nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,731
- 4,271
Kule gaza maboya wanajichanganya kwahiyo risasi haichaguikumbe ni wanajeshi kwa wanajeshi, wenzao wanachinja raia na watoto huko gaza kwa mizinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule gaza maboya wanajichanganya kwahiyo risasi haichaguikumbe ni wanajeshi kwa wanajeshi, wenzao wanachinja raia na watoto huko gaza kwa mizinga
Marekani anasahau urusi ndio alimaliza vita ya pili ya Dunia na kumuondoa Hitler na yeye kujileta mwishoni sasa anataka kuonesha na yeye anaweza. Amekutana na kisiki. Mwamba Vladimir Putin.
Kumaliza tofauti zao ni Ukraine aachane na mpango wake wa kuungana na marekani na ulaya. Tofauti na hapo hakuna maelewano.Hao wote ni ndugu mmoja watapigana mtasikia wamekaa kwenye meza na kumaliza tofauti zao..
Nione nini mkuuSubiri uone
Uone hatma ya mtanange unaoendelea- Ni Nani ataibuka kidedea?Nione nini mkuu
Kukimbia tatizo au kujidanganya kuwa halipo haikusaidii au haiwasaidii Ukraine.Those are nothing but the propaganda photos designed by the Kremlin to intimidate Ukraine and to scare the west into refraining from supporting Ukraine militarily.
Russia is a country renowned worldwide for cooking propaganda in its favour a political gimmick that was well coined immediately after the Russian revolution of 1919 by founder of USSR dictator Vladimir Lenin.
For us whom we know the use of this milage by the Russian regime will neither be astounded nor perturbed by these fallacious images whose aim is basically to rattle Ukraine and its Nato backers.
Tuliza Munkari weweDogo,
Matusi ulianza wewe. Au unataka utakane halafu wewe usitukanwe.
Wahenga walisema unavuna unachopanda.
Eti uletewe taarifa rasmi ya serikali ya China!!! Nani alikudanganya kuwa serikali za kikomunisti husema ukweli???
Watu wapo mahandakini porini ni kuwaacha wakitoka pia themobaricThe Armed Forces of Ukraine have advanced to Korenevo!
Kursk regioView attachment 3075224View attachment 3075224n
Ussr (Ukraine ikiwemo) isingeweza kumshinda Hitler bila msaada wa Marekani.Marekani anasahau urusi ndio alimaliza vita ya pili ya Dunia na kumuondoa Hitler na yeye kujileta mwishoni sasa anataka kuonesha na yeye anaweza. Amekutana na kisiki. Mwamba Vladimir Putin.
Bhasi sauwa Kamanda.ni historia ndefu sana ndugu kwa ufupi chimbuko lake ni katika moja ya shule ya jumuiya ya wazazi ccm na hitimisho lake lilikua pale Nelson Mandela African Institution of Science and Technology
Wanajeshi wa urusi wawakamata mateka askari 19 wa ukraine katika jimbo la kursk ambako jeshi la ukraine lilivamia na kuteka siku kadhaa nyuma
Kazi imenoga
Putin ameshadhalilika sana kitendo cha wahuni kuishi na kunya Russia kwa mwezi sasa tayari kimemuondolea heshima yoote kabisa jamaa hana kitu yule...Kama Sio Nuke wangeamua wangempiga vibaya sanaKwa hiyo kwa kasi hii tutegemee siku ngapi tu Urusi kuwamaliza wanajeshi wote wa Ukraine na kuweza kuitwaa nchi, kisha Putin kujitangaza mbabe wa dunia?
RaiaWatu wengi au raia wengi?