya kisheria ya kuomba ulinzi toka kwa Russia ambayo ni haki yao wakiamua kwa nchi huru kuomba usaidizi kwa taifa jengine kama ilivyotokea kwa Kuwait miaka ile alivyoomba msaada kwa marekani na vibaraka wake alipovamiwa na Iraq ya Sadam Hussein au kama alivyofanya Syria alipoomba msaada kama huo toka kwa IRAN na RUSSIA alipovamiwa na magaidi waloungwa mkoni na NATO pamoja na NATO wenyewe alitumia haki hio
Haya mambo hamuyajui au ndio mahabba tu yamewazidi?
Na Ukraine ukiwa sehemu ya Russia pia ....Russia walipoteza askari zaidi ya 10 million world war 2...
Mda wa kupiga picha hizi anapata wapi wenzake wanakufa front huko
Kumbe bado hujui chochote mgogoro ulishaanza siku hayo maeneo yanahamishwa Ukraine kutoka urusi.Propaganda tu hizi, waanzilishi na wafadhali wa uasi kule Ukraine mashariki toka mwaka 2014 ni Urusi na mashirika yao ya kijasusi.
Sasa si umesha sema ni raia wa Ukraine?Mbona anaua maelfu ya raia wa Ukraine Ili ateke nchi Yao?
Anajificha kama ngiriHivi Putin yupo?
Hiyo uongo mkuu.yaani brigade tatu ikamate watu hawa! Ni kweli Russia wamepigwaThe number of Russian soldiers captured in the war already exceeds 2000. Only here, Ukraine has already won, because it will be able to bring thousands of Ukrainian soldiers home again in the next few weeks.
Lukashenko is distressed: “let's sit down at the negotiating table and end this “fight”. Neither Ukrainians, nor Russians, nor Belarusians need this...Hiyo uongo mkuu.yaani brigade tatu ikamate watu hawa! Ni kweli Russia wamepigwa