LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kama mfumo wa ulinzi wa Russia (mpaka moscow) ambako hakuna vita unaingilika unategemea mfumo wa ulinzi wa Ukraine ambako kuna vita usiingilike?
Tupunguze ushabiki tujaribu kuwa logic hata kama yanayoendelea hatukuyategemea
 
This is the only language imperial powers can understand.
 
Inawezekana ikawa nikweli mkuu, lakini SMO inayotumia zaidi ya wanajeshi million kwa kwa pande zote mbili? Hii inawezekana inaizidi hata vita ya Korea, ila ngoja tuone itakavokuwa
 
===========

Gagnija
 
Nyie jamaa ni mahafidhina aisee (mahaba yenu kwa Putin yamepindukia) na mobilization yote Ile bado hamuoni full scale war ?....
Full scale war bado, na hao wanaojiita wababe wa dunia wanaihofia sana. US na hao wanaomsaidia Ukraine watakapoamua kuingia vitani bila kificho (kama wanavyofanya sasa) hiyo ndiyo itakuwa vita kamili.

Usiombe hatua hiyo kufikiwa.
 
Hivi kuna mtu bado anaangalia SkyNews kweli,ni upofu kweli kweli
 
Russia Today (RT) pages will be banned on Facebook and Instagram, according to Reuters, citing Meta’s decision.

‘After careful consideration, we have expanded our measures against Russian state media. RT and other Russian state media outlets will be banned from our apps worldwide. These networks have used deceptive tactics to carry out covert influence operations,’ the statement explained.

The ban will take effect in the coming days.

Earlier this month, U.S. authorities filed money-laundering charges against two RT employees, accusing them of hiring a U.S. company to create online content aimed at influencing the 2024 election.

Meta owns Instagram, WhatsApp, Threads, and Facebook.

On September 13, the United States imposed sanctions against the Russia Today media group and its CEO, Dmitry Kiselyov. Secretary of State Anthony Blinken stated that RT had participated in global disinformation campaigns and operated under the guidance of Russian intelligence. One of RT’s projects is a crowdfunding network raising money for the Russian army.

 
A recent Russian counterattack in the Kursk region has stalled and worsened Russia's strategic position, according to Forbes. Russia deployed 38,000 troops, many of whom are poorly trained conscripts, against Ukraine's 10,000 soldiers. Ukraine's new strategy aims to encircle Russian forces, having already broken through Russian defenses near Novy Put. If successful, Ukrainian forces could trap thousands of Russian troops between them and the border.


 
Hahaha! Kipanya bwana kama kachanganyikiwa
A recent Russian counterattack in the Kursk region has stalled and worsened Russia's strategic position, according to Forbes. Russia deployed 38,000 troops, many of whom are poorly trained conscripts, against Ukraine's 10,000 soldiers. Ukraine's new strategy aims to encircle Russian forces, having already broken through Russian defenses near Novy Put. If successful, Ukrainian forces could trap thousands of Russian troops between them and the border.




 
Tupunguze ushabiki
ushabiki

tabia au hali ya kupenda sana au kupapatikia jambo au kitu; hali ya kuwa shabiki

tujaribu kuwa logic
logic

a particular way of thinking, especially one that is reasonable and based on good judgment

hata kama yanayoendelea hatukuyategemea
Zamani zilikuwa zinatunguliwa nyingi sana na kupenya chache sana na hata madhara yake yalikuwa machache (kwa mujibu wao), umesema tutumie logic na tuache ushabiki, hiki kitu sikutegemea au zilikuwa propaganda??

Namaanisha hivi kila siku uwezo wa drones kupenya unaongezeka na hapo bado makombora! Hapa tunazungumzia kupenya mitambo ya kutungulia na siyo kufika! Mbona drones za Iran zilifika Israel, hawakuziona?? Vipi zilipenya???


1) Ukraine shot down 16 Russian drones and two missiles


17 Jul 2024
Ukraine's air force said on Thursday it shot down all 16 Shahed drones and two out of three missiles fired into its territory by Russia overnight.

https://www.reuters.com


2) Ukraine says it downed six drones and two missiles during ...


9 Sept 2024
Ukraine's air force said on Monday it shot down six out of eight Russian-launched drones.

https://www.reuters.com


3) Ukraine says it shot down 20 Russia-launched drones
...


6 days ago — KYIV, Sept 11 (Reuters) - Ukraine's air force said on Wednesday it shot down 20 out of 25 Russia-launched drones overnight in six regions.

https://www.reuters.com



4) Russia launches a new drones barrage on Ukraine, Kyiv
...

3 days ago — ... air defence and long-range capabilities. Ukrainian air defences shot down 72 out of 76 Shahed drones over 12 regions in the centre, south ...

https://www.reuters.com


5) Russia launches missiles at energy infrastructure in ...


1 hour ago
— The Ukrainian air force said Russia launched 51 drones to attack the country on Tuesday and that its air defences had shot down 34 of them in ...

https://www.reuters.com
 
The Wall Street Journal reports that the total number of casualties in the war in Ukraine, including both killed and wounded, has reached 1 million. Ukrainian losses are said to include 80,000 soldiers killed and 400,000 wounded. Estimates of Russian losses vary, with some suggesting 200,000 killed and 400,000 wounded.
 
Ni suala la muda tu, makombora ya masafa marefu yatapiga Moscow na hakuna atafanya putin kwa wababe wake
 
Full scale war bado ....inapotokea full scale war kuna mambo mapya yatafanyika pamoja na kupigwa kwa satelite na NATO na kufungwa kwa balozi nyingi...no humani right...hapo ni swala la raia kukimbia tu kuokoa maisha yako
 
Hiki ni moja ya chanzo kikuu cha habari za kimagharibi,ukileta za Urusi utaonekana unaleta propaganda!
Yaani to me SkyNews, CNN,sijui Aljazeera,BBC ni udaku tu frankly.Hawa jamaa wanatangaza what their handlers:the NWO Cabal want to hear, na taarifa kama hizo huwa zina reflect their evil schemes behind the curtain.
 
Kwangu hii bado SMO na sio Full Scale War ukitaka kujua hilo ngoja Muingereza na kaka yake USA Wamruhusu muukraine kutumia Long range missiles kuingia kwenye russia territory , Hapo watakuwa wamejichanya pakubwa sana hiyo itakuwa War declaration with Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…