Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Halafu anakuja na vijamaswali vyake vya kutegea mende akitegemea atanasa ndegeπ€£π€£π€£π€£ππππKwani Wanapotoa Silaha kwasababu gani?? Hujui chanzo cha hii vita kumbe wala hujui kinachopiganiwa hapo sasa mzee wa maramani ntakusaidiaje,??
Hapa ndipo Mimi mnaponifurahishaga wataalamu wa Tanzania mnapowaponda majenerali wa Urusi.Huwezi shinda vita kwa kurusha makombora mazito tuu bila kuhusisha vikosi vya ardhini Israel imejaribu hivyo lakini imeshindwa, tangu mwanzoni mwa vita urusi imevurumisha mamia ya makombora kule Ukraine lakini mpaka Leo vita bado vinaendeleaa, Ukraine nikama Hamas tu imezidiwa lakini haikubali kuweka silaha chini itapigana mpaka tone la mwisho
Hali ya uchumi ni mbaya na VW wanataka kufunga Plant, inamaana watu wengi zaidi watapoteza ajira na serikali kupoteza mapato.Big changes could happen in Germany: Chancellor Olaf Scholz wants to resign, - Financial Times.
Some members of the country's ruling SPD party are unhappy with the low rating. He may be replaced by Defense Minister Boris Pistorius, who is a pro-Ukrainian.
Na wewe ni lazima utakua Pro Russia TU.Bila shaka wewe utakuwa pro Russia,
Madini unayoshusha pro West hawana hizi akili...
Mkuu inaonesha una mambo makubwa unayajua lkn hutaki kushea na sisi,hebu acha uchoyo bana,mwaga vitu watu tupate elimu.Sawa
Dah ! Aisee!Russian Ambassador: If War Comes, it will affect the US on its own territory
September 14, 2024
Russian Ambassador to Washington Anatoly Antonov said today in a televised interview that there is some kind of illusion in the United States that a war with Russia will not hit US territory; making clear U.S. territory WOULD be hit!
Speaking from the Russian Embassy in Washington, DC, the Ambassador's precise remarks are:
"We have said a hundred times that there can be no nuclear war between nuclear states, especially between the United States and Russia.
And there will be no winners.
But there is some kind of illusion here that if there is a conflict, it will not spread to the territory of the United States of America.
I am constantly trying to convey one thesis to them - the Americans will not be able to sit it out behind the waters of the ocean, this war will affect everyone.
Therefore, we constantly say: do not play with this rhetoric.
Here is video of the Interview in its original Russian language for anyone who wants to self-translate to assure accuracy:
WORSE:
Russia's Deputy Foreign Minister Sergei Ryabkov remarked today: βThe United States has given Kiev all the carte blanche to strike with long-range weapons deep into the Russian territory, Moscowβs response to it will be brutalβ
He went on to say βThere is an element of serious risk here, because the opponents in Washington, London, and other places clearly underestimate the degree of danger of the game they continue to play.β
Unapozungumzia vita ya Dunia ujue kutakua na pande mbili.Najaribu kuwaza kwa herufi kubwa!
1) Hitler (mjerumani) alijaribu kuivamia urusi akashindwa.
Operation Barbarossa
2) Napoleon ( mfaransa) alijaribu kuivamia urusi akashindwa!
French invasion of Russia | Napoleon, Battles, & Casualties
3) Marekani (West) (Wamagahribi) wote wameungana kwa kumtumia Ukraine, urusi atapona???
Nb 1: West anapambana kulinda hadhi yake ,urusi naye anapambana kulinda utaifa wake!
Nb 2: Hitler alisesma hivi :"If we talk about new soil and territory in Europe today, we can think primarily only of Russia and its vassal border states".
Naona mwisho wa dunia, wewe je??
Mimi nawewe sio wataalamu wa vita nawala hatupo Frontline, siziamini sana media za west Wala za Urusi kwasababu vita vina propaganda nyingi sana.Hapa ndipo Mimi mnaponifurahishaga wataalamu wa Tanzania mnapowaponda majenerali wa Urusi.
Hapo elimu yetu ya vita tunaenda kujifunza kwao.
Yaani kwa kifupi Mtanzania ndio binadamu pekee hua anamkosoa Hadi mgunduzi wa kitu wakati yeye Hana hata hicho kitu.
Huko ni kujidanganya,hata Israel wanazuia makombora, lakini sio ya urusiNATO WALISHAJIPANGA MIAKA MINGI SANA KUJILINDA DHIDI YA MAKOMBORA YA RUSSIA. NADHANI UNAKUMBUKA KITUO CHA KUZUIA MAKOMBORA KILICHOJENGWA POLAND NA KILIVYOZINDULIWA SERIKALI YA URUSI ILILALAMIKA SANA. Lakini pia lazima NATO imeshaweka Mikakati ya kuiwahi URUSI iwapo kweli vita vitatokea baina yao, hivyo pamoja na kuwa na makombora ya kupiga London au Marekani basi hatapata hiyo nafasi.
Acha makasiriko, kakwambia nani mimi ni pro- Ukraine? Kwanini mtu akiongea ukweli kwa upande wenu mnamchukulia kama adui? Kama Urusi ameshaichukua Donbass yote kwahyo mapigano yapo mji gani kwasasa?Kwani nyiePro UkrainNato mlipewa timeframe ya vita kua itaisha lini?
Je huoni mafanikio ya Urusi kuichukua Donbas?
