Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Labda kama wanataka kuweka bufee waache ushauri wa Janabi........watu wanamaliza kazi huku wajinga bado wapo kwenye zile wiki za mwanzoniUmemsikia Mkuu wa Majeshi ya Ukraine amesema wanataka kuweka Buffer Zone kwenye eneo lote la mpaka kati yao na Russia lakini hilo eneo litakuwa ndani ya Russia 😁
Ni aibu kubwa NATO nzima kupambana na mrusi na bado wakashindwaNi AIBU KUBWA kwa MBABE kuvamiwa ndani kwake😆😁
Source yako ni Sputnik International 😆😆Labda kama wanataka kuweka bufee waache ushauri wa Janabi........watu wanamaliza kazi huku wajinga bado wapo kwenye zile wiki za mwanzoniView attachment 3074314
Leta ya CNN na BBC basi,,,,,Source yako ni Sputnik International 😆😆
Hapana, Aljazeera je?!! Utaikubali?!Leta ya CNN na BBC basi,,,,,
We leta yako na mimi naleta yangu kwani mie kuna sehemu nimekulazimisha uamini ninacholeta,,,,,kikubwa ni uamuzi wako haijalishi habari imetoka wapiHapana, Aljazeera je?!! Utaikubali?!
Kula kitu hioSource yako ni Sputnik International 😆😆
Hao Askari wa Kichechen ndio wametekwa kwa wingi na raia pia Kursk walikuwa wakitoa location zao kwa Askari wa Ukraine 🇺🇦 ili HIMARS zifanye kazi.
Kuwa makini na Russian Propaganda...look mimi Imhotep sina maslahi yoyote na Vita ya huko Ulaya Mashariki,ila hapa tunajadili mambo tuu.We leta yako na mimi naleta yangu kwani mie kuna sehemu nimekulazimisha uamini ninacholeta,,,,,kikubwa ni uamuzi wako haijalishi habari imetoka wapi
Bwana we tusipangiane we fata ambayo unaona kwako yanakufaa.............Kuwa makini na Russian Propaganda...look mimi Imhotep sina maslahi yoyote na Vita ya huko Ulaya Mashariki,ila hapa tunajadili mambo tuu.
Tusije kujikuta tunajadiliana Propaganda au kwa lugha nyingine kulishana Matango pori😁
Hii ni sadiki ukipenda, baada ya hapa jf hakuna chombo chochote kilichothibitisha, Ukraine wana hadi ofisi Kurks na taarifa za CNN Live Jeshi la Ukraine wanazidi kusonga mbele KurksWanajeshi wa urusi wawakamata mateka askari 19 wa ukraine katika jimbo la kursk ambako jeshi la ukraine lilivamia na kuteka siku kadhaa nyuma
Kazi imenoga
Wote kwa sasa hawaeleweki.Mtu anaeharibu humu mwa mauongo meengi ni mapanya
Nimeweka link ya reuters,ukitaka aljazeera wanayo pia,imekuuma?Hii ni sadiki ukipenda, baada ya hapa jf hakuna chombo chochote kilichothibitisha, Ukraine wana hadi ofisi Kurks na taarifa za CNN Live Jeshi la Ukraine wanazidi kusonga mbele Kurks
Zasasa hawana acha wajifariji tu na hizo zilipendwa😀Halafu pia analeta habari za siku nne kwenda nyuma.
Yani tuseme wiki nyuma.
Analeta habari za kipindi Ukraine ndio inaanza kuishambulia Kursk.
Anatakiwa alete habari za sasa hivi.
Ukraine inatakiwa ikae mezani tu,laa sivyo itaendelea kupoteza maeneo.Zasasa hawana acha wajifariji tu na hizo zilipendwa😀
Ukraine wanajidanganya kwamba wataipiga RussiaUkraine inatakiwa ikae mezani tu,laa sivyo itaendelea kupoteza maeneo.
Wakumbuke 2018 waliipoteza Crimea,na Crimea sio kipande kidogo cha ardhi ni mji mkubwa kijiografia.
Mie nilikua sijakubaliana na Russia kuvamia Ukraine,niliona kama vile imetumika nguvu pasipo na sababu.Ukraine wanajidanganya kwamba wataipiga Russia
Haya ngojea tuone itakuaje huko mbele za safari
Maadam wameyataka !!!