LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hiyo north Korea hata usitishike nayo, duniani tunahitaji balance of power lakini kwa north Korea Bado sana, vitisho na mikwara havijawahi kushinda vita, hiyo north Korea haijawahi kushinda vita yoyote, kuwa na nuclear Saba sio sababu ya kuipa point kubwa ya kushinda vita vyake dhidi ya marekani
North Korea ajawai shinda Vita?..kashinda Vita akiwa katika hali mbaya na rafik Ake mkubwa aliemsaidia ni China
Marekani kambi zake kibao zilifurumushwa
 
Hata nyie hua hampendi kupingwa pale tunapowajibu hoja zenu,kwa kuonesha kua west sio Kila kitu,Kuna nchi za east pia zina uwezo hata kushinda West.
Ni kwamba mmekalili kua Kila uwezo uko west.
Sasa soma hapo juu ulichoandika.
Uliandika vitisho na mikwara a NOKO haviwezi kushinda vita.
Lakini kumbuka USA haialli usingizi juu ya mafanikio ya NOKO.
Sasa kama USA inahangaika na NOKO ambayo Ina mikwara na vitisho vya burwe wewe ni nani hata uandike hivyo.?
Leo inaonekana unataka kukana maandiko Yako.

Wala sisi hatukatai nyie kuandika mambo mnayoona nyinyi yanafaa,ila sisi hua tunakuja na hoja kupinga upotoshaji wenu. Mfano huo hapo juu.

Wala Sisi sio tunaotaka Marekani iivamie NOKO Bali ni Marekani yenyewe miaka nenda miaka Rudi ndio wanaotaka kuivamia NOKO.
Ila kwa vile nchi yenyewe sio dhaifu wanaufyata.
Mara ya mwisho eti USA waliikataza NOKO isithubutu kujaribu makombora yake Donald Trump akiwa Rais kwamba ikijaribu ataipiga, North Korea ikajaribu,USA wakapelela misafara ya melivita,mwisho wa siku wakageuza wao wenyewe bila kufanya chochote.
Sasa kama ingekua Ina mikwara na haiwezi kufanya chochote mbona walirudi?

Haya ona maneno Yako ya dharau eti tuache kusifia vitu vya kijinga kue eti north Korea bado inajitafuta.
Niko Iko kwenye ligi na USA toka 1955.
Na ni USA ndio Inaendeleza mgogoro na Korea kaskazini'.
Tatizo lenu nyie propaganda za west kua NOKO ni masikini zimewaingia Kila Kona ya mishipa ya damu zenu.
Wapi marekani ilisema wataivamia Korea?
 
Jamaa mawazo Yao ni kuvamiana tu., haiwezi kupita siku bila kuhoji kwa nini NATO hawaivamii urusi!
Unajiona umeongea booonge la pointi kumbe mashudu TU.

Ni kweli tunasemaga ni Kwa Nini NATO haiivamii Urusi kwa sababu tuna sababu.
Sababu ya kwanza ni kwamba NATO wanachangishana silaha,fedha ,vikwazo na wanaingia vitani dhidi ya Urusi kwa kujifanya mercenaries.
Wakati walienda kamili moja Kwa moja ,mchana kweupe na zana zao zote wakiwa wamebeba wenyewe bila
kuwapa wanajeshi wa Kuwait,Kosovo,Waasi wa Libya,wala wapinzani wa watalaban,wala bila kujifanya mercenaries.
 
Wapi marekani ilisema wataivamia Korea?
Wewe jamaa inaonekana huna taarifa nyingi halafu unataka ubishi.
Kwa kifupi wewe jamaa ni mbishi usie na data.
Kama nilivyosema watanzania wengi tunajifanya wajuaji sana.
Haya ngoja nikusaidie utoe ujuaji.
Soma hapo chini.

How North Korea Deterred an American Invasion in 2002

Colin Powell’s former chief of staff revealed that an invasion was considered but deemed too risky – well before North Korea’s nuclear deterrent was in place.

