Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Safari hii hata hao wakina CNN wenu wanasanda,,,.propaganda mbovu pelekeni kwa wasiojitambuaSio kweli, ni Wanajeshi ndio wametekwa.
Naona vita imewashinda wanahamia kwa raia.
Hao jamaa wameshapanic kwa sasa,,,,,wanafanya lolote tu ilimradi waonekane bado wapoNaona vita imewashinda wanahamia kwa raia.
Mbona Russia haikuteka Raia ndani ya Ukraine!??
Au wanataka kuwatumia kama ngao!?
Mie nilizungumza humu,kuvamia sio kazi ni kitu rahisi ila je kumudu mapambano muda mrefu inawezekana!?Hao jamaa wameshapanic kwa sasa,,,,,wanafanya lolote tu ilimradi waonekane bado wapo
Ahaa...asante kwa hii taarifa, lakini hakuna cha ajabu, kwasababu hata kule Kherson Wanajeshi wa Urusi waliteka Wananchi wa Ukraine.Safari hii hata hao wakina CNN wenu wanasanda,,,.propaganda mbovu pelekeni kwa wasiojitambuaView attachment 3074302
Hayo yapo upande wa pili pia..
Wananchi wamewapa sapoti warusi hawakutekwa, na wengine walikua wanahamishiwa maeneo ambayo hayana mapambano, hawakuchukua raia na kuwapeleka sehemu ambazo hazijulikaniAhaa...asante kwa hii taarifa lakini hakuna cha ajabu kwasababu hata kule Kherson Wanajeshi wa Urusi waliteka Wananchi wa Ukraine
Duh!.... Ukraine imepiga panapouma hapo lazima Urusi apunguze baadhi ya nguvu huko Ukraine mashariki azihamishie huko Kursk."Border Guards" wa Urusi ni Wanajeshi, hata wale Makomandoo wa Ramzan Khadyrov nao wametekwa, na hata wale Reinforcement waliotumwa kuja kupambana na Ukrainians waliambushiwa, na wengi kufa na waliobakia wamechikuliwa mateka na wamevushwa mpaka na kupelekwa Ukraine 🇺🇦
Basi hata huko Kursk na Belgorod Oblast hali itakuwa ni hivyo hivyo.Wananchi wamewapa sapoti warusi hawakutekwa, na wengine walikua wanahamishiwa maeneo ambayo hayana mapambano, hawakuchukua raia na kuwapeleka sehemu ambazo hazijulikani
UPropanganda ni nyingi mno, hakuna uhalisia kwenye huu uziHuu uzi umeanza kuwa wa kipuuzi sijapata kuona.
Nguvu Ukraine mashariki haipunguzwi na Kursk itakombolewa.Duh!.... Ukraine imepiga panapouma hapo lazima Urusi apunguze baadhi ya nguvu huko Ukraine mashariki azihamishie huko Kursk.
Aliepata uchungu ndo kapanic,, na anatulizwa sasaBasi hata huko Kursk na Belgorod Oblast hali itakuwa ni hivyo hivyo.
Mkuki ni kwa Nguruwe kwa Binadamu mchungu sio😁
Kwetu huku ng'wamapalala wote tunamsapoti zelemmetusahau na sisi washauri wa zelensiki Na serikali ya kiivu
kutoka hapa (NGONHO nzega)
Huu sasa ni ufala, uko urusi?We tulia,wao si walianza,sisi tunamaliza
Mrusi ana jeshi kubwa kuliko ukraine,,,,huko anatumia reserve na wala hajagusa wale waliokua wanaendelea na operation ukraine,,,,Ukraine ndo imebidi atumie askari wake wale wenye mafunzo mazuri na vifaa vya maana ili kuingia huko Kursk, na kufanya hivyo kaachia mwanya kwa vikosi vya mrusi vilivyo ukraine kuendelea kusonga mbele,,,,huku Kursk mrusi anatumia reserve , Ukraine kwa sasa hadi analazimisha raia kujiunga na jeshi kwa nguvu wakati mrusi bado hajafikia kabisa hio levelDuh!.... Ukraine imepiga panapouma hapo lazima Urusi apunguze baadhi ya nguvu huko Ukraine mashariki azihamishie huko Kursk.
Umemsikia Mkuu wa Majeshi ya Ukraine amesema wanataka kuweka Buffer Zone kwenye eneo lote la mpaka kati yao na Russia lakini hilo eneo litakuwa ndani ya Russia 😁Aliepata uchungu ndo kapanic,, na anatulizwa sasa