LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Umemsikia Mkuu wa Majeshi ya Ukraine amesema wanataka kuweka Buffer Zone kwenye eneo lote la mpaka kati yao na Russia lakini hilo eneo litakuwa ndani ya Russia 😁
Labda kama wanataka kuweka bufee waache ushauri wa Janabi........watu wanamaliza kazi huku wajinga bado wapo kwenye zile wiki za mwanzoni
Screenshot_20240819-200315_Telegram.jpg
 
Labda kama wanataka kuweka bufee waache ushauri wa Janabi........watu wanamaliza kazi huku wajinga bado wapo kwenye zile wiki za mwanzoniView attachment 3074314
Source yako ni Sputnik International 😆😆
Hao Askari wa Kichechen ndio wametekwa kwa wingi na raia pia Kursk walikuwa wakitoa location zao kwa Askari wa Ukraine 🇺🇦 ili HIMARS zifanye kazi.
 
Ukraine has just reported that it has already taken control of the villages of Bondarivka and Agronom, expanding the zone of control in the direction of Kursk to the southeast.
 
Russia's trade with China is getting worse: Even Chinese banks are now turning their backs on Vladimir Putin and Russia. PAYMENT ISSUES: It is becoming increasingly difficult for Russia to transfer money internationally. Chinese banks are also turning their backs on payments from Russia.
1724087225603.jpg
 
We leta yako na mimi naleta yangu kwani mie kuna sehemu nimekulazimisha uamini ninacholeta,,,,,kikubwa ni uamuzi wako haijalishi habari imetoka wapi
Kuwa makini na Russian Propaganda...look mimi Imhotep sina maslahi yoyote na Vita ya huko Ulaya Mashariki,ila hapa tunajadili mambo tuu.

Tusije kujikuta tunajadiliana Propaganda au kwa lugha nyingine kulishana Matango pori😁
 
Kuwa makini na Russian Propaganda...look mimi Imhotep sina maslahi yoyote na Vita ya huko Ulaya Mashariki,ila hapa tunajadili mambo tuu.

Tusije kujikuta tunajadiliana Propaganda au kwa lugha nyingine kulishana Matango pori😁
Bwana we tusipangiane we fata ambayo unaona kwako yanakufaa.............
Kula hiooooo ....walete na aljazera
 
Wanajeshi wa urusi wawakamata mateka askari 19 wa ukraine katika jimbo la kursk ambako jeshi la ukraine lilivamia na kuteka siku kadhaa nyuma
Kazi imenoga
Hii ni sadiki ukipenda, baada ya hapa jf hakuna chombo chochote kilichothibitisha, Ukraine wana hadi ofisi Kurks na taarifa za CNN Live Jeshi la Ukraine wanazidi kusonga mbele Kurks
 
Ukraine wanajidanganya kwamba wataipiga Russia

Haya ngojea tuone itakuaje huko mbele za safari

Maadam wameyataka !!!
Mie nilikua sijakubaliana na Russia kuvamia Ukraine,niliona kama vile imetumika nguvu pasipo na sababu.
Ila tokea Ukraine iunge mkono na kusapoti uvamizi wa Israel ndani ya Gaza aisee yani naombea hata Russia itifue makombora kila eneo la Ukraine pabaki jivu.
 
Back
Top Bottom