Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Ni mtu Mjinga pekee anaeweza kulazimisha kuamini kua Ukraine pekee ameweza kusimama na Urusi kivita miaka mitatu.Ndugu kiuhalisia Russia pia hana msuli wa kupigana na nchi 50 kama unavyosema. Ukraine pekee kwa mdrag Russia kwa 3yrs sasa kwa misaada hiyo ya taratibu na mshart lukuki.