Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kwahiyo wewe jirani Yako Urusi?ndio sababu kila siku naishukuru serikali chama cha mapinduzi chini ya mama yetu kipenzi kwa kudumisha amani nchini mambo kama haya tunayasikia kwa majirani tuh kwa sasa