LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Soma nini chanzo Cha vita siyo kudandia mbele ya gari. Chanzo kikuu ni USA na NATO kumuchokoza Russia kupitia Ukraine. Matajiri wa Marekani wanataka resources za Russia na Ukraine wanafanya mbinu zote kuangamiza Russia.
Russia alinde mipaka yake.
 
Walijua wamemkamata kajamba nani, kumbe wameshika sharubu za falme za kiarabu
France wamepigwa za USO, hapo watanena kwa lugha zote. Dunia hii kuna watu wako vizuri sana. Mbona hawajamukamata Musk, Bill gate, Mark Z. Na wengine toka USA, kwa vile huyu jamaa ana uraia wa Russia basi ndo iwe sababu.
 
Jana zilipigwa mbili zikiwa zimefichwa hapo Ukraine
 
Kamanda mkuu wa majeshi ya Ukraine anakili kwamba kuivamia Russia kupitia Kursk ni blanda kubwa sana ambayo Ukraine imefanya, hao wanajeshi wa Ukraine na NATO Russia imewaacha wajifiye uko Kursk maana mbele hawaendi Tena na nyuma hawarudi, mji wa Sumy ambao ulikuwa pitio lao kuingia Russia unatekezwa kwa mabomu mazito. Russia hawezi kuhangaika tena nao, Russia Wao wanataka kuchukuwa Odessa yote. Ukraine itakuwa haina bandari Tena.
 

Attachments

  • Screenshot_20240828-153541.png
    336 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240828-164015.png
    310.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240828-164133.png
    266.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240828-082324.png
    708.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240827-231426.png
    521.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240827-221439.png
    433.3 KB · Views: 4
Mbinu gani hizo zilizofanywa na ukraine kuiangamiza Russia?
Russia haijaangamizwa, kiswahili shida sana, au unasema mbinu gani ilitumika Ukraine kuivamia Russia. Ni kwamba hapo hakuna mbinu Russia alisoma mchezo toka mwanzo, waache waingiye wapunguze nguvu na vifaa kwenye mapigano makali ndo awadunde vizuri, ni kweli Russia kafanikiwa sana, hata kamqnda mkuu wa majeshi ya Ukraine amekili hilo. Kule mashariki kupelekea Odessa Russia anachanja mbuga kuchukuwa bandari yote na maeneo ya karibu. Kipigo Cha siku mbili nchi nzima haina umeme, Zelensky anataka kusalimu amri.
Hiyo hapo clip ya mkuu wa majeshi ya Ukraine.
 

Attachments

  • Screenshot_20240827-231426.png
    521.3 KB · Views: 3
Foreign mercenaries involved in attack on Kursk Region — Foreign Ministry spokeswoman


MOSCOW, August 28. /TASS/. Foreign mercenaries are actively involved in the attack on the Kursk Region, they assign no value to lives of the locals, including children, and are ready to use them as human shields, Russian Foreign Ministry Spokeswoman Maria Zakharova said during a briefing.

"The so-called soldiers of fortune from third countries are involved in the attack on the Kursk Region. American mercenaries have demonstratively posted a photo of a mortar position next to a children’s playground in the Kursk Region online," the diplomat noted. "It seems, the militants are proud of their violation of humanitarian law, they could not care less about civilian lives, including children, and are ready to use them as cover, like the Nazis did during the assault on the Brest Fortress, just like terrorists do in the newest history."

She pointed out the shameless attempts of the Ukrainian propaganda to "forge fake materials about the allegedly harmless, careful" invaders.

"They launch hoaxes that make your head spin. Allegedly, they give away food, help locals solve their problems. These hoaxes are being debunked immediately, rebuttals are being published immediately," Zakharova said.

She announced that Reuters security advisor Ryan Evans was killed in the missile strike at the Sapfir hotel in the Kiev-controlled city of Kramatorsk.

"He was registered as a former employee of the MI6. But we are well aware that there are not former MI6 employees," the diplomat said. "This directly proves that Western intelligence agencies literally direct the mass media they control to carry out anti-Russian information campaigns. This has nothing to do with journalism, you see."

"It is indicative that other foreign mercenaries were eliminated along with the so-called advisor," Zakharova added.
 
