LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
1724433695359.png
 
Kuna maswali ukijiuliza unakosa majibu eti Kuna umoja wa kujihami wa nchi za Ulaya unajiuliza uliamzishwa lini na taifa Gani lilifikiria kuanzishwa Kwa umoja huo ili kupambana na nani maswali majibu mepesi kujihami dhidi ya Libya,Iraq Venezuela Korea kaskazini,Tanzania au wapi na mpaka Leo Kuna nchi Bado zinaomba kujiunga na umoja huo Kwa majibu mepesi ikiwa Russia atajiunga na umoja huo nafikiri itakuwa ni umoja wa kujihami dhidi ya aliyetuumba
 
The Armed Forces of Ukraine control 94 settlements and up to 1,300 km² of territory in the Kursk region. In the last week, Ukraine expanded its control by approximately 200 km². Ukrainian troops are now 17 km from Lhov.View attachment 3077384
Endelea tu na ramani zako izo za kujifurahisha ila muda ndo msema kweli
 
Dunia haikutokea tokea tu USA akawa kiranja, ipo akili kubwa iliyotumika na ndiyo hiyo inayoendelea kumshusha chini zaidi Russia!

Asiposema yeye mwenyewe amesalenda, mazingira yatamlazimisha, gharama anayoitumia kuendesha hizi vita si cha mtoto
Kwani aloanzisha vita nani sini Russia mwenyewe ama?

Unadhani Russia hawakujua kama kuendesha vita gharama?

Unadhani Russia ilikurupuka tu tokea wanaanza kurundika majeshi mpaka wanaingia jumla huko?

Russia ilipigana upande wa Assad miaka zaidi ya nane ikiwa pekee namaisha yalienda maana iran ilokua bega nae nayo imejaa vikwazo ila Russia haikuyumba

Leo Russia tokea aanze hii SMO yake uchumi wake unazidi kuimarika kila leo nenda kagugo uchumi wa Russia kabla ya na punde baada ya kuanza SMO na ulivyo sasa

Uchumi wa Russia ili anguke kwasasa labda endapo ataamua kujiondoa ukraine jambo ambalo silioni kwampaka sasa

Ukanda anaoendelea kuupigania na kuukwapua Russia hapo Ukraine niukanda tajiri sana ambao unaweza kufix matatizo yote ya kiuchumi endapo vita itaisha

Mauriopol kule Russia kaishaanza kuvuna matunda yake bado soledar na bakhmut

Russia haikukurupuka
 
Kama ni ushabiki urusi ni washabiki sana na mifano ipo ya wachangiaji.
Unaweza ukawa sahihi ingawaje sidhanii kama upo sahihi

Walioupande wa Russian hapa ndani wengi wanaongea fact zinazopatikana hasa huko field kwenye SMO sio kama upande wa pili wanapelekwa kihisia na mihemko

Ukitaka kuona na kujua kama wanapelekwa kihisia na kimehemko angalia baada ya uvamizi wa Kursk utaelewa nini nasema

Walifufuka humu watu ambao kwao kuchangia ilikua habba kwakua wamebanwa na majukumu ila tukio la Kursk likawapa free time wakaongea hapa hisia zao badala ya facts karibia week nzima leo wako wapi?

Ukiwauliza kursk kinaendelea nini watakwambia ukraine kuvamiwa na Russia haishangazi ila kinyume chake inashangaza

Ukiwauliza lengo na faida ya Ukraine kuvamia kursk huambiwi

Pande zote hapa zina ushabiki na hii ni nature ya wanaadam ila pro Ukraine ushabiki wao hauna mbele wala nyuma
 
Pro Slava ni waongo balaa Mkuu wao Ni Mapanya...
Yeye chochote anachokiona kina marangi rangi anakileta halafu anasema anawahurumia Russia wamepigwa sana...
 
Mkuu, na mimi naandika kwa tahadhari sana ninapoizungumzia RUssia, Russia ni taifa kubwa inafahamika vema

Hata hivyo, Russia hawezi kushindana na nguvu za NATO hata iweje, na ijulikane kwamba, NATO bado haijaingia Russia kiwaziwazi mkuu

Itakapofikia rasimi NATO ameingiza miguu yote, Nakuhakikishia kwamba, Putin watamnyonga kama USA walivyofanya kwa Sadamu

Ni nani aliyeamini kwamba Ukraine anaweza kuvuka mipaka yake na kuingia moja kwa moja ndani ya aridhi ya Russia?

Tuupe muda ujitetee, kusema moja kwa moja itakuwa hivi, ni mapema mno mkuu Bwana Utam am
Bulelaa tafakari kidogo.Russia ndio taifa lenye makombora mengi zaidi ya maangamizi ya kinuklia katika uso huu wa dunia. Hakuna taifa lolote lile liwe NATO au mwingine atakaethubutu kuingia wazi wazi kuishambulia Russia.Kuna kitu muhimu sana baina ya Russia na Ukraine ndio maana unaona hakuna maangamizi makubwa yaliyotokea Ukraine kulinganisha na Israel alichofanya Gaza. Warusi na Waukraine wana mahusiano ya karibu sana.Ndani ya Ukraine karibia nusu ya raia wanazungumza native russian na wana mafungamano ya asili na Russia.Hii ndio sababu mpaka leo unaenda mwaka wa tatu raia wa Ukraine waliouwa kwenye hii SMO ni fraction tu ya idadi ya Netanyahu aliochinja Gaza ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.
Usishangae watu kuvuka mpaka wenye maelfu ya kilomita kama haujashangaa wahuni kupiga Pentagon licha ya kuwa ndio eneo linalolindwa zaidi US.Element of surprise ipo na yeyote inaweza kumkuta haijalishi ana nguvu na Teknolojia kiasi gani.
 
Bado naendelea kushangaa watu wanaosema NATO haiwezi kuivamia na kuichakaza urusi wakati Ukraine tu kaivamia na muda huu tunaongea yupo anaichakaza urusi Tena ndani ya mipaka yake inayotambulika kimataifa
Hahahaaaa!
 
Yamkini Russia ameshatumia uwezo wake kwa zaidi ya 80% dhidi ya Ukraine. NATO mpaka sasa sioni kama imeshatumia hata 40% ya uwezo wake kumpa Ukraine. Kusema kwamba Russia anaweza kutunishiana misuli na NATO huko ni kuikosea NATO.
😀😀😀
 
Bado naendelea kushangaa watu wanaosema NATO haiwezi kuivamia na kuichakaza urusi wakati Ukraine tu kaivamia na muda huu tunaongea yupo anaichakaza urusi Tena ndani ya mipaka yake inayotambulika kimataifa
Hahahaaaa!
🤣🤣🤣 kwani ni mara ya kwanza kuingia Urusi, au unajizima data kipanya.tatizo sio kuingia bali utaweza kushikiria bomba.baada ya miezi miwili uje tena na hii habari yako
 
Yan unaitelekeza Donbass kwa sababu ya kwenda kuteka vijiji kwenye mkoa mmoja wa Kursk.Zelensk kweli ni chawa wa Putin
😂😂😂😂😂🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺

A Ukrainian source reported that Russian forces continue to advance in central Novohrodivka and have captured the city council building.
 
Attachments

  • 20240824_151335.jpg
    20240824_151335.jpg
    369.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom