Endelea tu na ramani zako izo za kujifurahisha ila muda ndo msema kweliThe Armed Forces of Ukraine control 94 settlements and up to 1,300 kmΒ² of territory in the Kursk region. In the last week, Ukraine expanded its control by approximately 200 kmΒ². Ukrainian troops are now 17 km from Lhov.View attachment 3077384
Kwani aloanzisha vita nani sini Russia mwenyewe ama?Dunia haikutokea tokea tu USA akawa kiranja, ipo akili kubwa iliyotumika na ndiyo hiyo inayoendelea kumshusha chini zaidi Russia!
Asiposema yeye mwenyewe amesalenda, mazingira yatamlazimisha, gharama anayoitumia kuendesha hizi vita si cha mtoto
Kama ni ushabiki urusi ni washabiki sana na mifano ipo ya wachangiaji.Huyo jamaa unamjibu ila usimjibu tena maana inaonekana ushabiki mwingi au hana anachokijua.....eti NATO wakiingia watamnyonga Putin kama Saddamπ
Unaweza ukawa sahihi ingawaje sidhanii kama upo sahihiKama ni ushabiki urusi ni washabiki sana na mifano ipo ya wachangiaji.
Pro Slava ni waongo balaa Mkuu wao Ni Mapanya...Unaweza ukawa sahihi ingawaje sidhanii kama upo sahihi
Walioupande wa Russian hapa ndani wengi wanaongea fact zinazopatikana hasa huko field kwenye SMO sio kama upande wa pili wanapelekwa kihisia na mihemko
Ukitaka kuona na kujua kama wanapelekwa kihisia na kimehemko angalia baada ya uvamizi wa Kursk utaelewa nini nasema
Walifufuka humu watu ambao kwao kuchangia ilikua habba kwakua wamebanwa na majukumu ila tukio la Kursk likawapa free time wakaongea hapa hisia zao badala ya facts karibia week nzima leo wako wapi?
Ukiwauliza kursk kinaendelea nini watakwambia ukraine kuvamiwa na Russia haishangazi ila kinyume chake inashangaza
Ukiwauliza lengo na faida ya Ukraine kuvamia kursk huambiwi
Pande zote hapa zina ushabiki na hii ni nature ya wanaadam ila pro Ukraine ushabiki wao hauna mbele wala nyuma
Putin kwa sasa kahamia kwenye mahandakiPro Slava ni waongo balaa Mkuu wao Ni Mapanya...
Yeye chochote anachokiona kina marangi rangi anakileta halafu anasema anawahurumia Russia wamepigwa sana...
Mapanya kavurugwaπππPro Slava ni waongo balaa Mkuu wao Ni Mapanya...
Yeye chochote anachokiona kina marangi rangi anakileta halafu anasema anawahurumia Russia wamepigwa sana...
Vitu hivi ndio vinatufanya tuichukie nato na marekani yake
Bulelaa tafakari kidogo.Russia ndio taifa lenye makombora mengi zaidi ya maangamizi ya kinuklia katika uso huu wa dunia. Hakuna taifa lolote lile liwe NATO au mwingine atakaethubutu kuingia wazi wazi kuishambulia Russia.Kuna kitu muhimu sana baina ya Russia na Ukraine ndio maana unaona hakuna maangamizi makubwa yaliyotokea Ukraine kulinganisha na Israel alichofanya Gaza. Warusi na Waukraine wana mahusiano ya karibu sana.Ndani ya Ukraine karibia nusu ya raia wanazungumza native russian na wana mafungamano ya asili na Russia.Hii ndio sababu mpaka leo unaenda mwaka wa tatu raia wa Ukraine waliouwa kwenye hii SMO ni fraction tu ya idadi ya Netanyahu aliochinja Gaza ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.Mkuu, na mimi naandika kwa tahadhari sana ninapoizungumzia RUssia, Russia ni taifa kubwa inafahamika vema
Hata hivyo, Russia hawezi kushindana na nguvu za NATO hata iweje, na ijulikane kwamba, NATO bado haijaingia Russia kiwaziwazi mkuu
Itakapofikia rasimi NATO ameingiza miguu yote, Nakuhakikishia kwamba, Putin watamnyonga kama USA walivyofanya kwa Sadamu
Ni nani aliyeamini kwamba Ukraine anaweza kuvuka mipaka yake na kuingia moja kwa moja ndani ya aridhi ya Russia?
Tuupe muda ujitetee, kusema moja kwa moja itakuwa hivi, ni mapema mno mkuu Bwana Utam am
Bado naendelea kushangaa watu wanaosema NATO haiwezi kuivamia na kuichakaza urusi wakati Ukraine tu kaivamia na muda huu tunaongea yupo anaichakaza urusi Tena ndani ya mipaka yake inayotambulika kimataifaBulelaa tafakari kidogo.Russia ndio taifa lenye makombora mengi zaidi ya maangamizi ya kinuklia katika uso huu wa dunia. Hakuna taifa lolote lile liwe NATO au mwingine atakaethubutu kuingia wazi wazi kuishambulia Russia.Kuna kitu muhimu sana baina ya Russia na Ukraine ndio maana unaona hakuna maangamizi makubwa yaliyotokea Ukraine kulinganisha na Israel alichofanya Gaza. Warusi na Waukraine wana mahusiano ya karibu sana.Ndani ya Ukraine karibia nusu ya raia wanazungumza native russian na wana mafungamano ya asili na Russia.Hii ndio sababu mpaka leo unaenda mwaka wa tatu raia wa Ukraine waliouwa kwenye hii SMO ni fraction tu ya idadi ya Netanyahu aliochinja Gaza ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.
Usishangae watu kuvuka mpaka wenye maelfu ya kilomita kama haujashangaa wahuni kupiga Pentagon licha ya kuwa ndio eneo linalolindwa zaidi US.Element of surprise ipo na yeyote inaweza kumkuta haijalishi ana nguvu na Teknolojia kiasi gani.
πππYamkini Russia ameshatumia uwezo wake kwa zaidi ya 80% dhidi ya Ukraine. NATO mpaka sasa sioni kama imeshatumia hata 40% ya uwezo wake kumpa Ukraine. Kusema kwamba Russia anaweza kutunishiana misuli na NATO huko ni kuikosea NATO.
π€£π€£π€£ kwani ni mara ya kwanza kuingia Urusi, au unajizima data kipanya.tatizo sio kuingia bali utaweza kushikiria bomba.baada ya miezi miwili uje tena na hii habari yakoBado naendelea kushangaa watu wanaosema NATO haiwezi kuivamia na kuichakaza urusi wakati Ukraine tu kaivamia na muda huu tunaongea yupo anaichakaza urusi Tena ndani ya mipaka yake inayotambulika kimataifa
Hahahaaaa!