Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Sawa kwa hiyo ndio ujue Sasa kua Sudan,DRC na myanimar hawana haja ya kuingia NATO.Other countries like Georgia will likely join NATO in near future!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kwa hiyo ndio ujue Sasa kua Sudan,DRC na myanimar hawana haja ya kuingia NATO.Other countries like Georgia will likely join NATO in near future!
Vip huko Libya sijui Kosovo na kwingineko walikuwa na haja ya kujiunga NATO!?Sawa kwa hiyo ndio ujue Sasa kua Sudan,DRC na myanimar hawana haja ya kuingia NATO.
Huwezi shinda vita kwa kurusha makombora mazito tuu bila kuhusisha vikosi vya ardhini Israel imejaribu hivyo lakini imeshindwa, tangu mwanzoni mwa vita urusi imevurumisha mamia ya makombora kule Ukraine lakini mpaka Leo vita bado vinaendeleaa, Ukraine nikama Hamas tu imezidiwa lakini haikubali kuweka silaha chini itapigana mpaka tone la mwishoJamani hiyo Kitu Inaitwa Kinzhal isikie kwa mbalo moto wake sio wa kitoto...
Vikwazo vya kiuchumi ni vibaya sana mkuu wangu jaribu kuangalia miaka ijayo mbeleni, ziangalie nchi kama Venezuela, Syria nchi zenye utajiri wa mafuta bila vikwazo vya marekani zisingekuwa hapo zilipo, iangalie north Korea tokea 1950 baada ya kuwekewa vikwazo wao wameona nibora pesa zote ziende jeshini tu, hata kwa hapa Africa iangalie Zimbabwe, kaka vikwazo sio vya kuombea kabisa hata kwa hiyo marekaniWameishiwa sanaaa wameruka ruka sanaa
Mwanzoni mwa hii vita walikua wanasema mambo meengi yaani kila mmoja anatangaza Vikwazo sasa fikiria wanaacha kunua Gas au Mafuta halafu wananunua India ambayo inaagiza Urusi wajinga sana.
GudRussian Forces Find Map of US Base in Captured Ukrainian Bradley - Sputnik Reporter
14.09.2024
DONETSK (Sputnik) - Russian soldiers have discovered a map of the US military base at Fort Irwin, which the US military forgot in one of its Bradley fighting vehicles that it transferred to Ukraine that was later captured in the Kupyansk area, a Sputnik correspondent reported.
Since the beginning of the conflict in Ukraine, the US has supplied Kiev with more than 300 Bradley vehicles. A significant number of them have been destroyed by the Russian forces on the battlefield in Ukraine.
Fort Irwin is one of the largest military training centers in the US located in the Mojave desert in California, where soldiers train to operate armored vehicles as part of brigades.
Sputnik has found online ads seeking Russian-speaking individuals for the Fort Irwin training center. The Check Defense company is looking for "role-play professionals," who can replicate cultural nuances and assist the US Defense Department.
Applicants must have excellent oral and written skills in both English and Russian. Roles include local authorities, national security forces, refugees and hostile combatants. The ads also invite candidates fluent in Arabic, Chinese, Dari, Korean and Pashto.
Siyo officially, mamuluki toka USA, NATO ndo wako wengi wanakufa sana.Kama NATO wameshaingia urusi anasubir nini kuchukua hatua!
Siyo officially, mamuluki toka USA, NATO ndo wako wengi wanakufa sana.
Leo 520+ wameramba mchanga wengi ni wa NATO.
520+ soldiers died for a single day.
View: https://youtu.be/98np_pjjizo?si=ajM1CT0z-7yzeggj
Mbona unarudia rudiaaa hii habari13 SEP, 14:18
NATO has been prepping Ukraine for war with Russia for eight years, Ukrainian POW says
MOSCOW, September 13. /TASS/. A Ukrainian militant named Vitaly, who fought in the Kievan Rus nationalist battalion and is serving time in prison in one of Russia’s regions, told TASS that NATO and the EU have been "flooding" Ukraine with arms for eight years, ideologically preparing it for a war with Russia.
"Since 2014, for eight years, NATO and the EU have been ‘flooding’ us with weapons, everybody knew this, that we were being brainwashed, prepared for a conflict which has now morphed into a special military operation. I was aware that all of this was going on. The government was imposing its views on us: The May 9 Victory Day was moved to May 8. In our district, we used to have Russian-language schools, they switched to Ukrainian. [The Ukrainian media] says that everything Russia-related is bad. It pains me to see what is going on with my country," the POW said.
He noted that the Ukrainian media outlets have been deliberately shaping Russia’s negative image. "From 2015 through 2018, all the remaining Soviet-era warehouses were systematically destroyed or blown up. The news outlets were saying it was Russian sabotage, anyone killed anywhere was also pinned on Russia, the brainwashing was underway. An entire generation was zombified, literature changed, books, even geography: Lake Baikal now belongs to China; Kuban, the Kursk and Rostov regions are Ukrainian territory," the former Ukrainian militant noted.
