Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Kwani wao hawana nuke,wanashindwa Nini Sasa kumpiga ?Putin ameshadhalilika sana kitendo cha wahuni kuishi na kunya Russia kwa mwezi sasa tayari kimemuondolea heshima yoote kabisa jamaa hana kitu yule...Kama Sio Nuke wangeamua wangempiga vibaya sana
.
Maana anawatia hasara na anaendelea kuwatia hasara.
Maana kama ni nuke si na wao wanazo?
Je wakati Hitler anasambaratishwa Urusi ilikua na nuke?
NATO ni muungano wa nchi zaidi ya 30 na wanaongozwa na superpower namba moja Sasa wanashindwa Nini kutoa tangazo la Vita halafu waingilie?
Mbona waliingi Iraq, Afghanistan na Libya?
Hao wavamizi wameingia sawa je wamefanikiwa malengo Yao?
Unajua hasara aloyoipata Ukraine Kwa kuivamia Kursk?
Humo Kursk wamepoteza na watapotezwa askari wengi maalumu na muhimu wa Ukraine,
Silaha na vifaa na Bora kabisa kutoka NATO.
Kwa jinsi NATO na west walivyoisapoti Ukraine nadhani walitamani sana kuingia mazima,Sasa wanashindwa Nini?
Watumie nyukilia na wao si wanazo?
Waache manenomaneno.
USA Ina nuke,
UK Ina nuke,
France Ina nuke,
Shida Iko wapi?
Waache kutoa sababu zisizo na mashiko,nuke walizotengeneza za Nini?
Mkiangalia kwa macho ya vijiweni mtasema Urusi ni dhaifu kuvamiwa Kursk katika mji uliokua hauna ulinzi wa kuweza kuwadhibiti wavamizi elfu kumi na mbili wenye silaha Bora kabisa.
Lkn mnashindwa kuipa Urusi heshima yake .
Hapo Ukraine Kuna mkusanyiko wa wataalamu wa kijeshi Bora kabisa, satellite Bora kabisa,majasusi Bora kabisa kwa ajili ya kumsaidia Ukraine ili amshinde Urusi.
Lkn huwezi kukuta hata mtaalamu yoyote kutoka china,Niko Iran wala nchi yoyote ili kumsaidia Urusi.
Urusi inastahili kupewa heshima yake.
Hiyo misaada anayopewa Ukraine angekua anapigana na USA na Urusi ikawa upande wa Ukraine Leo hii tungeshuhudia bomu la nyukilia limepigwa Ukraine.
USA alivamiwa na Japan akapiga nuke.
USA alipigwa na magaidi Septembe 11 je nao ni dhaifu?
Tafakari.