LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Putin ameshadhalilika sana kitendo cha wahuni kuishi na kunya Russia kwa mwezi sasa tayari kimemuondolea heshima yoote kabisa jamaa hana kitu yule...Kama Sio Nuke wangeamua wangempiga vibaya sana
.
Kwani wao hawana nuke,wanashindwa Nini Sasa kumpiga ?
Maana anawatia hasara na anaendelea kuwatia hasara.
Maana kama ni nuke si na wao wanazo?
Je wakati Hitler anasambaratishwa Urusi ilikua na nuke?
NATO ni muungano wa nchi zaidi ya 30 na wanaongozwa na superpower namba moja Sasa wanashindwa Nini kutoa tangazo la Vita halafu waingilie?
Mbona waliingi Iraq, Afghanistan na Libya?
Hao wavamizi wameingia sawa je wamefanikiwa malengo Yao?
Unajua hasara aloyoipata Ukraine Kwa kuivamia Kursk?
Humo Kursk wamepoteza na watapotezwa askari wengi maalumu na muhimu wa Ukraine,
Silaha na vifaa na Bora kabisa kutoka NATO.
Kwa jinsi NATO na west walivyoisapoti Ukraine nadhani walitamani sana kuingia mazima,Sasa wanashindwa Nini?
Watumie nyukilia na wao si wanazo?
Waache manenomaneno.
USA Ina nuke,
UK Ina nuke,
France Ina nuke,
Shida Iko wapi?
Waache kutoa sababu zisizo na mashiko,nuke walizotengeneza za Nini?

Mkiangalia kwa macho ya vijiweni mtasema Urusi ni dhaifu kuvamiwa Kursk katika mji uliokua hauna ulinzi wa kuweza kuwadhibiti wavamizi elfu kumi na mbili wenye silaha Bora kabisa.
Lkn mnashindwa kuipa Urusi heshima yake .
Hapo Ukraine Kuna mkusanyiko wa wataalamu wa kijeshi Bora kabisa, satellite Bora kabisa,majasusi Bora kabisa kwa ajili ya kumsaidia Ukraine ili amshinde Urusi.
Lkn huwezi kukuta hata mtaalamu yoyote kutoka china,Niko Iran wala nchi yoyote ili kumsaidia Urusi.
Urusi inastahili kupewa heshima yake.
Hiyo misaada anayopewa Ukraine angekua anapigana na USA na Urusi ikawa upande wa Ukraine Leo hii tungeshuhudia bomu la nyukilia limepigwa Ukraine.
USA alivamiwa na Japan akapiga nuke.
USA alipigwa na magaidi Septembe 11 je nao ni dhaifu?
Tafakari.
 
Kursk - the advance Ukrainian Defenders is recorded on international maps.
1724261221284.jpg
1724261212871.jpg
 
TEna hawa watu wawili wa hovyo sana Gerasimov na Huyu Shoigu ni wababaishaji sana Kumbe ndio mana Wagner iliwataja kama watu wapuuzi walioshindwa kusimamia kazi ni kweli hata mm naamini sasa.

MTU PALE ANGEKUA mkuu wa jeshi ni General Surovokin Sio Gerasimov.
😍🤩🤗
 
Sawa mkuu.
Huku na huku tukiunga dots habari ya kweli Inakamilika.
Russian Z channels claim that the Armed Forces of Ukraine captured the border village of Kursk, Troitske (east) and invaded Tetkino (west). The Ukrainian Armed Forces are advancing...
1724263259238.jpg
 
In the direction of Kursk, the Armed Forces of Ukraine have advanced significantly further east of the village of Korenevo and are fighting southeast of Aleksandrovka. In addition, advanced units of the Armed Forces of Ukraine today fought a battle with Orks near the village of Obkhiy Kolodyaz.
1724265279767.jpg
 
Hadi vita inaisha Ukraine atakuwa powerful na Russia atamuheshimu sana. And if we don't take it serious pengine Ukraine wameaanza kuunda Bomu la kiatomic
Mfumo wa Elimu wa Tanzania una shida sana ,una create watu wenye uwezo mdogo sana waku reasons vitu ..!!

Ungejipa hata muda kidogo yakusoma history ya huu mgogoro,history ya Russia na Nato,...