By A. B. Abrams
January 31, 2022.
American discourse regarding possible military options against North Korea has changed markedly since late 2017, after U.S. intelligence confirmed that the country had gained the capability to launch nuclear strikes against the American mainland using its then newly tested Hwasong-14 and Hwasong-15 intercontinental range ballistic missiles. Prior to that point, calls from both civilian and military leaders for an attack on North Korea had been considerable and growing, with examples from the Trump administration’s first year in office ranging from Senator Lindsey Graham to Army Colonel Ralph Peters.

Since 2018, Washington has increasingly drawn a softer line against North Korea’s testing of ballistic missiles. Previously, any modernization of the country’s missile deterrent was harshly condemned as unacceptable and frequently responded to with sanctions (though all these efforts, including some ambitious Obama-era electronic sabotage efforts, failed to prevent North Korea from making rapid progress).

The shift was best exemplified by then-Secretary of State Mike Pompeo and National Security Advisor John Bolton’s assertions in 2019 that Washington had an understanding with Pyongyang that only testing of missiles capable of hitting the U.S. mainland would cease. On that basis, Trump administration officials downplayed and chose not to respond to multiple ballistic missile tests from other classes that year.

This continued into the Biden administration. North Korea’s continuously modernizing missile arsenal has become an accepted fact, where it previously sparked furor and calls to action in the Western world. This process mirrors the West’s gradual coming to terms with the Soviet and Chinese nuclear and missile deterrents during the Cold War.

Before 2018, U.S. military options were widely discussed and called for, either to set back Pyongyang’s nuclear and missile programs or to invade and occupy the entire country. However, North Korea’s significantly superior conventional capabilities relative to other potential targets for U.S. attacks have long provided a degree of deterrence. This was an important factor ensuring North Korea did not ensure the same fates as Yugoslavia, Iraq, Libya, and the other former Soviet security partners which the United States attacked during the height of its power. North Korean conventional capabilities were an important deterrent when the Bill Clinton and Barack Obama administrations both came close to launching attacks on its nuclear program in 1994 and 2016, respectively.

In 2002, while the George W. Bush administration was preparing for its invasion of Iraq, it was simultaneously considering an attack on North Korea. Providing important new insight into Washington’s decision not to take military action against North Korea, former U.S. Army colonel Lawrence Wilkerson specifically discussed the issue in a December
 
Unajiona umeongea booonge la pointi kumbe mashudu TU.

Ni kweli tunasemaga ni Kwa Nini NATO haiivamii Urusi kwa sababu tuna sababu.
Sababu ya kwanza ni kwamba NATO wanachangishana silaha,fedha ,vikwazo na wanaingia vitani dhidi ya Urusi kwa kujifanya mercenaries.
Wakati walienda kamili moja Kwa moja ,mchana kweupe na zana zao zote wakiwa wamebeba wenyewe bila
kuwapa wanajeshi wa Kuwait,Kosovo,Waasi wa Libya,wala wapinzani wa watalaban,wala bila kujifanya mercenaries.
Kwahyo kama walienda kamili huko kwengine unataka na kwa Urusi wafanye hivo? Mbona unawapangia NATO cha kufanya? Wao wamechagua kuipatia Ukraine silaha tu kuivamia Urusi Hilo ni swala lingine na wanaweza wakiamua, mimi nawewe tupo huku hatuwezi jua mipango yao hao wakubwa wote
 
16 SEP, 14:18
Access to last supply route actually cut for Ukrainian troops in Ugledar — Russian police

The Ukrainian troops have been struggling to travel along dirt roads as all of them are under the fire control of Russian forces
DONETSK, September 16. /TASS/. The Ukrainian battlegroup in Ugledar in the Donetsk People’s Republic (DPR) has been almost completely cut off from supply routes now that the last remaining motor road has actually come under Russian fire control, a Russian law enforcement officer told TASS.

"The last route which the enemy battlegroup in Ugledar used for supplies has actually been cut off. Now it is completely under [Russian] fire control," the officer said.

Also, Ukrainian troops have been struggling to travel along dirt roads as all of them are under the fire control of Russian forces, he added.
 
Two more settlements liberated: developments in Russia's Kursk Region
16-09-2024

Alaudinov’s statements
-Commander of the Akhmat special forces, Major-General Apty Alaudinov said that, the situation in the region is under control.

