TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Ukraine atahamisha sana Magoli kuhusu tukio la Kursk!....Ukraine successfully preempted ....
Kama Russia alijiandaa kupitia mpaka huo, inawezekana vipi aweke kikosi dhaifu katika eneo ambalo atapita kutekeleza SMO yake? Najaribu kuwaza. Unaweza kuwa na majibu labda.