Russia hapigani na Ukraine, ni vita yakugombea ukiranja wa dunia kati ya Russia na Nato..!!ni hili la Nato na Russia lipo miaka mingi sana tangu enzi za Cold War..nenda kasoma kuundwa kwa Ussr na kuundwa kwa Nato,lakini kuvunjika kwa Ussr na upande wa USA na washirika wake Nato kushinda...

Inawezekana pia hujui kuvunjika kwa USSR ndio kulichangia mwalimu nyerere kuachia madaraka mapema...!!
 
Nyerere aliachia madaraka mwaka 1985.
USSR ilivunjika mwaka 1990.
Hapo hakuna uhusiano.
 
Vita siyo ya kuishabikia, pande mbili zinapokuwa vitani jua maumivu lazima kwanza yaziathiri pande zote pili itaathiri pande nyingine nyingi zaidi sababu ya mafungamano ya Kiuchumi, Kijigrafia, kiutamaduni, Kidiplomasia n.k
Kuaminishana kwamba ni upande mmoja pekee unaoathirika huo ni utoto wa miaka ya 80 huko
Hakuna anaebisha nanimpuuzi pekee atakaekataa huo ukweli

Ila ukweli usiojua kwenye vita kuna mmoja anaumia halafu kuna mwengine haumii anateketea yaani anayazidi maumivu yayule mwenzie kwambali sanaaa

Hapa kwenye hii vita ya UKRAINE nadhani anaeteketea anajulikana labda mtu uamue tu kubisha

Na Ukraine maadam iliamua kutaka kuumia nasema ipondwe pondwe pondwe zaidi maana waliyataka wenyewe

Ukraine inahali tete sana miji imegeuka magufu kwauzembe na ujinga wao leo tayari popkovs huko washaambiwa wakimbie kipigo kinaelekezwa huko

Ukraine acha tu ipasuke
 
Kama mnafatilia vizuri,idadi ya askari waliokufa wa Ukraine waliovamia Kursk inazidi kuongezeka siku Hadi siku.
Sasa imefika 4400 Jana ilikua 4130.
Bila kusahau kua hata silaha zao nazo zinapungua.
Tuendelee.

21 AUG,
IN BRIEF: In Kursk Region, Ukraine forces regroup, suffer losses
A total of more than 4,400 Ukrainian servicemen have been destroyed during the hostilities

© Russian Defense Minstry
MOSCOW, August 21. /TASS/. Ukrainian troops lost up to 300 servicemen and 26 armored vehicles in the Kursk area over the past day, the Russian Defense Ministry said.

A total of more than 4,400 enemy servicemen have been destroyed during the hostilities.

Fighters of the Akhmat special force are preparing to repel a strike by Ukrainian forces, which are now busy regrouping in the Kursk area, said Akhmat commander Major General Apty Alaudinov.

TASS has put together the key facts about the situation.

Progress of the operation to destroy Ukrainian formations
- Units of the battlegroup North, supported by army aviation and artillery fire, thwarted attempts by enemy assault groups to attack the settlements of Komarovka, Korenevo, Malaya Loknya and Russkaya Konopelka.

- Strikes were delivered on clusters of the enemy's manpower and equipment in the areas of Apanasovka, Borki, Vishnyovka, Kositsa, Nizhny Klin, Snagost, Sverdlikovo and Kazachya Loknya.

- Russian aviation struck assembly areas of personnel and military equipment of Ukrainian reserves in the areas of Belopolye, Boyaro-Lezhachi, Glukhov, Krasnopolye, Novye Virki, Pokrovka, Pisarevka, Mogritsa and Yunakovka in the Sumy Region.

Ukrainian losses
- Over the past day, the enemy lost up to 300 soldiers and 26 armored vehicles, including six tanks, three armored personnel carriers, 17 armored fighting vehicles, as well as two motor vehicles, four artillery units and 2 MLRS launchers.

- During the combat operations, Ukraine lost a total of more than 4,400 servicemen, 65 tanks, 27 infantry fighting vehicles, 53 armored personnel carriers, 316 armored fighting vehicles, 133 motor vehicles, 31 artillery units, five anti-aircraft missile systems, nine multiple launch rocket systems, including three HIMARS and one MLRS, six electronic warfare stations, four pieces of engineering equipment, including two obstacle clearing vehicles and one UR-77 mine-clearing unit.

