Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,658
- 6,700
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni deliberately killing of certain race or ethnic group. Kama walivyofanya Kwa Jews ama wahutu hapo Rwanda....ama Kwa wapalestina hapo Gaza... Ama south Africa..... Sasa Urusi anafuta race gani Ukraine!?? .....Labda tupate definition ya neno Genocide mkuu
The Ukrainian Armed Forces advance west of Sudza. It is reported that the Armed Forces entered the village of Ruska Konopelka and are now fighting on the northern outskirts.View attachment 3075223
Sasa hivi wamefika wapi au wameishaingia Korenevo? Tunataka kujua ukweli.The Armed Forces of Ukraine have advanced to Korenevo!
Kursk regio
Hapa lazima heshima iwepo, kila Mmoja atakuwa anatrend carefully kwa mwenzake!Hadi vita inaisha Ukraine atakuwa powerful na Russia atamuheshimu sana. And if we don't take it serious pengine Ukraine wameaanza kuunda Bomu la kiatomic
Sasa hivi wamefika wapi au wameishaingia Korenevo? Tunataka kujua ukweli.
Wewe kijana unakuudhi pekeako na hujaitwa hukuBora ungetoa tahadhari kabla ya kupost, picha zinaogopesha. Moderator uzi huu unaudhi sana maudhui yanakera
Sasa mbona unaamini huo uongo walousema hapo wakati unakiri kua hawasemi ukweli😀😀😀Dogo,
Matusi ulianza wewe. Au unataka utakane halafu wewe usitukanwe.
Wahenga walisema unavuna unachopanda.
Eti uletewe taarifa rasmi ya serikali ya China!!! Nani alikudanganya kuwa serikali za kikomunisti husema ukweli???
Hakuna uongo wowote pale, ni kweli tupu.Sasa mbona unaamini huo uongo walousema hapo wakati unakiri kua hawasemi ukweli😀😀😀
TEna hawa watu wawili wa hovyo sana Gerasimov na Huyu Shoigu ni wababaishaji sana Kumbe ndio mana Wagner iliwataja kama watu wapuuzi walioshindwa kusimamia kazi ni kweli hata mm naamini sasa.
Ukraine nilisapoti kuchapwa kwasababu kadhaaMie nilikua sijakubaliana na Russia kuvamia Ukraine,niliona kama vile imetumika nguvu pasipo na sababu.
Ila tokea Ukraine iunge mkono na kusapoti uvamizi wa Israel ndani ya Gaza aisee yani naombea hata Russia itifue makombora kila eneo la Ukraine pabaki jivu.
Shida ya kuolewa na mwanamke mwenzio ndio hio sasaShida ya kugonga kichwa chini mara kwa mara, kwani Kenyatta ni rais wa nchi gani sasa hivi..😳😛😛
Sasa mbona juu pale ulisema china hawatoi takwimu za kweliHakuna uongo wowote pale, ni kweli tupu.
Nimemkosoa huyo dogo aliyesema apewe taarifa kutoka kwa siri-kali, ndo nikamwambia huko hakunaga ukweli kabisaa. Ni kama kwa Tz utarajie kupata ukweli kupitia TBC, utakuwa hujitambui