Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
========================.
Ukraine bado anatoa adhabu kali kwa mvamizi
Ukraine bado anatoa adhabu kali kwa mvamizi
KIFO tu kymyamyaeHivi Hawa jamaa wana akili kweli??? Hivi kweli unaingia Urusi ambayo hata Hitler alishindwa akapigwa kama ngoma una akili wewe ??? Hawa watapigwa kama joka na ukiona Vipanya ameanza kupoa ujue hali mbaya maana vipanya al manusra atupasue mioyo sisi Warusi wa Kilanjelanje..
Daraja lilivonjwa lilikuwa kiungo muhimu na njia ya haraka ya Russia kuingiza majeshi Kursk kusaidia, now itabidi wapite njia ndefu zaidiNauliza tu, Ukrain anavyovunja madaraja means yeye hataki kusonga mbele tena?
haina maajabu hiiEUROPE CONTINUES ITS PREPARATION FOR A RUSSIAN INVASION- Italy has just signed a contract with the United States for the sale of six modern MQ-9 Reaper attack UAVs to Italy for 738 million euros. Includes training for pilots and mechanics and assistance for 5 years. These Drones have never-before-seen capabilities such as precision missile attacks from 40 kilometers away.View attachment 3072148
wanaoripoti habari hizi ni hao hao magharibi sasa ulitegemea waseme mazuri kwa russia? mataifa zaidi ya 30 yanaiogopa russia akiwemo shoga usa na mashabiki zakePUTIN MISCALCULATED 😂😂😂😂😂😂😂
Vladimir Putin's demand to drastically increase payments to contract soldiers going to war has turned out to be beyond the means of the Russian regions. Several constituent entities of the Russian Federation are unable to find money to fulfill Putin's instructions, who demanded that the “bonuses” be increased to 400 thousand rubles, reports Bloomberg, citing an official familiar with the situation. According to him, governors are asking for financial help from the Kremlin and new subsidies from the federal budget, as they are unable to raise funds in their regionsView attachment 3072150.
I'm back...again, not dе*d😅Sasa BBC mtaeleza tu nn mlikifuataView attachment 3070522
Mwengine unakuta kaandika kuwa wamezingirwa na sasa wameanza kuiba tv na vyakula......uzingirwe Kisha uibe?, tena uibe tv?.Naomba kuuliza swali wataalam wa taarifa, hivi hawa mateka wa kivita wanajeshi wa Urusi walikamatwa hapo Kursk wanasafirishwa kupelekwa Ukraine au wanatunzwa hapo uwanja wa vita? Na kama wanasafirishwa kwenda Ukraine wanapitia njia gani wakati wadau wanasema hapa kuwa wanajeshi waliopo ndani ya Urusi wamazingirwa hakuna kutoka wala kuingia.
Maoni yangu nje ya Swali: Hivi unaweza kuzingira adui kwa urahisi hivyo yaani wanajeshi wote zaidi ya 10,000 ukawaweka mtu kati? hiyo ni vita au mchezo wa kubembea.
Kwani kila unachokiandika hapa kinachohusiana na hiyo vita huwa unatoa taarifa kutoka chooni?kp kipanya44 kwa sasa hana kazi ya kufanya zaidi ya ktafuta taatifa mitandaoni aje kutamba hapa.
Ila kwa sasa umeshika dimba.
Sisi ni wapenzi watazamaji, wanachokifanya wanajua wenyewe.Nauliza tu, Ukrain anavyovunja madaraja means yeye hataki kusonga mbele tena?
Kwahiyo urusi anapokuwa anavunja madaraja na miundo mengine ukraine huwa hapati mafanikio?Hiyo ni njia ya kumpunguza Kasi adui baada ya kuzidiwa,Ukiona hivyo hali ni ngumu Kwa Ukraine katika Hali ya kawaida ukiwa unapata mafanikio vitani huwezi kuharibu chochote wala kuvunja darajq.