The enemy’s regrouping
- Ukrainian units in the Kursk area have already been blocked and are being flushed out of populated areas, said Major General Apty Alaudinov.
Hawa wajinga acha wafe wanaenda kama mifugo

Ingawaje washaanza kujiondoa huko kursk ila wanafyekwa tu

Walidhani kuvunja vile vidaraja ndio kutawafanya wasife

Ukraine hawana akili walitakiwa baada ya kuona raia wanaondoshwa ili takiwa nawao wajiondoshe pale kursk maana ilikua wazi kabisa kifuatacho kipigo wakajifanya wanajua sana

Wanaunguzwa kama nyama
 
Hakuna anaebisha nanimpuuzi pekee atakaekataa huo ukweli

Ila ukweli usiojua kwenye vita kuna mmoja anaumia halafu kuna mwengine haumii anateketea yaani anayazidi maumivu yayule mwenzie kwambali sanaaa

Hapa kwenye hii vita ya UKRAINE nadhani anaeteketea anajulikana labda mtu uamue tu kubisha

Na Ukraine maadam iliamua kutaka kuumia nasema ipondwe pondwe pondwe zaidi maana waliyataka wenyewe

Ukraine inahali tete sana miji imegeuka magufu kwauzembe na ujinga wao leo tayari popkovs huko washaambiwa wakimbie kipigo kinaelekezwa huko

Ukraine acha tu ipasuke
Hiyo haimaanisha kwamba Russia haiumii. Russia pia inaumia na ndio maana imekuwa possible na yeye nchi yake kubamiwa na sehemu ya ardhi yake kuchukuliwa na kukaliwa na yuleyule ambaye sasa mnamuita failed state na nchi yake imebaki magofu.
Sasa tujiulize huo ukubwa na uwezo wa Russia ambaye anavamiwa na failed state
 
Hakuna sehemu nimesema Russia hawaumii labda tu uwe hujanisoma vyema au niandike upya

Failed state kuivamia Russia wala sio tatizo maana hata marekani ilidai kushambuliwa na taleban ila baada ya pale kilifata nini ndio lakulitazamia hili hapa

Failed state baada ya kuivamia kursk tuseme na kuikalia kama unavyosema imepata faida gani kufanya hivyo?

Kursk limekua janga kwa Ukraine kama unafatilia wanavyopondwa pondwa na kusagwa sagwa na kuchukuliwa POW wakutosha kabisa yaani

Nakwawanavyoendelea kuuliwa naungana na Russia wale akhmat walitoa takwimu kwamba mpaka miezi mitatu ijayo Kursk itakua imesafishwa kutokana na magaidi waloivamia

Ukraine imepata faida gani kuvamia Kursk
Uvamizi wa kursk lengo halijatimia lengo mama lilikua KNPP ila wamekikosa sasa wanachapwa na kupondwa pondwa haswaaa
 
Kweli russia yenye satellite huko angani inayolinda mipaka yake na nchi yake kwaujumla kwamba ilishindwa kunusa movements ya wanajeshi zaidi ya ya 10k wa Ukraine

Tena wanajeshi hawakustukiza kama hamas walivyoingia ghaza kuvuusha mpaka majeshi 10k wakiwa na magari na vifaa vyengine sio suala la nusu saa hata kidogo kwamba Russia hawakuhisi kitu

Ukraine acha wavune walichokipanda kwakweli walitegwa wakaingia kingi huko wanapondwa pondwa balaa haswaaaa

Jana wanajeshi wapatao 200 tu walitaka kupita mpaka wa bryansk kule wakastukiwa wakafyekwa wakakimbia na kufa baadae wakaji regroup waingie tena wakafyekwa wakakimbia

Ila kursk majeshi zaidi ya 10k ndio Russia haikuhisi mpaka ikavamiwa kweli acha tuone

Na Ukraine kwamba wanataka wateke Russia kwa majeshi 20k🤔

Ndio shida ya wanasiasa kuingilia fani za watu hizi

Mwisho Ukraine wacha wafe maadam waliyataka
 
Ukraine anaendelea kuteka maeneo huko. Russia kashushwa hadhi na hii vita, kinchi kidogo tu tena jirani yake kinamtoa kamasi sio kawaida.
 
Back
Top Bottom