Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Hili bomu ni hatari sanamaskini zeleeeee😭😭😭ukraine wanaangamia kama ng'ombe wa kibudu
View attachment 3070814
Mkuu sijawahi kutukana mtu hata mmoja humu JFmkuu hasira za nini? wanaokula kipigo wapo huko Russia hata hawajui kama kuna mtu hapa jf anatoka jasho kuwatetea Maonihuru
Punguza mihemko.
,😍😍🤩Ninachokiona japo haisemwi hivyo, hii ni vita kati ya NATO na RUSSIA.
Ukraine ni kama katoa ardhi na servicemen kukamilisha lengo hili.
Hii vita sio lelemama tena.
Kuna mtu kafuatwa uvunguni.
Je, atajikunyata kwa uoga au atajitutumua na kutumia kila alichonacho ili kujiokoa.
Tuendelee kusubiri.
Yajayo yanasikitisha sana.
akikujibu nitagNauliza tu, Ukrain anavyovunja madaraja means yeye hataki kusonga mbele tena?
Hiyo ni njia ya kumpunguza Kasi adui baada ya kuzidiwa,Ukiona hivyo hali ni ngumu Kwa Ukraine katika Hali ya kawaida ukiwa unapata mafanikio vitani huwezi kuharibu chochote wala kuvunja darajq.Nauliza tu, Ukrain anavyovunja madaraja means yeye hataki kusonga mbele tena?
JWTZ walivunja daraja kwenda Uganda, and yet waliingia na kumkimbiza nduli Idd Amin.Nauliza tu, Ukrain anavyovunja madaraja means yeye hataki kusonga mbele tena?