Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Ulitakaje ndugu?Putin mbona kama anatuangusha!!!!
mwanzo mzuri siku za usoni hawatazidaka kabisaWamerusha vidroni vyao vyote vimedakwa hewani.
Hii vita mkuu,Ukraine nao wana jeshi hivyo kushambulia lazma.Putin mbona kama anatuangusha!!!!
Naona leo umejibu kistaarabu.Hii vita mkuu,Ukraine nao wana jeshi hivyo kushambulia lazma.
Nilitaka akuoe.Ulitakaje ndugu?
Inapoelekea mambo yatakuwa mazito, wanamtia hasira afungue makucha moto uwake.Hii vita mkuu,Ukraine nao wana jeshi hivyo kushambulia lazma.
Kila Mmoja anajua Ukraine nae anayakalia maeneo ya urusi Kwa Sasa.., period!Kashushwa hadhi nanani😀
Hemu tuletee listi ya majeshi bora duniani tooea mwaka 2022 mpaka mwaka 2024
Tuone kama namba mbili ni Germany au Uk 😀
Hajachelewa bado nipoNilitaka akuoe.
Dikteta ameshikwa mbavu mpaka wafuasi wake wamekuwa wapole siku hiziNaona leo umejibu kistaarabu.
Mbona zaidi ya 45 drones zimekuwa neutralized. Soma hapaSignals Intelligence Center Targeted In Drone Attack On Moscow: Ukraine's Intel Chief
From Moscow to Murmansk, Ukrainian drones have attacked targets across western Russia over the last 24 hours.www.twz.com
nasikia amehama MoscowThis Time dikteta Putin hachomoki.
Wamepiga jiwe kwenye mzinga wa nyuki kinachofuata sasa ni kung'atwa tu.mwanzo mzuri siku za usoni hawatazidaka kabisa
Hawana huo uwezoWapige makombora kabisa hapo Moscow na wao wasikie utamu wa vita
Wanajeshi wa NATO wanakufa sanaDikteta ameshikwa mbavu mpaka wafuasi wake wamekuwa wapole siku hizi
Angalau kuna ving'ora huko Urusi vinapigwa.Signals Intelligence Center Targeted In Drone Attack On Moscow: Ukraine's Intel Chief
From Moscow to Murmansk, Ukrainian drones have attacked targets across western Russia over the last 24 hours.www.twz.com