LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Silaha za west,NATO na Ukraine zilzoharibiwa toka smo ilipoanza.

Tally of destroyed equipment

A total of 642 planes, 283 helicopters, 30,987 unmanned aerial vehicles, 575 missile systems, 17,811 tanks and other armored combat vehicles, 1,435 multiple rocket launchers and 13,985 field artillery mounts and mortars, as well as 25,539 special military motor vehicles, have been destroyed since the start of Russia’s special military operation.
 
In the direction of Kursk, the Ukrainian Armed Forces continue to pressure the Russians along the entire front line and our soldiers are making progress.
 
Nilikuwa nasikiliza DW hapa wanasema sehemu iliyoshambuliwa ni military college. Na sio education center
 
Hao Wazee ndio wamepigwa kitu leo au ni Wengine maana dah wamekula chuma cha Iskander wote chalii ni milio tu inasikika mashoga wamejambaaa..
 
Chuo Cha kijeshi Cha Ukraine kinachofundisha special force na wataalamu kutoka nchi za NATO kimepigwa na kuua watu 600 ambao ndani Kuna wataalamu na wanafunzi wa special force.
Hili ni pigo kubwa mno kwa NATO.
Aisee Urusi anawatia hasara kubwa mno.
Hivi najiuliza NATO Wana akili kweli?
Wanadhania wanaweza kujificha mbele ya Mighty Russia?

,🐻🇷🇺🐻🇷🇺🐻🇷🇺🐻🇷🇺🐻🇷🇺🐻🇷🇺

Igor Mosiychuk, a former MP and deputy commander of the notorious neo-Nazi Azov regiment, claimed that the attack may have resulted in up to 600 casualties. While blaming Russia for the strike, he also said the military command bears some responsibility for allowing so many high-value soldiers to be in one place without shelter.

The Russian Defense Ministry has not yet commented on the strike. In the absence of official information, rumors circulating on Russian social media have alleged the presence of NATO instructors at the school, including some from Sweden.
 
Hivi Ukraine Sasa hivi amekua polisi wa Dunia?
Maana naona ameipiku hata USA!
Anatoa amri TU!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ukraine threatens Mongolia over Putin visit

Ulaanbaatar will face “consequences” for letting the Russian president “escape justice,” Kiev warned

The Ukrainian Foreign Ministry has threatened Mongolia with “consequences” for not arresting Russian President Vladimir Putin upon his arrival in Ulaanbaatar on Monday and handing him over to the International Criminal Court (ICC).🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huko ni mwendo wa FAB nzito zinangushwa.kama ikitokea akabaki mwanajeshi hata mmoja wa Ukraine akafanikiwa kuvuka mpaka akarudi kwao salama basi mje mnikate kichwa.

Hakun hata mwanajesh mmoja atakayeweza kurudi akiwa hai
Na wewe unajihakikishia sana. Na kikufukilia maneno ya kujihakikishia ya kusema ukraine hamalizi mwaka(2023) urusi kashaichukua yote ila Leo bado unakuja na ngonjera zilezile.
 
Propaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…