Putin hajawahi kutupilia mbali uwezekano wa mazungumzo mkuu,he has always shown willingness for negotiations pamoja na utapeli wa nchi za Magharibi.You remember the Minsk accords?Ile ilionyesha uhalisia wa utapeli wa the US and its' allies mkuu.Infact mimi huwa namshangaa mtu yeyote anayejifanya ana akili timamu huku anatetea kwa lolote Marekani.Alafu anaomba mkae mezani myamalize baada ya kupokea kipondo heavy!View attachment 3088468
Aaaah..........,Kipanyaaa........!!!Kama hamnazo vilee...!!!The 12th Special Forces Azov Brigade helped to avert a "catastrophic" situation in Niu-York in Donetsk Oblast, unblocking surrounded Ukrainian soldiers and regaining part of the settlement, the brigade said on Sept. 6.
Ukraine atahamisha sana Magoli kuhusu tukio la Kursk!....Ukraine successfully preempted ....
Nimeshakujibu kua satellite ziko za aina mbili,Kuna satellite kwa matumizi ya kiraia na Kuna satellite kwa matumizi ya kijeshi.Naona unataka kujisahaulisha! Umeulizwa satellite hambazo kila siku mnadai mataifa ya magharibi yanaisaidia Ukraine ni silaha au sio silaha..,jibu utakalopata unganisha na hayo maaelezo yako
N.B.., satellite imekuwa ni kigezo kinacholalamikiwa sana kwamba mataifa ya magharibi yanajihusisha Moja Kwa Moja na vita ya urusi na Ukraine!!
Leta wewe chief hili ni jukwaa huru.Wa upande wako wamefikia wangapi chief
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏Putin hajawahi kutupilia mbali uwezekano wa mazungumzo mkuu,he has always shown willingness for negotiations pamoja na utapeli wa nchi za Magharibi.You remember the Minsk accords?Ile ilionyesha uhalisia wa utapeli wa the US and its' allies mkuu.Infact mimi huwa namshangaa mtu yeyote anayejifanya ana akili timamu huku anatetea kwa lolote Marekani.
Msitake kutufanya sote mazombi kama nyie,hata kama unajifanya kupoteza kumbukumbu lakini kuwa na kiasi angalau,haijapita hata miezi 2 kila Mmoja alisikia Putin akibwatuka kwamba hawezi Tena kuzungumza na Ukraine baada ya kutembezewa kipondo huko Kursk, na si Putin tu Bali hata wasaidizi wake walisikika wakisema Hivyo, akili zimeanza kuwarudia taratibu baada ya kuona kwamba Ukraine hatanii huko Kursk Bali anatembeza mkong'oto kwelikweliPutin hajawahi kutupilia mbali uwezekano wa mazungumzo mkuu,he has always shown willingness for negotiations pamoja na utapeli wa nchi za Magharibi.You remember the Minsk accords?Ile ilionyesha uhalisia wa utapeli wa the US and its' allies mkuu.Infact mimi huwa namshangaa mtu yeyote anayejifanya ana akili timamu huku anatetea kwa lolote Marekani.
Off course umejibu vyema, chochote kinachomsaidia adui kutekeleza malengo yake katika uwanja tayari hiyo ni silaha., ndio maana unaona hata magari ya kubeba mafta ni legitimate target katika uwanja wa vita., chochote kile hambacho adui anatumia kutekeleza malengo yake.,hizo microchip., sijui macrochip ,kama zinamsaidia urusi katika kutengeneza rocket na makombora ya kutumia uwanja wa vita tayari ni silaha iyo.,na Ukraine akibahatika kuzilocate na kuzijua zinapoifadhiwa hapo urusi,hiyo itakuwa legitimate military target .,nakupa mfano tu ujaribu kuangalia military target zinazolengwaNimeshakujibu kua satellite ziko za aina mbili,Kuna satellite kwa matumizi ya kiraia na Kuna satellite kwa matumizi ya kijeshi.
Satellite kwa matumizi ya kijeshi ziko kwenye kundi la silaha.
Silaha sio makombora TU peke yake hata helmet miwani za kuona usiku vifaa vya logistics ushauri wa kijeshi, intelligence n.k vyote ni sehemu ya misaada ya kijeshi
Huduma inayopewa Ukraine kutokana na picha za satellite ni msaada tosha kabisa na hii Iko kwenye misaada ya Siri anayopewa ukraine.
Ukraine hana tena eneo analomiliki kwenye bahari ya Azov. Inasikitisha sana.mtu amekuja kwako na amechukua MIKOA/MAJIMBO 5 (sio manne)
Halafu bado unasema umemzidi na bado yupo kwako.....!
Akili nyingine zinahitaji akili ili kuzisaidia!!!
View attachment 3088420
Huyu Russia itamla kichwaPreparations for the destruction of the Kerch bridge in Crimea are ongoing, and there is a chance it will be destroyed in the next few months, - Kyrylo Budanov, head of the Ukrainian Defense Ministry's Main Intelligence DirectorateView attachment 3088082View attachment 3088083
Leta leta tuchome motoU.S. Defense Secretary Lloyd Austin on Sept. 6 said Washington would provide Ukraine with an additional military aid package worth $250 million.
Msitoe Mlio tukiyachoma haya MascraperThe US announced a large military aid package for Ukraine worth 250 million dollars, - the Pentagon.
It included:
🔹RIM-7 missiles and air defense maintenance;
🔹Stinger missiles;
🔹ammunition for HIMARS;
🔹155 mm and 105 mm caliber artillery ammunition;
TOW missiles;
🔹 Javelin and AT-4 anti-tank systems;
🔹Bradley infantry fighting vehicles;
🔹M113 armored personnel carriers;
🔹mine-resistant vehicles with ambush protection (MRAP);
🔹ammunition for small arms and grenades;
patrol boats;
🔹maritime training equipment;
🔹 explosive equipment and ammunition;
🔹spare parts, auxiliary equipment, services, trainView attachment 3088960ing, transport.
Mr PutinPutin hajawahi kutupilia mbali uwezekano wa mazungumzo mkuu,he has always shown willingness for negotiations pamoja na utapeli wa nchi za Magharibi.You remember the Minsk accords?Ile ilionyesha uhalisia wa utapeli wa the US and its' allies mkuu.Infact mimi huwa namshangaa mtu yeyote anayejifanya ana akili timamu huku anatetea kwa lolote Marekani.