That said, according to him, Ukraine was bolstering its lines of defense. "If you look at the lines of defense on a map, for ten years, they have been reinforced with concrete, they were getting ready for all of this," he noted.
EU handlers
According to the prisoner, Ukrainian militants were regularly receiving humanitarian aid from various countries and people at the frontline never lacked for anything.
"In Canada, in Toronto, there is a very large Ukrainian community, Spain, all of Europe, Turkey [were sending aid]. Each brigade has three or four cities in Europe as sponsors. Say, there wasn’t enough of something - knee-guards, armor vests, body armor inserts - we wrote to volunteers and they shipped it to us within a week, there was enough of everything. We were receiving new weapons, SUVs, enhanced tanks," Vitaly explained.
He also noted that foreign instructors trained Ukrainian troops. "We went to West Ukraine, we were trained there by hired Western instructors," the former Ukrainian militant added.
Vitaly, a Ukrainian serviceman, received a summons in 2017. He was assigned to the punitive territorial defense unit of the Ukrainian Kievan Rus armed formation and was required to sign a three-year contract. He participated in combat operations against the militia of the Donetsk People’s Republic (DPR) but surrendered after the onset of the special military operation.
The Judicial Board for Criminal Cases of the Supreme Court of the Lugansk People’s Republic (LPR) sentenced him to five years and six months of incarceration for his involvement in a terrorist organization. He is currently serving his sentence in a Russian prison.
Kwani Wanapotoa Silaha kwasababu gani?? Hujui chanzo cha hii vita kumbe wala hujui kinachopiganiwa hapo sasa mzee wa maramani ntakusaidiaje,??Unafikir NATO waivamie urusi Kwa sababu gani
Wamekaa huko wameshaambiwa mkiyarusha hayo madude kinawaka mazima sasa wamekaa wauaji wote wanasema hawana la kusema kwasasa ina maana wameogopa . Nachojua hii vita Urusi alikosea alitakiwa kumuua huyu Msanii mapema sana akatulia.Mkuu, Russia tayari amekuwa akipigana dhidi ya NATO kupitia Ukraine ndo yaitwa Proxy war.
Silaha zote kuanzia UAVs, makombora, vifaru, na vingine vyote Ukraine wamekuwa wakielekezwa na wahandisi wa NATO ili kuleta ufanisi.
Hata daraja la Kerch kwa mara ya kwanza lilidunguliwa na kombora la Storm Shadow kwa "installation" na "instruction" ya wahandisi wa NATO (kwa maana ya UK). Hizo ATCM (wamarekani) zote zimekuwa zikutupwa kuelekea zaidi Crimea pale Sevastopol na baadae manowari ya kivita ya Russia ikadunguliwa na hayo makombora.
Russia mara nyingi wamesema kwamba hii ni "Hybrid war" wapigana na NATO/US lakini wamekuwa wakisisitiza zile Red Lines kutozivuka.
Red Lines aloziweka Russia ni kwamba hakuna kuingiza vikosi vya NATO/Marekani ndani ya uwanja wa vita na pia hakuna kutumia makombora ya masafa marefu kama ATCMS na Storm Shadows kupiga ndani zaidi ya Russia.
Umuhimu wa Red Line anoizungumzia Putin ya sasa ambayo imepotoshwa huko West ni kwamba mitambo inotuma makombora hayo (ATCM na Storm Shadow) ikirushwa na wahandisi wa UK na wale wa US (maana Ukraine hawana uwezo huo) kufanya Configuration and execution isipokuwa wahandishi wa kijeshi wa nchi hizo mbili, basi technically watakuwa kwenye state of war dhidi ya Russia na state of affairs zitabadilika na kutatokea actions nyingi ikiwemo kufungiana balozi zao.
Sasa wadhani UK na US wataka iwe hivyo?
Ndo maana wameenda wote Washington wazungumze na Biden watafute namna ya kumjibu Putin.
Daaah!!! Kwa comment zako tu unaonekana wewe ni kitukuu cha yule mzee aliyekuwa anabadilishana na wajerumani Almas kwa gololi. Ujinga kwenu upo kwenye DNAKama Hivyo Basi kwanini hawajivamia Urusi maana waja mitambo ya Kujikinga na Urusi haina madhara kwao...! Lowasa aliwahi kusema nchi hii inahitaji Elimu Elimu Elimu
Ngongo say Ukraine will never be NATO member.1).US Secretary of State Blinken says Ukraine will be NATO member
2).Stoltenberg hopes Ukraine will join NATO within 10 years
3)................................…..…..................