LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Urusi amekataa kufanya mazungumzo yeyote ya amani na Ukraine. Hali ni mbaya wanajeshi wa Ukraine wanakufa kama kumbikumbi. Umoja wa mataifa upo wapi jamani kuisaidia Ukraine? Jioneeni wenyewe.View attachment 3075122View attachment 3075123
Umeamua kujiokotea maiti zako ulizoamua kuinyesha, hongera.
Halafu hizo picha ni za huko Doneski siyo Kursk.
Kursk Ukraine anazidi kukamata maeneo huku akimsambaratisha Russia na kila silaha anayoijaribu.
Kuzidiwa kule Kursk ndiyo kaamua alianzishe Doneski akijaribu ku divide attention lakini anaishia kuona kama anapigana na majeshi tofauti yasiyohusiana.
 
As of today, 1,263 km² of territory and 93 settlements in the Kursk region are under the control of the Armed Forces, - Syrskyi.
According to him, during the offensive on the territory of the Kursk region, the Armed Forces advanced to the depth of the enemy's defenses of 28 to 35 km.
 
Lakini mkuu kujidanganya kwamba Ukraine anaendelea vizuri wakati Hali halisi yupo ICU sidhani kama ni jambo jema sana. Anyway tujipe muda
 
Sasa kwanini na wao wasi publish tuwaone wanavowaua warusi? Hivi sasa tunaenda kidijitali vita Inapoganwa inaonesha achievement bana
Ku publish ni issue za kishamba wanajeshi wa Urusi tunaweza Kuwaweka kundi moja na Hamas ww lini umepona IDF wanatumia picha za maiti wa Hizbullah ama Hamas sana sana watakuambia tu eliminated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…