Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Jeshi la Urusi huko Kursk liko kwenye furaha sana Kwa Sasa kuliko wakati wowowte ule.
Kwani wamepata nafasi nzuri ya kufanya mawindo Bora kabisa,kwa sababu wanyama wote wazuri kwa kuliwa wapo Kursk,imekua ni bahati kwao Mungu kawaleta maadui zao mikononi mwao.
Yaani Iko hivi.
Ukraine wamepeleka huko Kursk Kila silaha Bora kabisa walizonazo na walizopewa na ma bwana zao.
Kibaya zaidi kwa Ukraine na kizuri kwa Urusi wamepeleka askari Bora kabisa waliokua wamebakiza.
Na kwa bahati mbaya Sasa wamekwama,hii imewapa faida Urusi ya kuwaua na kuharibu hizo silaha zao kirahisi kwa sababu vyote vimekusanyika sehemu moja na kibaya zaidi ni ndani ya Urusi.
Hawapati msaada mkubwa kama wanaoupata warusi,hawana Air support na misaada mingine kutoka kwao,kwani Kila kitu kinapigwa na warusi.
Hii ni furaha ilioje kwa jeshi la Urusi.
Hebu msome Mkuu wa operation tokomeza Apty Alaudinov anavyosema.
17 AUG, 00:46
Russian army destroys 10 combat vehicles, 5 pickups of Ukrainian forces in Kursk direction
In the Kursk direction the enemy "is throwing all the forces and means that it has," said Major-General Apty Alaudinov, the deputy head of the Main Military-Political Directorate of the Russian Defense Ministry, commander of the Akhmat commando unit
MOSCOW, August 17. /TASS/. In the Kursk direction, the Russian armed forces destroyed five combat armored vehicles of the Ukrainian armed forces, five pickups, a mine-clearing robot drone, and a tank over the past day, said Major-General Apty Alaudinov.
"We had a very busy and difficult day. Heavy fighting was going on all day from early morning. The enemy was throwing all possible and impossible forces in our direction. <...> Today, it turns out, we have destroyed five armored combat vehicles, five pickups, one mine-clearing drone, two trucks and one tank. <...> We destroyed everything that came to our hands today," he said in a video published on the Telegram channel.
Alaudinov noted that in the Kursk direction the enemy "is throwing all the forces and means that it has."
"Basically, we are happy about this, because where we are, we are confident - so, let the enemy gather everything, as he is planning already. <...> God is on our side. He will not let us lose. We will completely destroy all the enemy’s reserves," he concluded.
Hapa chini nawawekea maneno ya Sott Ritter.
Kwa wasiomjua huyu mwamba niwanajeshi wa Marekani na alikua mkaguzi wa silaha za maangamizi za Iraq ni msaafu mwenye cheo Cha Luteni Kanali.
Soma maneno yake kuhusu waliojifanya kuivamia Kursk.
Japo mwana JF mwenzetu Naby keita alishaiweka lkn sio mbaya mkiisoma Tena.
Scott Ritter: Russia Obliterates NATO Fighters, Weaponry as Ukraine Mounts Desperate Attack in Kursk.
Kiev’s incursion has given Moscow the opportunity to destroy strategic reserves of troops and weapons.
Ukraine was forced to expend some of their most well-trained soldiers and advanced technology in a failed effort to capture the Kursk nuclear power plant, highlighted former US Marine intelligence officer Scott Ritter.
Such was the former UN chief weapons inspector’s analysis on Sputnik’s The Critical Hour program Thursday, where Ritter discussed the latest desperate maneuver of the failing Western proxy war.
“A NATO-created, trained, equipped and directed force of not just Ukrainians, but Polish, French, Americans [and] British has invaded Russia,” said the American dissident, who faced persecution in Washington after challenging the George W. Bush administration’s claims of Iraqi weapons of mass destruction during the runup to the United States’ disastrous war on the Middle Eastern country.