Lakini huoni Kila siku NATO wanatangaza misaada mipya je Ile ya zamani inaenda wapi?
Hivi nyinyi wenzetu pro ukrainato hua mnafikiri kwa kutumia viungo Gani?
Na ni wababe kinyamaπππππ.Unapozungumzia vita ya Dunia ujue kutakua na pande mbili.
Upande wa USA tayari umeshajulikana.
Upande wa Urusi utaibuka kama ifuatavyo.
Maadui wote wa USA watakua upande wa Urusi.
Kwa sababu wanajua kaka Yao akipigwa wao watafuata na kuwa watumwa ,mateka na wafungwa wa USA.
Ni akina nani hao?
Wote tunawajua.
Will be NATO? Kwahiyo kama atakuwa isubirike baada yahapo akishambuliwa wakati nimwanachama wao ndio tutajua NATO wanamuogopa urusi kama hawatafata kanuni ya yao, sasa hivi unaona anachopewa ni msaada na wenye masharti tu ya wapi atumie, ila yeye ndiye anaekuwa anatishia kila kauli ya utumiaji wa nuclear,endapo Ukraine atashambulia ndani ya Urusi hiyo itakuwa judgment day, endapo NATO watamsaidia Ukraine silaha zinazopiga ndani ya Urusi basi itahesabika hiyo nchi imeshiriki mojakwamoja na itapata kipigo kikali, jee hayo hayajafanyika? Mbona kama ni mbabe hatumi makombora new York na washirika wengine na wakati Urusi anajua kama Ukraine anapewa makombora ya lnayopiga nchini kwake.1).US Secretary of State Blinken says Ukraine will be NATO member
2).Stoltenberg hopes Ukraine will join NATO within 10 years
3)................................β¦..β¦..................
Ninachokiona West ni wagomvi haswa na hata tunaomlaumu Russia kuvamia Ukraine ni kwa sababu ya uchokozi wa West kutaka kuingilia siri za Russia na kukaribia mipaka yake ili iwe rahisi kufanya chochote.Will be NATO? Kwahiyo kama atakuwa isubirike baada yahapo akishambuliwa wakati nimwanachama wao ndio tutajua NATO wanamuogopa urusi kama hawatafata kanuni ya yao, sasa hivi unaona anachopewa ni msaada na wenye masharti tu ya wapi atumie, ila yeye ndiye anaekuwa anatishia kila kauli ya utumiaji wa nuclear,endapo Ukraine atashambulia ndani ya Urusi hiyo itakuwa judgment day, endapo NATO watamsaidia Ukraine silaha zinazopiga ndani ya Urusi basi itahesabika hiyo nchi imeshiriki mojakwamoja na itapata kipigo kikali, jee hayo hayajafanyika? Mbona kama ni mbabe hatumi makombora new York na washirika wengine na wakati Urusi anajua kama Ukraine anapewa makombora ya lnayopiga nchini kwake.
Tuacheni mahaba kila mmoja anapata hasara kubwa kwa wote kati ya Urusi na Ukraine.
.
Watakuwa wajinga kweli kama walikuwa hawajajiandaa kujilinda kisha wakaanza kumchokoza dubu kupitia Ukraine!!!.....hivyo pamoja na kuwa na makombora ya kupiga London au Marekani basi hatapata hiyo nafasi.....
Hata Urusi yenyewe ina air defense pale Syria lakini hazitungui ndege Wala makombora ya IsraelHuko ni kujidanganya,hata Israel wanazuia makombora, lakini sio ya urusi
HUWEZI kunielewa kwakuwa IQ yako ni ndogo sana. Na huu ndio umbumbumbu wa waafrika wengi , hatuna uwezo wa kuchanganua taarifa. Yaani sisi maadam Russia au Marekani kasema hivi na vile na akaweka kwenye Google basi nikuamini 100%. .Una Elimu gani mkuu,
Umawaza kama kuku aliekosa kichwa
Ni wachache sana humu JF wenye IQ kubwa kama hii yako. Wengi humu wanapokea taarifa na kuziamini kama zilivyo. Yaani hata wakiambiwa kuwa Marekani au Russia wamepeleka Submarine angani au Mars wao watapokea hivyohivyo na ukiwabishia WANAKUONA WEWE HUNA ELIMUMimi nawewe sio wataalamu wa vita nawala hatupo Frontline, siziamini sana media za west Wala za Urusi kwasababu vita vina propaganda nyingi sana.
Kabisa kaka, west hesabu zao haziendi kama walivopanga, na bahati mbaya sana wamekutana na warusi ambao jambo la Vita kwao nikama kunywa majiNinachokiona West ni wagomvi haswa na hata tunaomlaumu Russia kuvamia Ukraine ni kwa sababu ya uchokozi wa West kutaka kuingilia siri za Russia na kukaribia mipaka yake ili iwe rahisi kufanya chochote.
Na kwa kuwa ninachokiona 'mbabe' (West) hataki kuona anashindwa na huyu Russia hataki kuona anaonewa hapo ndo tunaweza kutarajia makubwa zaidi ambapo athari zake lazima zitufikie hata sisi watazamaji.
Kama West wataweka silaha na usaidizi mapema zaidi hii vita itaisha mapema sana.
Lakini kwa hali ninavyoiona Vita Kuu ya Tatu ya Dunia haizuiliki tena hapa.
Tujiandae kwa lolote.