- According to him, NATO is coordinating the attacks on the Kursk Region, which is why all types of Western equipment available to Kiev are now in use on the battlefield.
 
Kwahyo kama walienda kamili huko kwengine unataka na kwa Urusi wafanye hivo? Mbona unawapangia NATO cha kufanya? Wao wamechagua kuipatia Ukraine silaha tu kuivamia Urusi Hilo ni swala lingine na wanaweza wakiamua, mimi nawewe tupo huku hatuwezi jua mipango yao hao wakubwa wote

Urusi sio Libya.

Alaudinov’s statements-
Commander of the Akhmat special forces,

- He added that the situation in the region is under control.

- According to him, NATO is coordinating the attacks on the Kursk Region, which is why all types of Western equipment available to Kiev are now in use on the battlefields.
 
Urusi sio Libya.

Alaudinov’s statements-
Commander of the Akhmat special forces,

- He added that the situation in the region is under control.

- According to him, NATO is coordinating the attacks on the Kursk Region, which is why all types of Western equipment available to Kiev are now in use on the battlefields.
Sawa Urusi sio Libya
 
Vladimir Putin reportedly traveled to Mongolia to consult with shamans, seeking their blessing for the use of nuclear weapons, according to Der Spiegel.

‘There are rumors in Moscow that Putin needed the approval of shamans before making such a serious decision, fearing to anger the spirits without their consent. Allegedly, he returned from Mongolia satisfied. However, this version seems fantastical, and none of my sources can confirm it. Nevertheless, it appears that a meeting with Mongolian shamans did take place,’ wrote journalist Mikhail Zygar.

Zygar noted that Mongolia and Tuva, where Putin recently visited, are home to some of the world’s most powerful shamans.

‘Putin has long been known for his fascination with mysticism, blending his interest in Orthodox beliefs with pagan traditions,’ the article states.

Zygar also claimed that before Russia’s invasion of Ukraine, Putin frequently consulted mystics, who reportedly assured him of military victory.

1726488624473.jpg
 
In the Kursk direction, the Armed Forces of Ukraine with a Brigade established themselves in Obukhivka, Medvezhy, Chervonoktyabrskyi and Novy Shlyach. Battles are raging in Vesely and Volfino. The Armed Forces also advanced in the direction of Hlushkovo and Sukhynivka. The first boiler will be closed...
1726494072343.jpg
 
EVERYTHING IS GOING AS PLANNED BY KREMELIN'S GRANDFATHER. Another platoon of Russian recruits was arrested in the Kursk region near Kesele. The Ukrainians will now have 6 to 7 Brigades in Kursk and are talking about 32,500 Special Forces and GUR operating in Kursk.
1726502696687.jpg
1726502705298.jpg
 
Ndege tatu za Ukraine zimekula vumbi leo
 

Attachments

  • Screenshot_20240916-103651.png
    Screenshot_20240916-103651.png
    555.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240916-103345.png
    Screenshot_20240916-103345.png
    318.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240916-102529.png
    Screenshot_20240916-102529.png
    457.9 KB · Views: 1
EVERYTHING IS GOING AS PLANNED BY KREMELIN'S GRANDFATHER. Another platoon of Russian recruits was arrested in the Kursk region near Kesele. The Ukrainians will now have 6 to 7 Brigades in Kursk and are talking about 32,500 Special Forces and GUR operating in Kursk.View attachment 3097670View attachment 3097671
Warusi wamepasuka sio kawaida, hawa Ukraine iwatibu iwarudishe mstari wa mbele kupigana dhidi ya Urusi.
 
EVERYTHING IS GOING AS PLANNED BY KREMELIN'S GRANDFATHER. Another platoon of Russian recruits was arrested in the Kursk region near Kesele. The Ukrainians will now have 6 to 7 Brigades in Kursk and are talking about 32,500 Special Forces and GUR operating in Kursk.View attachment 3097670View attachment 3097671
Kwa wanavyopenda sifa ingekuwa ni platoon lazima wangepiga pichaa waonkane kwa wingi sio hz za kijanjajanja
 
Back
Top Bottom