LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Umeamua kujiokotea maiti zako ulizoamua kuinyesha, hongera.
Halafu hizo picha ni za huko Doneski siyo Kursk.
Kursk Ukraine anazidi kukamata maeneo huku akimsambaratisha Russia na kila silaha anayoijaribu.
Kuzidiwa kule Kursk ndiyo kaamua alianzishe Doneski akijaribu ku divide attention lakini anaishia kuona kama anapigana na majeshi tofauti yasiyohusiana.
Taarifa mwenyekiti

Mwenyekiti Taarifa tafadhari
 
Sisomi hiyo maana umeshindwa kuniambia ulikua unataka nifanyeje.
Hapo anakutaka ubainishe ni kwa nini mauaji yaitwe ni ya kimbari na mauaji mengine yaitwe ni vita kwa mana kwamba:
1. Vita ni baina ya pande mbili (nchi 2 au Taifa 2 i.e. Nchi A na nchi B) zisizokubaliana juu ya mgogoro fulani na pande hizo mbili zikajiingiza kupata suluhu kwa kupigana/kuuana; hiyo ni vita. Majeshi ya nchi A yanapigana na majeshi ya nchi B. Zipo Sheria na Taratibu zinazofuatwa.
2. Mauaji ya kimbari nI vita ndani ya mipaka ya nchi moja. Mauaji hayo yaweza kuwa ni baina ya ukoo, kabila au baina ya kundi la watu wenye msimamo tofauti wa kidini, itikadi tofauti au chuki binafsi. Cha msingi ni mauaji/vita ndani ya nchi baina ya Raia wa nchi moja. Mauaji hayo hayana Sheria/Taratibu, hayajali kitu zaidi ya "huyu yupo upande wetu ni wa kwetu" baaasi.Tofauti na hapo ni kuua tuuu awe mtoto, mwanamke, mzee, mlemavu, anasilaha-hana silaha.Hakuna cha kujisalimisha eti uchukuliwe mateka.
 
Dozens of PMC WAGNER were buried yesterday, including 2 Russian officers who are already responding in hell:
Solnechnogorsk, Moscow region, Military + PMC "Wagner", signed as - attack aircraft.
  • Senior Lieutenant Starosvetsky Nikolai;
  • junior lieutenant trash Moiseev Max
    1724173441890.jpg
    im;
 
Those are nothing but the propaganda photos designed by the Kremlin to intimidate Ukraine and to scare the west into refraining from supporting Ukraine militarily.

Russia is a country renowned worldwide for cooking propaganda in its favour a political gimmick that was well coined immediately after the Russian revolution of 1919 by founder of USSR dictator Vladimir Lenin.

For us whom we know the use of this milage by the Russian regime will neither be astounded nor perturbed by these fallacious images whose aim is basically to rattle Ukraine and its Nato backers.
 
Back
Top Bottom