LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Bado tatizo letu Watanzania la ujuaji liko pale pale.
Yaani kwa ujasiri mkubwa kabisa unaidharau north Korea kua eti ana vitisho na mikwara ambayo haiwezi kushinda vita.
Hivi nyie watanzania hua mnajuaje mambo ya mbele ambaya hata hayajatokea?
Iko hivi north Korea anafanya majaribio ya kurusha makombora ya masafa marefu na Dunia nzima inashuhudia na wataalamu wa maroketi wanapima kujua na kuthibitisha umbali ambao roketi limeenda.
Kibaya zaidi hata wataalamu wa maroketi wa USA wanathibitisha hilo,Sasa hapa wewe Mtanzania mwenzangu unawezaje kudharau uwezo huo wa KK?
Sio TU wataalamu wa USA Bali wataalamu wa Japan,Korea kusini,china,Urusi, Australia na kwingineko wanathibitisha umbali na uwezo wa roketi.
USA siku zote anapenda kuzipiga nchi nyumbani kwao,lakini Korea kaskazini anaiogopa Kwa kua inaweza kupeleka vita USA.
Korea kaskazini Ina satellite zake angani,Ina nyambizi na aina ya silaha zinazoweza kuleta madhara kwa USA, unawezaje kuidharau nchi hii ambayo USA mwenyewe anaiheshimu?
Kusema kweli sisi watanzania ni wajuaji sana.
 
West watajiuliza mara mbili mbili kurusu Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu kupiga targets ndani ya Urusi. Kitendo cha Houth kushambulia ndani ya Israel karibu km 1800 kimeshtua sana.

Nchi zilizomo Nato zitakua na maswali mawili mawili, ikumbukwe Putin alinukuliwa akisema " ikiwa Nato watawapa Ukraine silaha kali kuipiga Urusi, kwann Urusi asiwape silaha maadui wa West nao wawapige ili waone madhara watayayowasababishia wengine"

Tuendapo vita ya Ukraine itaisha mapema, maana West na Nato hawataweza ku risk nchi zao sababu ya Ukraine, tusubiri tuone
 
Biden, Starmer Fail to Agree on Ukraine’s Long-Range Strikes Against Russia
15.09.2024

Russian President Vladimir Putin earlier warned that NATO's approval of the use of long-range missiles by Ukraine would mean the bloc, the US and European countries NATO countries, the United States and European countries, are at war with Russia.
It seems US President Joe Biden and British PM Keir Starmer have delayed a decision to allow Ukraine to conduct deep strikes into Russian territory with long-range Western-supplied missiles, a plea Volodymyr Zelensky has repeatedly floated.
Referring to his "productive" talks with Biden in Washington, Starmer said it "wasn't a meeting about a particular capability" pertaining to the UK-made Storm Shadow cruise missiles.
 
Russia’s continued offensive and Ukraine’s losses in the Kursk region

MOSCOW, September 15. /TASS/. Units of Russia’s North battlegroup continued its offensive in the direction of Kursk, as well as attacks on the enemy's reserves. The losses of Ukrainian troops over the day exceeded 300 people, while for the entire period of hostilities, the Armed Forces of Ukraine lost 13,400 people in the Kursk direction, the Russian Defense Ministry reported.
 
Russia’s continued offensive and Ukraine’s losses in the Kursk region
MOSCOW, September 15. /TASS/.

Alaudinov’s statements

- Over the past 24 hours, the fighters of the Kashtan detachment of the Akhmat special forces captured two strongholds, destroyed the enemy and took prisoners, Commander of the Akhmat special forces, Major-General Apty Alaudinov said.
 
Three Ukrainian jets shot down – Russia

Kiev’s forces have lost two Soviet-era Su-27s and a Su-29, the Defense Ministry has said.

Russian forces have shot down three Ukrainian fighter jets over the last 24 hours, the Defense Ministry in Moscow has said.

Two Sukhoi Su-27 aircraft operated by Kiev were destroyed by the Russian Aerospace Forces, while Russian air defenses have shot down a Mikoyan MiG-29 plane, the ministry said in its daily update on Sunday.

During the same period, the Russian air defenses also intercepted a US-made HIMARS rocket, four French-made Hammer guided bombs, and 55 drones, it added.

Over the past 24 hours, Ukrainian forces lost more than 2,200 troops along the front line and dozens of units of various equipment, including several US-made M777 towed artillery pieces and British L-119 howitzers.
 
15-09-2024
The Russian military has found and destroyed a Ukraine-operated RBS 70, a Swedish-made short-range air defense system, footage circulating online suggests.

The system, mounted on a tripod, was reportedly detected at a Ukrainian position near the village of Aleksandropol, located to the north of the town of Ocheretino in Russia’s Donetsk People’s Republic. The RBS 70, concealed under a mask netting, was hit by a kamikaze drone, aerial footage of the strike shows.
 
@enzo1988 ,njoo usikie wamagharibi wanavosema Leo
kp kipanya44 , haya meza na hii hata kama chungu! Wamagharibi hao ujue!

Russian troops on frontlines proving a challenge for Ukrainians - UK MoD​


The UK's Ministry of Defence (MoD) has outlined the struggles Ukraine is facing on multiple areas of the frontline.

In an update earlier today, it said Russian troops are continuing "high tempo" offensive operations.

"Russian forces have attacked Ukrainian positions in the west of the salient and have highly likely retaken several villages," it added.

 
Hahahahahah
 
PUTIN(kadri nchi za magharibi zinavyoendelea kutoa silaha za aina tofauti tofauti kwa Ukraine,basi ivyo ivyo watakutana na matokeo tofauti tofauti ya kushangaza kwenye migogoro yao)

Leo Yemen wamerusha hypersonic ballistic missile kuelekea Israel.kombora ambalo nchi za Magharibi wameshindwa kutengeneza ila waasi wa Yemen wametengeneza.

Sasa ndo nimeanza kumuelewa PUTIN alikuwa anamanisha nini.
 
Kwa hy wewe unakili sana au intelligentsia yako ni kubwa kushinda wamarekani ambao wanamuogopa north korea kuanzisha vita naye miaka na miaka wenyewe vita yao ni porojo vitisho na kumjazia mavikwazo lkn hawaanzishi vita unazani hawajui moto wa north korea unacheza ww ile sio libya broo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…