LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ndugu kiuhalisia Russia pia hana msuli wa kupigana na nchi 50 kama unavyosema. Ukraine pekee kwa mdrag Russia kwa 3yrs sasa kwa misaada hiyo ya taratibu na mshart lukuki.
 
Kuna nchi ni vichwa ngumu sana.
Mexico ni nchi jirani na USA,
wanachangia mpaka.
Bila kujali kua Urusi Iko kwenye vita na NATO,Putin amewekewa shauri la kukamatwa na mahakama uchwara ya ICC,
Lakini Rais mchaguliwa wa Mexico amempa mwaliko Mwamba Putin ahudhurie Mexico kwenye sherehe za kuapishwa kwake hapo tarehe 1 -10 - 2024.
Putin ataamua mwenyewe aende mexico au atatuma mtu,lkn hii maana yake ni kwamba ujinga wa ICC Mexico hawaujali.

Putin invited to inauguration of Mexico’s new President.

MOSCOW, August 7. /TASS/. Russian President Vladimir Putin has been sent an invitation to the inauguration ceremony of Mexico’s new President Claudia Sheinbaum on October 1, the Mexican Embassy in Moscow told Izvestia.

"The invitation for Russia to take part in the inauguration of President Sheinbaum was sent to President Putin. The Russian president will make a decision whether he will participate in the ceremony himself or designate another high-ranking official to do so on his behalf," the diplomatic mission said.
 
Ndugu kiuhalisia Russia pia hana msuli wa kupigana na nchi 50 kama unavyosema. Ukraine pekee kwa mdrag Russia kwa 3yrs sasa kwa misaada hiyo ya taratibu na mshart lukuki.
Misaada kutokea nchi ngapi na hiyo ni misaada inayo semwa tu vip ile ya siri ambayo mimi na wewe hatuijui hivi unadhani hizo nchi zinazo toa milio kwa russia kila siku kwann zinashindwa kumaliza hii vita hiyo hasara wanayo pata wanaipenda?
 
Kwamba kuna misaada ya siri ambavyo mimi na wewe hatuijuwi?......
Kama hivyo ndivyo, Russia naye anapokea misaada ya siri ambavyo mimi na wewe hatuijuwi.
 
Ni mtu Mjinga pekee anaeweza kulazimisha kuamini kua Ukraine pekee ameweza kusimama na Urusi kivita miaka mitatu.
Uko sawia sana chief

Hata hivyo umesahau pia kusema, ni mpumbavu tu anayekuja kuchangia hoja ya vita vya Russian na Ukraine huku akijua kwamba, ni uwongo, Ukraine na Russia hawapigani vita bali wanacheza mchezo wa kuigiza
 
Ndugu kiuhalisia Russia pia hana msuli wa kupigana na nchi 50 kama unavyosema. Ukraine pekee kwa mdrag Russia kwa 3yrs sasa kwa misaada hiyo ya taratibu na mshart lukuki.
Billions of money unasema, pesa kiduchu, jumlisha na NATO personnel.

Vipi wale waliokimbizwa na wachunga mbuzi wa Afghanistan?
 
zaidi ya elf Moja na miatatu walilambishwa mchanga Jana.,duh! Kwa staili hii warusi wote wataisha walahiπŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±
Quote ReplyReport
 
Zelensky ameshasahau kuwa Putin alisha tembelea mji Mauriopol kule Donbass kukagua reconstruction na yeye alishindwa kumkamata.
Anajua analofanya mkuu,ndio maana anakuwa na kiburi:he is carrying out the dirty part of the war as a proxy for America.America a.k.a the Khazarian Mafia or Tribe;Zionists or NWO Cabal wants Russia out of the equation,so katika mazingira hayo lazima wamtetemekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…