Nickson francis
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 700
- 1,306
Wacha kujizungusha, sema ni vita gani alishinda..Umetoka kwenye kushinda Vita mpk chanzo cha vita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha kujizungusha, sema ni vita gani alishinda..Umetoka kwenye kushinda Vita mpk chanzo cha vita
😂😂😂🤣Aaaaa ha ha ha haaUmetoka kwenye kushinda Vita mpk chanzo cha vita
Acting Governor of the Kursk Region in russia, Alexey Smirnov, announced the mandatory evacuation of civilians from a 15-kilometer zone (yellow) of Khomutovka and Rylsk districts (areas in green) of the western Kursk Region.Wadau wa NATO NA WALE WA RUSSIA MLIOPO SHIFT KWENYE VYUMBA VYA HABARI JANA NA LEO NAONA HAMTEKELEZI WAJIBU WENU IPASAVYO. MPO SHIFT LAKINI HAMTOI BREAKING News .
😅😅 Ukraine ameisha ingia Moscow, Sasa hivi wanaelekea Kremlin kumchukua Putin kama kwiyoo ...Vipi Bado Ukraine amevamia Urusi!?? Amefika wapi!??.....
Kumbe Ukraine bado inadhibiti maeneo mengi huko KurskUrusi bado anaendelea kuchezea mkong'oto mkali huko Kursk.,wale mnaoleta propaganda kuhusu Kursk mtaumbuka tu Mmoja baada ya mwingine!View attachment 3098104
Wote Urusi na Ukraine wana evacuate raia wao wa mpakani, hapo inaenda kutokea big clashes.Urusi bado anaendelea kuchezea mkong'oto mkali huko Kursk.,wale mnaoleta propaganda kuhusu Kursk mtaumbuka tu Mmoja baada ya mwingine!View attachment 3098104
Hii ni mara ya pili urusi anaamisha raia huko Kursk ikiwa na maana Ukraine anazidi kusonga mbele na uwanja wa mapigano unaongezekaWote Urusi na Ukraine wana evacuate raia wao wa mpakani, hapo inaenda kutokea big clashes.
Ukraine wasipofanya hivyo inaenda kutokea cauldron/pocket kwa wale askari wao waliopo Kursk na Urusi hawezi ruhusu kufunguliwa kwa logistic supply route

Hahaha! Kipanya bwana kama kachanganyikiwaHii ni mara ya pili urusi anaamisha raia huko Kursk ikiwa na maana Ukraine anazidi kusonga mbele na uwanja wa mapigano unaongezeka

Hii tayari ni vita kamili kaka==============
Bado kuna raia wanadai eti hii ni 'SMO' na sio 'Full Scale war'.
Wanaidhibiti wilaya nzima ya sudza ndani ya mkoa wa kursk.Kumbe Ukraine bado inadhibiti maeneo mengi huko Kursk
toka hili mbilinge linaanza Ukraine na washirika wake waliliita Vita lakini Russia aliita SMO. Hivyo kila moja yuko huru kuiita namna anavyoiona kulingana na tafsiri yake. Kosa kubwa ni kulazimisha Ukraine na washirika wake waione kama SMO ama kulazimisha Russia aione kama vita.==============
Bado kuna raia wanadai eti hii ni 'SMO' na sio 'Full Scale war'.
Not even close to a full scale war.Bado kuna raia wanadai eti hii ni 'SMO' na sio 'Full Scale war'.