Naona Aljazeera wanaonyesha oil depot huku Russia inawaka moto baada ya kulipuliwa na drone za Ukraine, safi sana hii sasa warusi na wao wameanza kuonja joto la vita kwa kuishi kwa wasiwasi
Kwani kupiga sehemu kama hizo ndani ya Urusi Ukraine wameanza Leo?
Je zimesaidia kukomboa majimbo Yao?

Haya hii ni Leo 28 Aug 24 wao Wacha waendelee kulipua matanki ya mafuta kama sehemu ya kumalizia hasira zao
Wakati Urusi wanazidi kuimega nchi Yao.

Russian forces liberate Kamyshevka community in Donbass region over past day

MOSCOW, August 28. /TASS/. Russian forces liberated the community of Kamyshevka in the Donetsk People’s Republic (DPR) over the past day in the special military operation in Ukraine, Russia’s Defense Ministry reported on Wednesday.

"Battlegroup Center units have liberated the settlement of Kamyshevka in the Donetsk People’s Republic in active operations and keep pushing deeper into the enemy’s defenses," the ministry said in a statement.
 
Hawa wanaoliliwa ukisikia kilio kikubwa Ujue mashoga yamepigwa pabaya
 
Tuwekee chanzo cha haya madai yako.
 
Huyu mwamba kafanya Urusi ionekane kituko. Kadhihirisha Urusi ni nchi ya kawaida inayokuzwa tu, hakuna cha ndege vita au air defence ya Urusi iliyofurukuta. Tuliambiwa anga la Urusi linalindwa na advanced air defence systems ambapo hata punje ya mchele inaonekana. Sasa tuambieni Ukraine anapita wapi kumbonda.
 
Jamani eeeh waukraine walioingia Kursk tayari 7000 wamekwishaliwa vichwa.
Leo pekee waleliwa 380 pamoja. Na lundo la silaha zao.

Ukrainian servicemen surrender: situation in Kursk Region

MOSCOW, August 28. /TASS/. The Ukrainian armed forces have lost up to 380 military personnel and 30 armored vehicles in the Kursk direction over the past day, the Russian Defense Ministry said.

According to the agency, five Ukrainian servicemen have surrendered.


In total, Kiev has lost up to 7,000 personnel since fighting started in the region.



Operation to neutralize Ukrainian forces

- The Northern battlegroup, backed by army aviation and artillery fire, repelled eight attacks by enemy assault groups in the direction of Borki, Korenevo, Kremyanoye and Malaya Loknya.

- Ukrainian concentrations of manpower and equipment in the areas of Apanasovka, Borki, Viktorovka, Kruglenkoe, Krasnoktyabrsky, Lyubimovka, Malaya Loknya, Mirny, Novaya Sorochina, Obukhovka, Plekhovo, Sverdlikovo, Sudzha, Snagost and Yuzhny in the Kursk Region were hit.

- Operational and tactical aviation struck enemy reserve personnel and military equipment concentrations in 13 localities in the Sumy Region.

Ukraine’s losses
- During the day, the enemy lost up to 380 servicemen and 30 armored vehicles, including a tank, an infantry fighting vehicle and 28 armored fighting vehicles, as well as six artillery pieces, three mortars and nine vehicles.

- In total, Ukraine lost up to 7,000 servicemen, 74 tanks, 35 infantry fighting vehicles, 62 armored personnel carriers, 460 armored combat vehicles, 210 vehicles, 51 artillery pieces, 13 multiple rocket launchers, including four HIMARS and one MLRS, five surface-to-air missile launchers, 10 electronic warfare stations, two counter-battery radars, one air defense radar, five pieces of engineering equipment, including two engineering demolition vehicles and one UR-77 mine-clearing vehicle.

The enemy surrenders
- According to the Russian Defense Ministry, five Ukrainian servicemen have surrendered.

Region gets power back
- An emergency reserve of equipment to restore the power supply has been set up in the Kursk Region, the Russian Energy Ministry said in a statement following a working meeting between Energy Minister Sergey Tsivilev and the region's acting governor Alexey Smirnov.

Kursk NPP
- The Kursk nuclear power plant is operating normally, the Rosenergoatom press service told TASS.
 
Nilikuwa na respond pale ulipo ni rejea, kwenye post yako no. 140,996. Nashauri ujirejee.
Russia hana sababu za kujustfy uvamizi wake, hana.......ubabe tu.
 
Lakini
Jana zilipigwa mbili zikiwa zimefichwa hapo Ukraine
Picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…